Kuna mambo mengi sana tusiyofahamu kama wanadamu

Davidmmarista

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
3,091
Reaction score
6,271
Juzi nilikuja na mada ya "Je, uchawi upo?"

Kwa kufikiri kwa kutumia logic na mtazamo wa kisayansi, tunaweza kusema uchawi haupo, bali ni fiction hasa kutokana na story nyingi za uongo tunazozisikia kutoka kwa watu mbalimbali.

Lakini nilikaa nikajiuliza, je, kuna mambo kama mapepo? Baadhi ya watu hata ndugu zetu wanaonekana kuwa na hali hizo, na mara nyingine hujitokeza kwa kulipuka au kupoteza fahamu wanaposikia kile kinachodhaniwa kuwa ni Neno la Mungu. Je hii issue ya mapepo kama hamna nguvu ya ajabu kwanini kuwe nayo na kwanini hutokea watu wenye akili timamu kabisa?

Nikaanza pia kuwaza kuhusu mambo ya mysterious ways yanayotokea. Kuna hali ambazo watu hudai wamelogwa lakini hupata uponyaji kupitia maombi au hata kwa kutumia kinachojulikana kama ushirikina. Mimi mwenyewe nimeshuhudia watu wakipona live. Why so if we don't have such power?

Kuna pia watu wanaotabiri mambo, na viumbe vya ajabu kama kakakuona. Kwenye mtazamo wa kisayansi, wengine hudai kuwa ni suala la time travelling, lakini sayansi bado haijafanikiwa kufafanua undani zaidi wa mambo haya.

Nilipochunguza upande wa dini, nilijaribu kutafuta ukweli kupitia makanisa mbalimbali. Nikajiuliza: kwa nini katika baadhi ya makanisa watu huanguka au "kulipuka" zaidi wakati wa maombi yenye kelele na muziki mkubwa, lakini kwenye makanisa yenye maombi ya utulivu hakuna hali kama hizo? Pia kwanini itokee kijiografia isitokee kwa wachina, wahindi, wakorea, wajapani?

Kisha nikajiuliza swali kuu Kwa nini tupo duniani?
Je, kusudi la sisi kuwepo ni nini? Maana asilimia kubwa ya maisha ya mwanadamu yamezungukwa na changamoto iwe ni kilimo, biashara, umaskini, elimu, afya, au kazi nyingine zote zipo kwa lengo la kutatua changamoto fulani. Hivyo, je, tulikuja duniani kwa ajili ya kutatua changamoto tu na kuonana na matatizo, au kuna kusudi jingine kubwa zaidi ya sisi kuwa hapa?

Pia nashangaa, kwa nini Mwenyezi Mungu alimtoa kafara mwana wake wa pekee kwa ajili ya wanadamu, lakini akamwacha Shetani aendelee kuishi? Kwa nini hakumuangamiza kabisa ili vizazi vyote vikombolewe? Ni kama vile unaua watu wasio na hatia badala ya majambazi waliotenda uovu.

Na mwisho, kwa nini tunaomba kama kila kitu tayari ni mpango wa Mungu? Kama kila jambo limepangwa tangu mwanzo, kwa nini tumshawishi abadilishe alichokipanga?
 
Ukijua kutengenisha kati ya IMANI na FACT basi haya mambo hayatakupa shida sana.

Yes ni kweli binadamu hajui mambo mengi sana kuhusu huu ulimwengu, maybe tunajua 0.001% ya huu ulimwengu

Mambo tunayo yajua na tunaweza kuyathibitisha tunayaita FACT

Mambo ambayo Hatuyajui tunabuni na kutunga tunayaita IMANI

Changamoto ni pale tunapoishi kwa kutumia FACT lakini tukiamini ni IMANI inayotuwezesha

Mfano mtu anafanya kazi akipata hela anaamini ni MUNGU kampa RIZIKI
Akiumwa anaamini Shetani akitumia dawa akapona anaamini Mungu kamponya

Unazungumzia Makanisa kwasababu makuzi yako yamekufanya UAMINI dunia nzima wana makanisa na kuabudu kama unavyo abudu wewe
Ukienda China kuna watu hawajui hata kama kudini zingine zidi ya mabudha yao na wana maisha bora kabisa kuliko walokole wanaokesha makanisani Afrika na Waislam wanaoswali swala tano Somalia au Sudan

Kwa bahati mbaya sana haya mambo ya IMANI wenzetu walio endelea wameacha kuyapa kipaumbele kwenye maisha yao ya kila siku, imebaki kama tamaduni na fantasy tu za baadhi ya watu

Lakini huku kwetu dunia ya tatu IMANI ndio kipaumbele cha kwanza kwenye maisha yetu
Kila kitu tunaamini Mungu atafanya tukimuomba kwa bidii

Israel wanajilinda kwa iron dome na kila silaha za hali ya juu lakini sisi tunaamini tunalindwa Mungu wa Israel.

