Usingizi maana yake nini? Kwanini viumbe hai husinzia?

Usingizi maana yake nini? Kwanini viumbe hai husinzia?

Hivi usingizi maana yake ni nini hasa?

Je, ni kupoteza fahamu kwa muda au ni nusu kifo?

Je, ili tusinzie ni lazima kufumba macho au tunaweza kusinzia bila kufumba macho kama Sungura?

Kuna viumbe hai wasiosinzia? Kwanini?

Kwanini watu huota wasinziapo?
Unasema habari ya VIUMBE HAI kusinzia: kwa hiyo miti pia husinzia eti???? Unachekesha lakini!!?!!?
 
Ubongo haupumziki. Sema baadhi ya sehemu za ubongo ndizo hupumzika. Kuna sehemu zikipumzika ndo basi tena lazima uwe R.I.P.
Mi najua usingizi ni njia ya kupumzisha ubongo ili uweze kutunz kumbukumbu ya vitu alivyovifanya mtu kwa masaa kadhaa yaliyopita.

Kuna magazine nilisoma last wiki ilielezea kuhusu faida za usingizi. I think ni Time magazine au the Economist. Wanasema mtu aliyelala ana uwezo mkubwa zaidi wa kukumbuka vitu vya juzi kuliko yule aliyekesha tangu juzi.
 
Haya maswali ni ya vidudu, wewe mtu mzima wa meno 32 unauliza swali la namna hii tukuelewe vipi.

Yaani hadi umri huu haujui watu hulala kama sehemu ya kibailojia ya kuusaidia mwili kupumzika na kuweka sawa maeneo ambayo hayapo poa....
 
Back
Top Bottom