Usiku wa leo nimeona kitu cha ajabu sana kwenye maisha yangu

Hahahhahaaa.....dah....imebidi nicheke tu best
....Nakuambia wana matusi hao. Ukiwashtukia ni wakali hatari. Wanatukana na matusi ambayo hayapo duniani.
Mmoja juzi kati kajichanganya kwangu ananiambia mimi mtendaji huku kwako,mbona hujajaza na hujalipia zile form za kurasmisha kupewa hati?. Akaniambia bahati nzuri niko na maafisa ardhi hapa,kwa hiyo ili kukusaidia nitumie hela nikujazie form leo ndio siku ya mwisho waondoke nazo. Nikamuuliza ni kiasi gani?. Akajibu ya miaka 99 ni 60+ na miaka 33 no 30+. Sasa shida ilikuwa kila nikifikia kumuuliza eneo gani na wapi?. Anajibu aaah...! Bwana kwani wewe hukujui kwako?. Anakata simu,anapiga simu tena baadae. Nikamwambia nina maeneo sehemu nyingi,wewe ni wa wapi? Anakata simu.
Baadae nikamwambia kamteperi mamako. Weeee...mtendaji yule alishusha matusi makubwa hatari.
Sasa huyu nae kidogo kidogo anamsogeza jamaa ampige. Nimemshtua jamaa anakaribia kupigwa.
Ukitaka kuwajua ni wale wale wa tuma humu,ukiwashtukia tu kwanza wanapanick,yanaaanza matusi mdogo mdogo. Hapo atakuja na tusi kubwaaaaa,subiri muda tu
 
Ndugu zangu haya mambo yanatisha! Twende kwenye mada.

Huyu mtu nimelalae kitanda kimoja, mida ya 8 usiku ni kama alikuwa akiongea na mtu kwa lugha ya mabishano. Nimestuka kuomuona akilia usingizi, kilio kisicho na machozi ila chenye uchungu na malalamiko.

Nilishindwa kulala, hii maana yake nini wakuu.
Ni kawaida,mi nimerithisha had I wanangu
 
Hiyo huwa inatokea kwa watu wachache hata mim kipind nipo chuo kuna jamaa alikuw ivyo mda mwngine anacheka akiwa usingizin na tulikuw tunamuongelesha na anajib na bado yupo usingizin na ikitokea mchana kapewa taarifa mbaya za nyumban kwao usiku anaota anakuw na manung'uniko mwanzo tulikuwa tunamshangaa ila tulivoona inajirudia tukamzoea
Kwaiyo hiyo huwa inatokea tu kama unalala nae mara kwa mara hiyo hali utaona tu itakuw inamtoakea ad utazoea.
 
Ndugu zangu haya mambo yanatisha! Twende kwenye mada.

Huyu mtu nimelalae kitanda kimoja, mida ya 8 usiku ni kama alikuwa akiongea na mtu kwa lugha ya mabishano. Nimestuka kuomuona akilia usingizi, kilio kisicho na machozi ila chenye uchungu na malalamiko.

Nilishindwa kulala, hii maana yake nini wakuu.
Ulimrekodi? Weka voice note twende sawa
 
Back
Top Bottom