Israel ni kame na wanageuza maji ya bahari kuwa baridi kumwagilia mashamba wakati sisi mvua ikigoma tunajazana makanisani kumuomba Mungu wa Israel atupe mvua.
 
Mayu umeandika vizur kuhusu IMANI na FACTS(Uhalisia).
Nisijikite huku.

Mm nina amini Uchawi upo.
Na hapa nataka niliongelee kwa kufikiria kwamba Mungu na Shetani hawapo.

Uchawi ni maarifa ya kitaalam ambayo baadhi ya binadamu hutumia kufanya jambo baya au zuri.
Kwa kutumia aina ya mimea au bidhaa nyingne kwenye kufanikisha jambo ambalo ni gumu kufanyika kwa hali ya kawaida.

Ni jambo la asili. Na kwakuwa chanzo chake bado watu hatufaham vizur bas ndio maana tunahusisha na Mungu.
(Maana vitu vyote vyenye nguvu ya asili ambayo bado hatufaham tunasema ni Nguvu ya Mungu).

Uchawi unaweza kuwa Hasi au chanya.
Mtu akilogwa na kudhurika tunasema ni uchawi. Ila tunasahau kuwa hata mtu akienda kwa mganga na kupewa dawa za mitishamba kukigwa na huo uchawi na mambi mengine kuwa ni Uchawi pia.

Uchawi ulikuwepo hata zaman sana kabla ya Yesu na Mtume.

Hadithi zinasema Mussa alishindana na Wachawi wa Farao.

Ukiangalia kwa muktadha huu. Basi bila shaka Uchawi upo.
Maana uchawi sio kulogwa tu.
 
Ukijua kutengenisha kati ya IMANI na FACT basi haya mambo hayatakupa shida sana.

Yes ni kweli binadamu hajui mambo mengi sana kuhusu huu ulimwengu, maybe tunajua 0.001% ya huu ulimwengu

Mambo tunayo yajua na tunaweza kuyathibitisha tunayaita FACT

Mambo ambayo Hatuyajui tunabuni na kutunga tunayaita IMANI

Changamoto ni pale tunapoishi kwa kutumia FACT lakini tukiamini ni IMANI inayotuwezesha

Mfano mtu anafanya kazi akipata hela anaamini ni MUNGU kampa RIZIKI
Akiumwa anaamini Shetani akitumia dawa akapona anaamini Mungu kamponya

Unazungumzia Makanisa kwasababu makuzi yako yamekufanya UAMINI dunia nzima wana makanisa na kuabudu kama unavyo abudu wewe
Ukienda China kuna watu hawajui hata kama kudini zingine zidi ya mabudha yao na wana maisha bora kabisa kuliko walokole wanaokesha makanisani Afrika na Waislam wanaoswali swala tano Somalia au Sudan

Kwa bahati mbaya sana haya mambo ya IMANI wenzetu walio endelea wameacha kuyapa kipaumbele kwenye maisha yao ya kila siku, imebaki kama tamaduni na fantasy tu za baadhi ya watu

Lakini huku kwetu dunia ya tatu IMANI ndio kipaumbele cha kwanza kwenye maisha yetu
Kila kitu tunaamini Mungu atafanya tukimuomba kwa bidii

Israel wanajilinda kwa iron dome na kila silaha za hali ya juu lakini sisi tunaamini tunalindwa Mungu wa Israel.

