Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,371
Hakutakuwa na tofauti
Mchepuko sio mpumbavu kiivyo. Unadhani hajui kama na yeye akimuweka ndani atachukuliwa kama alivyofanya yeye. Anajua kichwa cha huyo dada ni bogusMchepuko yupo wapi?
Hakutakuwa na tofauti
Mwanamke mpumbavu ataibomoa nyumba yake mwenyewe kwa mikono yakeDada kaolewa kwa ndoa, maisha yanaendelea na matatizo na furaha ni sehemu ya maisha kapata mchepuko akaanza kubadilika na dharau kwa mme, atimae kaamua mwenyewe kuomba talaka kwa kutegemea mali ataachiwa kwa sababu anawatoto na mme wake.
Mahakama ilikubali talaka ila mali kwa wagawane, nyumba ikauzwa sasa mke kapoteza mali na mme anazurura maskini watoto wanaangaika kwa ujinga wa mama yao
Sio lazima awepo humu, pateni mafunzo maana huwa mna viherehere sana kwenye kuvunja amani ya familia na matokeo yake watoto ndiyo wanapata tabu..Huyo bidada yupo humu?
Haya mambo ndio yananifanya kila siku nizidi kusogeza mbele vikao vya harusi!
mkuu wee balaa.sukuma ndani huyo mwanamkeDada kaolewa kwa ndoa, maisha yanaendelea na matatizo na furaha ni sehemu ya maisha kapata mchepuko akaanza kubadilika na dharau kwa mme, atimae kaamua mwenyewe kuomba talaka kwa kutegemea mali ataachiwa kwa sababu anawatoto na mme wake.
Mahakama ilikubali talaka ila mali kwa wagawane, nyumba ikauzwa sasa mke kapoteza mali na mme anazurura maskini watoto wanaangaika kwa ujinga wa mama yao



kwa iyo kila mchepuko una ukimwi!!?, mbona mnatukosea heshima sisi michepuko bhana!!Unaacha mzazi mwenzio, unamzingua, unamfelisha, mnaachana unaenda kuishi kwa mchepuko na mali ulizompora mshkaji, mchepuko anazitumia, zinaisha anakufukuza na anakuachia na ka UKIMWI, unarudi kuwasumbua ndugu ama wazazi, unajisikia aibu hata kuhudhulia hospital, unadhoofu, ukipita mtaani kila mtu anakusema vibaya wewe, umalaya wako unakuwa silaha kali dhidi yako, unadhoofu, unatia huruma, Mungu anakuweka hufi wala nini, yaani unakongoroka unakuwa Kama kasa, unahara kama kinda la bata mzinga, baadae sana ndo unakumbuka kwenda kanisani wakakuombee....shenzi kabisa......nimeandika haya kwa hasira kidogo.
Umeandika kwa hasira ila yana ujumbe wa mhimu sana wanawake wajifunze uchepukaji siyo dili zaidi ni kujiharibia maisha tu.Unaacha mzazi mwenzio, unamzingua, unamfelisha, mnaachana unaenda kuishi kwa mchepuko na mali ulizompora mshkaji, mchepuko anazitumia, zinaisha anakufukuza na anakuachia na ka UKIMWI, unarudi kuwasumbua ndugu ama wazazi, unajisikia aibu hata kuhudhulia hospital, unadhoofu, ukipita mtaani kila mtu anakusema vibaya wewe, umalaya wako unakuwa silaha kali dhidi yako, unadhoofu, unatia huruma, Mungu anakuweka hufi wala nini, yaani unakongoroka unakuwa Kama kasa, unahara kama kinda la bata mzinga, baadae sana ndo unakumbuka kwenda kanisani wakakuombee....shenzi kabisa......nimeandika haya kwa hasira kidogo.
Kuna tofauti kubwa kati ya mwanaume na mwanamke ktk uchepukaji. Mwanaume huchepuka kutimiza haja zake muda na kamwe haondoki na akili zake zote, kama ana mke atabaki kumheshimu na kumpenda kama kawaida. SASA kwa mwanamke akichepuka anajibeba mzima mzima na akili zake na upendo wake...kifuatacho ndani ya ndoa ni dharau, matusi n kelele zisizo na maana yeyote ile!
Hata zama za kale ktk maandiko mwanaume alioa mwanamke zaidi ya mmoja, ila haijawahi tokea mwanamke akolewa na wawili kwa wakati mmoja.
Ktk maandiko wanawake waliokuwa na uhusiano na zaidi ya mume mmoja wanajulikana kama MAKAHABA.
Sasa wewe mwanadada unayechepuka na una mume wako wa ndoa, tukuiteje zaidi ya Kahaba?


upo nje ya key ya mtoa madaKaka tena ni bora uoe halaf mjenge pamoja ili nyote mjue uchungu wa mlichokitafuta.Wakuu ndio maana mimi nataka nijenge tu walau chumba kimoja halafu ndio nioe lakini sio kuoa halafu mjenge wote then alete upumbavu no.
Joanah huwa nakupendaa sanaa nikionaa post yako natetemekaa kila mahalaaNajua ameleta ili na wengine tupone kupitia huu ujumbe
Ila nilitaka kujua kama muhusika yupo humu