Chemagati
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 210
- 286
Dada kaolewa kwa ndoa, maisha yanaendelea na matatizo na furaha ni sehemu ya maisha kapata mchepuko akaanza kubadilika na dharau kwa mme, atimae kaamua mwenyewe kuomba talaka kwa kutegemea mali ataachiwa kwa sababu anawatoto na mme wake.
Mahakama ilikubali talaka ila mali kwa wagawane, nyumba ikauzwa sasa mke kapoteza mali na mme anazurura maskini watoto wanaangaika kwa ujinga wa mama yao
Mahakama ilikubali talaka ila mali kwa wagawane, nyumba ikauzwa sasa mke kapoteza mali na mme anazurura maskini watoto wanaangaika kwa ujinga wa mama yao