Israel ni kame na wanageuza maji ya bahari kuwa baridi kumwagilia mashamba wakati sisi mvua ikigoma tunajazana makanisani kumuomba Mungu wa Israel atupe mvua.
Fact umeongelea katika very narrow sense. Fact inaweza kuwa social fact, hii inapatikana pale ambapo imani yetu remained unchallenged any more... yani pale ambapo hakuna pingamizi juu ya ile imani yetu. Hapo ndipo tunaamini kuwa hiki kitu ni kweli na kipo. Uchawi ni spriritual realism na sio empirical evidenced

Shida ya Spiritual, hazina standard ya kuonekana kuwa kweli kwenye vigezo vya empiricism yani sense through observe, feeling, smell or hearing. Kwa muktadha huo sasa mambo ya spirit ikiwemo uchawi inabaki kuwa personal. Yani kukubali upo mpaka ukutane nao. So kuwepo kwa uchawi sio tena universal truth. Lakin kuna dhana nyingi sana znaelezea sayansi hii ya uchawi(occult), unajimu au elimu nyota (astrology) na utabiri (palmistry).
 
Je unadhani ni kwanini uchawi una exist pia kwanini nchi nyingi za Africa zenye maendeleo duni hazijaweza kutumia uchawi kutatua changamoto zilizopo?
 
Fact umeongelea katika very narrow sense. Fact inaweza kuwa social fact, hii inapatikana pale ambapo imani yetu remained unchallenged any more... yani pale ambapo hakuna pingamizi juu ya ile imani yetu. Hapo ndipo tunaamini kuwa hiki kitu ni kweli na kipo. Uchawi ni spriritual realism na sio empirical evidenced

Shida ya Spiritual, hazina standard ya kuonekana kuwa kweli kwenye vigezo vya empiricism yani sense through observe, feeling, smell or hearing. Kwa muktadha huo sasa mambo ya spirit ikiwemo uchawi inabaki kuwa personal. Yani kukubali upo mpaka ukutane nao. So kuwepo kwa uchawi sio tena universal truth. Lakin kuna dhana nyingi sana znaelezea sayansi hii ya uchawi(occult), unajimu au elimu nyota (astrology) na utabiri (palmistry).
Cha kushangaza sayansi haiamini uchawi ila inakubali na kutumia hypnosis na hypnotherapy, inamini brainwaves frequency kwenye relaxation, wakati hivyo vitu na uchawi vina ukaribu mkubwa mno kwa kuwa vyote vinatumia frequency, wachawi wanatumia maneno yao maalum (chants), wanatumia nyimbo na ngoma ambavyo vyote ni aina ya frequency, wanasayansi wanachagua wao aina gani ya frequency kisha wanaipa title ya facts na nyingine zinakuwa spiritual
 
Je kwq namna ambayo uchawi unafanya kazi, tunaweza ku7elezea katika nadharia yoyote ya physical science?
 
Kwanza kuna concept ya dimension na portals ambazo sayansi kwa sasa wanazifanyia uchunguzi hivyo huenda wachawi hutumia aina flani ya frequency inayofanya aweze kutengeneza portals ya muda mfupi na kuitumia kwenda anapotaka, kutumia hypnosis ku manipulate mawazo yako au frequency healing kutibu magonjwa, kuna theory ya thermodynamics inasema "in a closed area system shut down" ila ikiwa open energy ika flow toka nje unaweza ku heal haraka hata kuishi maisha marefu budha walikuwa wanatumia mbinu hizo kuishi miaka mingi.

Kuna concept ya quantum entanglement ambayo inasema particle mbili tofauti zinaweza kuwa na muunganiko wa ajabu wa kufanya hata moja ikiwa Tanzania na nyingine ikiwa Urusi ambapo chochote utachofanya kwenye moja kuna athari zinatokewa kwa mwingine muda huo huo kwa spidi zaidi ya mwanga, wanasayansi hawaelewi ni nini ila huu kama sio uchawi na mambo ya miujiza ni nini. Kuna superposition inasema particle moja inaweza kuwa sehemu mbili tofauti kwa wakati mmoja yani ipo dodoma sasa hivi pia hyo hyo particle ipo ujerumani sasa hivi, huu ni uchawi na mambo ya miujiza ila hawataki kukubali,
 
Uchawi upo wa aina mbili, kuna ule unahusisha objects za muhanga kama nywele, nguo. Na kuna ule ambao kinatengenezwa kinyago kinaunagnishwa na nafsi yako kama Voodoo. Huu uchawi aima ya voodo unaweza kuelezewa na hiyo nadharia ya object moja kuwq sehem mbili kama nimekuelewq vizur
 
Ukipata majibu ya maswali yako utaiacha dini. Utakuwa huru na utaijua dunia.
Chakujua tu ni kuwa, kuna uhusiano wa karibu kati ya utawala na dini au imani. Dini ni njia za kuhalalisha utawala toka enzi na enzi. Dini ni extension ya administration na kinachoiunganisha dini na uongozi ni politics.

