Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 87,482
- 151,610
Mwili gani? Nafsi ni nini na roho ni nini?Ok, wacha nibadilishe swali
Unajua nini kuhusu mwili, nafsi na roho...?
Je mwili ni nini?
Unaelewa nini kuhusu nafsi? Na roho?
Mwili gani? Nafsi ni nini na roho ni nini?Ok, wacha nibadilishe swali
Unajua nini kuhusu mwili, nafsi na roho...?
Je mwili ni nini?
Unaelewa nini kuhusu nafsi? Na roho?
Wewe unaujua mwili gani..?Mwili gani? Nafsi ni nini na roho ni nini?
Asante mkuuWewe unaujua mwili gani..?
Mbona hukuuliza mwili ni nini?.. Kwa sababu unaujua mwili, wewe unaujud mwili gani..?
Wewe unaujua mwili gani..?
Mbona hukuuliza mwili ni nini?.. Kwa sababu unaujua mwili, wewe unaujud mwili gani..?
Siwezi kujibu swali ambalo umeshindwa kuuliza.@kiranga tujibu kwanza hili swali
Mwili ni nini..? Unafahamu nini kuhusu mwili..?
Swali langu lilijumuisha mwili, nafsi na roho...Siwezi kujibu swali ambalo umeshindwa kuuliza.
Mimi nataka kujibu swali unalotaka kuuliza.
Wewe hujaweza kuuliza swali linaloeleweka.
Unauliza mwili ni nini?
Mwili gani?
Wewe unaujua mwili gani..?Siwezi kujibu swali ambalo umeshindwa kuuliza.
Mimi nataka kujibu swali unalotaka kuuliza.
Wewe hujaweza kuuliza swali linaloeleweka.
Unauliza mwili ni nini?
Mwili gani?
Mtu ataelewaje mwili gani kabla wewe hujamtajia huyo mtu mwili gani?Swali langu lilijumuisha mwili, nafsi na roho...
Kwa uelewa wa haraka hapo mtu ataelewa namaanisha mwili gani...!
Ni hivi kwa kifupi kiranga mi naona ww umeamua tu kushupaza shingo kubishia haya maswala lakini ukweli na uhalisia unao moyoni mwako.
Wewe unaujua mwili gani..?Mtu ataelewaje mwili gani kabla wewe hujamtajia huyo mtu mwili gani?
Hapa lazima mkesheWewe unaujua mwili gani..?
Sio tukeshe tu, hatajibuHapa lazima mkeshe
Mi naona Kiranga anachokifanya ni ujanja ujanja tu, kukwepa maswali na fact...Sio tukeshe tu, hatajibu
Tatizo huna nidhamu katika kuuliza maswali.Mi naona Kiranga anachokifanya ni ujanja ujanja tu, kukwepa maswali na fact...
Anachokifanya ni kujibu swali kwa swali....? Na huwa hatoagi maelezo ya kitu utakacho muuliza.
Mtu umeulizwa neno "mwili" unaanza kuhoji. Kwani hilo neno lina tafsiri ngapi?? Ukiwa ni wa mnyama, samaki au wa bunadamu yote ni miili au mwili kwa singularity. Ila mtu bado atahoji
Kuna kitu nimejifunza hapaMimi nafaham kua usingizi unakua kwenye control ya HYPOTHALAMUS kwenye ubongo, hii ni moja ya sehem zinazocontrol matendo yasio ya hiari/uncoscious mind.
Pia najua kua usingizi una stages kama tatu hivi, kuna ule wa maruweruwe na kuna ule kama umekufa/usingizi mzito na kuna ule wa kustukastuka. Ule mzito unaitwa REM(rapid eye movement), mtu akiwa kwenye uzingizi mzito ndipo huambatana na ndoto na kwa watu walio katika stage ya balehe mara nyingi ndoto hizi hua nyevu/wananyevuka, so katika stage hii, mwili huzalisha kemikali inayosambazwa mwilini ili kuparalize mwili/kuupa mwili ganzi, ili usisikie maumivu wakati mwili unafanya process zake au wakati unaota na mara nyingine hata kuanguka/kugonga kitu kama kitanda n.k, pia mwili hulegezwa kabisa viungo ili uweze kufanya vile ambavyo unconscious mind inataka; ndio mana mtu akiamka kwanza huanza kunyoosha viungo, mtu akifa viungo vinakaza tofaut na usingiz viungo hulegezwa
Mwili ambao ww (nafsi na roho) upo ndani yake ndio nahitaji kujua..!Tatizo huna nidhamu katika kuuliza maswali.
Na nikikifundisha nidhamu, unaropoka.
Umeuliza mwili ni nini. Mimi nimetaka nikujibu kwa kituo, ili niweze kukujibu vizuri, nijibu swali unalouliza, si ninalofikiri mimi tu unauliza, nimekuomba unijulishe mwili gani?
Umekataa.
Kwa nini?
Mwili ambao ww (nafsi na roho) upo ndani yake ndio nahitaji kujua..!
Twende kwa step.. usiniulize nafsi ni nini? Wala roho ni nini? Naomba nijibu kwanza swali langu
Kazi nzuriWatu wengi wamekuwa wakijiuliza nini maana ya usingizi au nini hutokea wakati MTU akiwa usingizini.maana halisi ya usingizi ni kukatika kwa mawasiliano kwa mda kati ya nafsi na mwili.mwanadamu ni Roho yenye nafsi inayokaa ndani ya mwili. Hivyo, mwanadamu amegawanyika sehemu tatu MWILI ROHO NA NAFSI.
Mwanadamu anapokuwa usingizini mawasiliano kati ya nafsi na mwili yanakuwa yamekatika kwa mda ili kurusu mwili kupumzika kwa mda. Roho huwa haipumzika Bali mwili hupumzika.
Mwanadamu ameumbwa na fahamu mbili ufahamu mkubwa unaotawala matendo yasiyo ya hiali(subconscious mind na ufahamu mdogo yaani conscious mind inahusika na matendo ya hiari.
Sasa, NAFSI ya mwanadamu ambako ndio kuna HISIA NIA UTASHI AKILI MAAMUZI ambako huendeshwa na conscious mind hupokea taarifa kutoka super conscious mind kwamba sasa ni mda wa kulala ndipo hutoa taarifa kwa conscious mind ndipo huanza kukata masiliano taratibu kupitia kuzimika kwa milango ya fahamu hadi kulala usingizi ambapo ndipo MTU hajitambui kabisa.
HAPO NDIPO SUBCONSCIOUS MIND HUFANYA KAZI KWA UFANISI ZAIDI Kwa kutawala matendo mbalimbali kama msukumo wa damu.ndoto .nk.
Je wewe unafahamu nini kuhusu usingizi?
Karibu
Aiyaaaaa ushamkosa kiranga...Mwili ambao ww (nafsi na roho) upo ndani yake ndio nahitaji kujua..!
Twende kwa step.. usiniulize nafsi ni nini? Wala roho ni nini? Naomba nijibu kwanza swali langu