Usilie,pole dada uliyataka mwenyewe

Usilie,pole dada uliyataka mwenyewe

Unaacha mzazi mwenzio, unamzingua, unamfelisha, mnaachana unaenda kuishi kwa mchepuko na mali ulizompora mshkaji, mchepuko anazitumia, zinaisha anakufukuza na anakuachia na ka UKIMWI, unarudi kuwasumbua ndugu ama wazazi, unajisikia aibu hata kuhudhulia hospital, unadhoofu, ukipita mtaani kila mtu anakusema vibaya wewe, umalaya wako unakuwa silaha kali dhidi yako, unadhoofu, unatia huruma, Mungu anakuweka hufi wala nini, yaani unakongoroka unakuwa Kama kasa, unahara kama kinda la bata mzinga, baadae sana ndo unakumbuka kwenda kanisani wakakuombee....shenzi kabisa......nimeandika haya kwa hasira kidogo.
Afu siku izi hakuna anayekongoroka, waathirika karibia wote ni mabonge jb bongo movie hafuati
 
Back
Top Bottom