Usingizi maana yake nini? Kwanini viumbe hai husinzia?

Usingizi maana yake nini? Kwanini viumbe hai husinzia?

Nasikia hata wataalamu hawajajua mpaka leo trigger ipo wapi kumfanya mtu alale, nilisikia sehemu lakini[emoji6]
Kila mtu ana yake
Mi nikishikwa ngozi ya kichwa/scalp lazma nilale haraka
Inatokea sana saluni mda wana massage mafuta kwny ngozi
 
Kuhusu mtu kusema usingizi mzito ama mnene ni maneno tu yanayoashiria kuwa umelala sana ama fofofo zaidi kulinganisha na siku nyingine ambapo inaweza ikapimwa kwa kutoshtuka kirahisi ulipoguswa ama kuitwa au kuchelewa kuamka.

Ni kama tu anavyosema "mpunga mnene" kwa kumaanisha hela nyingi ama kiburungutu kikubwa cha pesa na si lazima upime kwa kulinganisha na unene wa mbuyu 🙄, pia ni sawa na mtu anavyosema "hela ndefu" .... kwani huwa tunapima kwa futi????
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Very funny
 
Mi najua usingizi ni njia ya kupumzisha ubongo ili uweze kutunz kumbukumbu ya vitu alivyovifanya mtu kwa masaa kadhaa yaliyopita.

Kuna magazine nilisoma last wiki ilielezea kuhusu faida za usingizi. I think ni Time magazine au the Economist. Wanasema mtu aliyelala ana uwezo mkubwa zaidi wa kukumbuka vitu vya juzi kuliko yule aliyekesha tangu juzi.
yaani ulisoma last wik tu lakini leo hujui ilikuwa magazine gani?kama ni dent,kazi ipo..😀
 
Wewe ndiye mrithi wa Sheikh Yahya?

Umekimbia mjadala kule umerukia huku?

Get off my dilsnick already.
Kwaiyo unadhani "tukio la kulala/kusinzia" liliwekwa na nani mkuu? Mungu au Science?
 
Kwaiyo unadhani "tukio la kulala/kusinzia" liliwekwa na nani mkuu? Mungu au Science?
Kwa nini unauliza nani? Huoni kwamba ukiuliza "nani" halafu ukanilazimisha nichague Mungu au Science tayari swali lako lishalenga kwenye jibu moja hapo? Kwani Science ni mtu?Science inannafsi? Unajua katika Kiswahili swali la "nani" linatumika sehemu gani? Unajua Kiswahili?
 
Hahahah daaah ila we kiranga ni mtu wa ajabu sanaa...

Naweza kukutafsiri kama mtu aliesomea sana psychology, unasoma sanaa vitabu, unafikiria sanaa, deep thinking na nahisi umewahi kusomea maswala ya criminology au intelligence investigation amabyo ndani yake kuna matumizi ya logic n.k

Uko vizuri asee daah!
Ila hiyo isikuponze mkuu, Mwenyezi Mungu yupo, alikuweko na ataendelea kuwepo milele
 
Thibitisha Mungu yupo na si hadithi tu.
 
Hivi usingizi maana yake ni nini hasa?

Je, ni kupoteza fahamu kwa muda au ni nusu kifo?

Je, ili tusinzie ni lazima kufumba macho au tunaweza kusinzia bila kufumba macho kama Sungura?

Kuna viumbe hai wasiosinzia? Kwanini?

Kwanini watu huota wasinziapo?
viumbe hai ni
1.wanyama na
2.mimea

nb; na ktk xfa zao iyo ya kusinzia haipo
 
Back
Top Bottom