ngakotecture
JF-Expert Member
- Dec 30, 2014
- 2,832
- 3,186
Sawa nimekupata sasa iyo nyumba ya watoto au ya kwanguKaka tena ni bora uoe halaf mjenge pamoja ili nyote mjue uchungu wa mlichokitafuta.
Maadam umefunga nae ndoa siku akienda mahakaman mtagawana sawa mpaka vijiko bila kujal ulitafuta mali peke yako.
Suala la nyie kuwa mke na mume na mna watoto ni kabali tosha ya kukukaba 50% kwa 50%
Omba tu Mungh haya ayapitishe mbali
Sent using Jamii Forums mobile app



