Usiku wa leo nimeona kitu cha ajabu sana kwenye maisha yangu

Unataka Niandike Gazeti Ndo Tuelewane
Jaribu kusoma mwenyewe ujiweke nafasi ya msomaji uone kama umtaelewa.

Maswali tunayojiuliza wasomaji:
1. Huyo mtu ni nani?
2. Alikuwa amelala wakati anafanya hivyo vitu?
3. Hayo mabishano yalikuwaje anaongea peke yake au kuna mtu alikuwa anamjibu?
4. Unafahamu kuhusu ndoto?
5. Kilichokushangaza ni nini?
6. Ulishindwa kumuuliza uliyelala nae?
 
Ni kawaida sana... Ukiona hivyo uwe unamwamsha sometimes ni wanga wanamkaba, ukimwamsha unakuwa umemsaidia sana
 
Ndugu zangu haya mambo yanatisha! Twende kwenye mada.

Huyu mtu nimelalae kitanda kimoja, mida ya 8 usiku ni kama alikuwa akiongea na mtu kwa lugha ya mabishano. Nimestuka kuomuona akilia usingizi, kilio kisicho na machozi ila chenye uchungu na malalamiko.

Nilishindwa kulala, hii maana yake nini wakuu.
Jiandae siku za karibun utalia sana na kusaga meno, yaani hata magego hayatasalia kabisa:D:D
 
Ndugu zangu haya mambo yanatisha! Twende kwenye mada.

Huyu mtu nimelalae kitanda kimoja, mida ya 8 usiku ni kama alikuwa akiongea na mtu kwa lugha ya mabishano. Nimestuka kuomuona akilia usingizi, kilio kisicho na machozi ila chenye uchungu na malalamiko.

Nilishindwa kulala, hii maana yake nini wakuu.
Ngoja nikuambie kitu. Kuna wagonjwa wengi ambao hupewa dawa zisizostahili na madaktari kwa sababu ya kutokujieleza kinagaubaga.

Sisemi kwamba unaumwa lakini maelezo yako hayampi mtu mwingine nafasi ya kukujibu bali atakuuliza maswali.

Sikia hii. Miaka ya nyuma wakati natenda dhambi ya zinaa, nilikuwa na mahusiano na dada mmoja mkoa fulani.

Kila nikienda huo mkoa, yeye ndiye alikuwa mzinzi mwenzangu. Siku moja usiku wa manane tukiwa tumelala, nikamuona yule dada anafanya mapenzi lakini sioni anayefanya naye mapenzi. Alikuwa anakata kiuno na kuguna kabisa.

Kwa sababu alikuwa amelala, mimi nikamuacha, lakini nikaelewa mara moja kwamba ana majini mahaba.

Baada ya yule dada kumaliza kufanya mapenzi na kuridhika ( nilijua ameridhika baada ya mguno wa mshindo), nikamuamsha na kumuuliza kulikoni.

Ndiyo akaniambia ukweli kwamba huwa anafanya mapenzi na mwanaume kwenye ndoto. Mimi na wewe tunajua kabisa hilo ni jini mahaba. Nilimwambia ni bora akaombewe.

Baada ya huo usiku, nilifikiri sana na kuwaza. Ina maana hilo jini mahaba halikuona nipo hapo mpaka lifanye mapenzi na huyo mdada? Lakini pia nikawaza jinsi tunavyoweza kuzipeleka tabia za uzinzi majumbani mwetu kwa kuwapa wake zetu majini mahaba tuliyoyaokota huko.

Hebu fikiria, ni wanaume wangapi wakiwa wamelala, wake zao hushugulikiwa na majini?

Maswali kwako mtoa mada:
1. Ulikuwa umelala na mwanamke wako au mke wako?

2. Ulipomuuliza, yeye alisemaje?

KUMALIZIA:
Uzinzi sio dili. Kama upo kwenye ndoa, baki njia kuu na muombe kila siku msiingie majaribuni.
 
Ngoja nikuambie kitu. Kuna wagonjwa wengi ambao hupewa dawa zisizostahili na madaktari kwa sababu ya kutokujieleza kinagaubaga.

Sisemi kwamba unaumwa lakini maelezo yako hayampi mtu mwingine nafasi ya kukujibu bali atakuuliza maswali.

Sikia hii. Miaka ya nyuma wakati natenda dhambi ya zinaa, nilikuwa na mahusiano na dada mmoja mkoa fulani.

Kila nikienda huo mkoa, yeye ndiye alikuwa mzinzi mwenzangu. Siku moja usiku wa manane tukiwa tumelala, nikamuona yule dada anafanya mapenzi lakini sioni anayefanya naye mapenzi. Alikuwa anakata kiuno na kuguna kabisa.

Kwa sababu alikuwa amelala, mimi nikamuacha, lakini nikaelewa mara moja kwamba ana majini mahaba.

Baada ya yule dada kumaliza kufanya mapenzi na kuridhika ( nilijua ameridhika baada ya mguno wa mshindo), nikamuamsha na kumuuliza kulikoni.

Ndiyo akaniambia ukweli kwamba huwa anafanya mapenzi na mwanaume kwenye ndoto. Mimi na wewe tunajua kabisa hilo ni jinxi mahaba. Nilimwambia ni bora akaombewe.

Baada ya huo usiku, nilifikiri sana na kuwaza. Ina maana hilo jini mahaba halikuona nipo hapo mpaka lifanye mapenzi na huyo mdada? Lakini pia nikawaza jinsi tunavyoweza kuzipeleka tabia za uzinzi majumbani mwetu kwa kuwapa wake zetu majini mahaba tuliyoyaokota huko.

Hebu fikiria, ni wanaume wangapi wakiwa wamelala, wake zao hushugulikiwa na majini?

Maswali kwako mtoa mada:
1. Ulikuwa umelala na mwanamke wako au mke wako?

2. Ulipomuuliza, yeye alisemaje?

KUMALIZIA:
Uzinzi sio dili. Kama upo kwenye ndoa, baki njia kuu na muombe kila siku msiingie majaribuni.
Walau ulipata fundisho
 
Ndugu zangu haya mambo yanatisha! Twende kwenye mada.

Huyu mtu nimelalae kitanda kimoja, mida ya 8 usiku ni kama alikuwa akiongea na mtu kwa lugha ya mabishano. Nimestuka kuomuona akilia usingizi, kilio kisicho na machozi ila chenye uchungu na malalamiko.

Nilishindwa kulala, hii maana yake nini wakuu.
Punguza kula chips yai mkuu
 
Back
Top Bottom