Soma hii story.
Kuna mtu alinunua eneo akatengeneza mabwawa ya samaki ma2 kisha akayajaza maji, vyakula, mapambo na hewa (yaani vyote ambavyo samaki wanahitaji). Bwawa 1 akaweka sato na la 2 akaweka kambale. Akaacha hapo akaondoka zake kusimamia mladi wake mwingine wa kuku sehemu nyingine.

hawa samaki sangala walipokuwa wakubwa wakaanz kujiulza wametoka wapi na hatima yao ni nini. Baada ya kulizunguka bwawa sana wakajithibitishia duniani kote ni wao tu ndio wanaishi, pia kambale vivyo hvyo.

wakatokea samaki wenye nguvu wakapiga wengine na kuwaweka utumwani (pharao) na kutengeneza jeshi mahakama na mfumo wa uongozi ili kuhakikisha kundi lao ndio linajimilikisha vyote (vyakula, mapambo mazuri n.k). Kisha hili kundi likaitwa serikali ya samak. Likaanzisha utaratibu wa kufundisha hofu, heshima na unyonge kwa watoto wote wa samaki dhidi yao, ikawa hvyo.
likaunda kundi la 2 la kuwasifia na kuwa dalali kati yao waongozaji na samaki wengine hawa ni viongozi wa dini.

hivi ndivyo ilivyokuwa.
je lengo la wewe kuwa hai ni nini mpaka sasa, umetoka wapi na mwisho wako ni upi.

anzia mfano huu utagundua hata sasa ulipo unafanya nini. Ila mpk kuhoji hvyo tu, umeanza kufikiri nje ya box
 
Ndio kitu kama hicho
 
Ukijua kutengenisha kati ya IMANI na FACT basi haya mambo hayatakupa shida sana.

Yes ni kweli binadamu hajui mambo mengi sana kuhusu huu ulimwengu, maybe tunajua 0.001% ya huu ulimwengu

Mambo tunayo yajua na tunaweza kuyathibitisha tunayaita FACT

Mambo ambayo Hatuyajui tunabuni na kutunga tunayaita IMANI

Changamoto ni pale tunapoishi kwa kutumia FACT lakini tukiamini ni IMANI inayotuwezesha

Mfano mtu anafanya kazi akipata hela anaamini ni MUNGU kampa RIZIKI
Akiumwa anaamini Shetani akitumia dawa akapona anaamini Mungu kamponya

Unazungumzia Makanisa kwasababu makuzi yako yamekufanya UAMINI dunia nzima wana makanisa na kuabudu kama unavyo abudu wewe
Ukienda China kuna watu hawajui hata kama kudini zingine zidi ya mabudha yao na wana maisha bora kabisa kuliko walokole wanaokesha makanisani Afrika na Waislam wanaoswali swala tano Somalia au Sudan

Kwa bahati mbaya sana haya mambo ya IMANI wenzetu walio endelea wameacha kuyapa kipaumbele kwenye maisha yao ya kila siku, imebaki kama tamaduni na fantasy tu za baadhi ya watu

Lakini huku kwetu dunia ya tatu IMANI ndio kipaumbele cha kwanza kwenye maisha yetu
Kila kitu tunaamini Mungu atafanya tukimuomba kwa bidii

Israel wanajilinda kwa iron dome na kila silaha za hali ya juu lakini sisi tunaamini tunalindwa Mungu wa Israel.

Israel ni kame na wanageuza maji ya bahari kuwa baridi kumwagilia mashamba wakati sisi mvua ikigoma tunajazana makanisani kumuomba Mungu wa Israel atupe mvua.
Sisi tumechanganyikiwa na waliotuchanganya ni wazungu kwa kutuhusisha na hao Israel
 
Nimekuelewa vizuri ndugu, but why does religion always seem to be connected to supernatural things? For example, mtu akisemekana kalogwa, it's considered a supernatural act na kisababishi ni uchawi so kwanini huyo mtu akiombewa, ana recover(kupona), na wengi tumeshuhudia haya?

