Usingizi maana yake nini? Kwanini viumbe hai husinzia?

Nasikia hata wataalamu hawajajua mpaka leo trigger ipo wapi kumfanya mtu alale, nilisikia sehemu lakini
 
Hivi nafsi na roho wana uhusiano gani? Nilifikiria mtu ana sehemu mbili roho na mwili. Kama roho haipumziki basi imejikita kwenye moyo kwani moyo haupumzika mpaka mwisho (kifo)
 
umechanganua vyema mkuu,,bila kusahau mapigo ya moyo nayo husimamiwa na subconcious
Mkuu moyo hautegemeani na ubongo kwenye kujiendesha bali moyo wenyewe huwa una special cells zijulikanazo kama PACEMAKERS CELLS ambazo ni special na tofauti na cell nyengine kiutendaji ambazo zenyewe sasa huweza kuzalisha umeme ambao hutumika kwenye kusukumia moyo na umeme huo huanzia sehemu inayoitwa SINO ATRIAL NODE ambapo kuja kama nerves zilizojilaza kuelekea upande wa ncha ya chini ya moy.o ALAMSIK
 
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza nini maana ya usingizi au nini hutokea wakati MTU akiwa usingizini.maana halisi ya usingizi ni kukatika kwa mawasiliano kwa mda kati ya nafsi na mwili.mwanadamu ni Roho yenye nafsi inayokaa ndani ya mwili.hivyo mwanadamu amegawanyika sehemu tatu MWILI ROHO NA NAFSI.mwanadamu anapokuwa usingizini mawasiliano kati ya nafsi na mwili yanakuwa yamekatika kwa mda ili kurusu mwili kupumzika kwa mda. Roho huwa haipumzika Bali mwili hupumzika.

Mwanadamu ameumbwa na fahamu mbili ufahamu mkubwa unaotawala matendo yasiyo ya hiali(subconscious mind na ufahamu mdogo yaani conscious mind inahusika na matendo ya hiari.sasa NAFSI ya mwanadamu ambako ndio kuna HISIA NIA UTASHI AKILI MAAMUZI ambako huendeshwa na conscious mind hupokea taarifa kutoka super conscious mind kwamba sasa ni mda wa kulala ndipo hutoa taarifa kwa conscious mind ndipo huanza kukata masiliano taratibu kupitia kuzimika kwa milango ya fahamu hadi kulala usingizi ambapo ndipo MTU hajitambui kabisa.HAPO NDIPO SUBCONSCIOUS MIND HUFANYA KAZI KWA UFANISI ZAIDI Kwa kutawala matendo mbalimbali kama msukumo wa damu.ndoto .nk.

Je wewe unafahamu nini kuhusu usingizi?

Karibu
Mkuu naomba tofauti kati ya roho na moyo
 
thecuriouspage-20171122-0001.jpg
 
Mimi nafaham kua usingizi unakua kwenye control ya HYPOTHALAMUS kwenye ubongo, hii ni moja ya sehem zinazocontrol matendo yasio ya hiari/uncoscious mind.
Pia najua kua usingizi una stages kama tatu hivi, kuna ule wa maruweruwe na kuna ule kama umekufa/usingizi mzito na kuna ule wa kustukastuka. Ule mzito unaitwa REM(rapid eye movement), mtu akiwa kwenye uzingizi mzito ndipo huambatana na ndoto na kwa watu walio katika stage ya balehe mara nyingi ndoto hizi hua nyevu/wananyevuka, so katika stage hii, mwili huzalisha kemikali inayosambazwa mwilini ili kuparalize mwili/kuupa mwili ganzi, ili usisikie maumivu wakati mwili unafanya process zake au wakati unaota na mara nyingine hata kuanguka/kugonga kitu kama kitanda n.k, pia mwili hulegezwa kabisa viungo ili uweze kufanya vile ambavyo unconscious mind inataka; ndio mana mtu akiamka kwanza huanza kunyoosha viungo, mtu akifa viungo vinakaza tofaut na usingiz viungo hulegezwa
 
Kupiga mwayo ni hali isiyo ya hiyari ambayo husababishwa na ubongo kukosa hewa ya kutosha hvyo bhc unaongeza hewa ya okiseji kwenye ubongo mara nyingi hutokea ukiwa na uchovu, njaa AND etc
 
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza nini maana ya usingizi au nini hutokea wakati MTU akiwa usingizini.maana halisi ya usingizi ni kukatika kwa mawasiliano kwa mda kati ya nafsi na mwili.mwanadamu ni Roho yenye nafsi inayokaa ndani ya mwili. Hivyo, mwanadamu amegawanyika sehemu tatu MWILI ROHO NA NAFSI.

Mwanadamu anapokuwa usingizini mawasiliano kati ya nafsi na mwili yanakuwa yamekatika kwa mda ili kurusu mwili kupumzika kwa mda. Roho huwa haipumzika Bali mwili hupumzika.

Mwanadamu ameumbwa na fahamu mbili ufahamu mkubwa unaotawala matendo yasiyo ya hiali(subconscious mind na ufahamu mdogo yaani conscious mind inahusika na matendo ya hiari.

Sasa, NAFSI ya mwanadamu ambako ndio kuna HISIA NIA UTASHI AKILI MAAMUZI ambako huendeshwa na conscious mind hupokea taarifa kutoka super conscious mind kwamba sasa ni mda wa kulala ndipo hutoa taarifa kwa conscious mind ndipo huanza kukata masiliano taratibu kupitia kuzimika kwa milango ya fahamu hadi kulala usingizi ambapo ndipo MTU hajitambui kabisa.

HAPO NDIPO SUBCONSCIOUS MIND HUFANYA KAZI KWA UFANISI ZAIDI Kwa kutawala matendo mbalimbali kama msukumo wa damu.ndoto .nk.

Je wewe unafahamu nini kuhusu usingizi?

Karibu
Vizuri sana tupo pamoja sana.
 
Back
Top Bottom