Also, kuhusu Sheria za nchi je Hatuwezi kuishiwe peacefully and morally bila dini but under national laws and regulations? For instance, China wana many atheists yet it’s serekali yao inaweza kuwa control vizuri na pia ni nchi iliyoendelea.
 
Ukijua kutengenisha kati ya IMANI na FACT basi haya mambo hayatakupa shida sana.

Yes ni kweli binadamu hajui mambo mengi sana kuhusu huu ulimwengu, maybe tunajua 0.001% ya huu ulimwengu

Mambo tunayo yajua na tunaweza kuyathibitisha tunayaita FACT

Mambo ambayo Hatuyajui tunabuni na kutunga tunayaita IMANI

Changamoto ni pale tunapoishi kwa kutumia FACT lakini tukiamini ni IMANI inayotuwezesha

Mfano mtu anafanya kazi akipata hela anaamini ni MUNGU kampa RIZIKI
Akiumwa anaamini Shetani akitumia dawa akapona anaamini Mungu kamponya

Unazungumzia Makanisa kwasababu makuzi yako yamekufanya UAMINI dunia nzima wana makanisa na kuabudu kama unavyo abudu wewe
Ukienda China kuna watu hawajui hata kama kudini zingine zidi ya mabudha yao na wana maisha bora kabisa kuliko walokole wanaokesha makanisani Afrika na Waislam wanaoswali swala tano Somalia au Sudan

Kwa bahati mbaya sana haya mambo ya IMANI wenzetu walio endelea wameacha kuyapa kipaumbele kwenye maisha yao ya kila siku, imebaki kama tamaduni na fantasy tu za baadhi ya watu

Lakini huku kwetu dunia ya tatu IMANI ndio kipaumbele cha kwanza kwenye maisha yetu
Kila kitu tunaamini Mungu atafanya tukimuomba kwa bidii

Israel wanajilinda kwa iron dome na kila silaha za hali ya juu lakini sisi tunaamini tunalindwa Mungu wa Israel.

Israel ni kame na wanageuza maji ya bahari kuwa baridi kumwagilia mashamba wakati sisi mvua ikigoma tunajazana makanisani kumuomba Mungu wa Israel atupe mvua.
Kuna one issue ambayo mpaka sasa najiuliza kuna baadhi ya actions ambazo wengi wetu tunashuhudia hata hapa. For example, kuna watu wanaweza kutabiri kitu exactly as it happens, bila hata kujua details(manabii na hata zamani walikuwepo), sometimes even mentioning names or specific events za future. But based on science, some people explain this as time travelling or something similar.

The same applies kwenye uponyaji for instance, tukichukua wagonjwa 100 kutoka Muhimbili Hospital, tukawapeleka kwenye baadhi ya makanisa fulani you'll find that kuna asilimia ya watu watakaopona kwa Imani sudenly , even doctors can’t explain it. Na vipimo vinaonyesha wagonjwa hao ni wazima kabisa.

So my question ni kwamba, why shouldn’t we trust in religion or prayers if such things have been proven to work, or is it just that science hasn’t yet found an explanation for them?

Since Imani ni proven to some people, why not calling it facts. Maana ya fact ni kitu Cha kweli sio Cha kudhaniwa mtu kapona it's a factual thing.
 
Hii ishu nahisi ni probability mtu ukisema kitu flani kitatokea kwa kufuata mpangilio wa matukio yaliyopita odds za wewe kupata ni 50/50 maana unaweza kuwa sawa na unaweza kukosea, ukipata ndo utaonekana mtabiri ila ni mambo mangapi wanakosea kwenye utabiri wao, ni kama kwenye betting mtu anaweza kutabiri correct score na kweli ikawa vile vile, hivyo na yeye tunaweza kumuita jamaa ana uchawi au miujiza,

Hata kwenye wagonjwa pia ni probability kutokana na immune system ya mtu husika na aina ya ugonjwa , mtu kama ana immune system nzuri hata usipompeleka kwenye maombi ukampeleka sehemu nyingine atapona tu, wangapi wanatoka hospitali na kwenda nyumbani bila maombi na wanakuwa vizuri tu, je ni wangapi wanaofanyiwa maombi tu na wanakufa ni wengi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom