Huyu Mwanamke wa ajabu kweli

kiroka

JF-Expert Member
Feb 28, 2018
355
1,856
Nina shangazi yangu hapa mjini Dar ambae anazaliwa tumbo moja na baba yangu mzazi, huwa naishi vizuri tu huyu naenda kwake mara kwa mara kumtembelea na hua mambo yangu yakiwa magumu au nikipata changamoto hua naenda kwake tunaongea saana na nikitoka hua napata relief maisha yanasonga.

Siku moja nikiwa kwa shangazi alikuja mdada ivi wa age kama 40s ivi shangazi akanitambulisha kua yule ni jirani yao nami nikatambulishwa kwake na shangazi akamwambia huyu ndie yule mtoto wa mdogo wangu ninaekwambiaga, inaonesha kua kuna wakati shangazi akiwa anaongea nae kuhusu Mimi.

Siku moja shangazi alikua anaumwa akakimbizwa hospital usiku nikaambiwa hali ya shangazi ikabid alfajir niwahi hospital kumwona, kufika nikamkuta shangazi yupo hoi kitandani nikapatwa na wasi wasi nikajua anaondoka ghafla nikaona nampoteza mtu muhimu kwenye maisha yangu roho ya uchungu ikanijia nikajikuta machozi yananitok nikatok wodini nikajificha nje nikalia kweli Mimi ni mtu wa emotion so ni kitu cha kawaida kwangu.

Wakati nipo kweny korido za hospital ndo huyu dada akaja akahisi kama nilikua nalia akanambia ucjal shangaz yako ata kua sawa wakati huo huyu dada amemwacha mume wake nje kwenye parking za hospital nao kifedha wapo vizur kiasi chake akanambia naomba namba yako tuwe tunawasiliana kipindi hiki tukiwa na mgonjwa nikampa.

Tukawa tunawasiliana baada ya week moja shangaz akawa amepata nafuu na akaruhusiwa kutoka hospital kwa hyo nikawa kila baada ya siku mbili tatu naenda kumwona nikawa naona na uyu dada mara kwa mara.

Basi baada ya shangazi kukaa sawa tukawa tunachat na huyu dada kiasi nikiweka status whatsap akawa anaview na kusema chochote ikawa ivo mara kwa mara.

Siku moja usiku siku ya ijumaa akaniukiza vipi kaka kesho jmos una ratiba gani nikamwambia ntaenda kimara nikitok ntakua npo npo mpak jion ntaenda kuangalia mpira akachomekea huwezi kuacha kuangalia mpira ukaniangalia Mimi nikamjib sawa akacheka tukaagana nikalala.

Kesho jmos akaniuliza ushaenda nikamjibu ndio nikamwambia wapi tunaweza kuonana akanambia tafut sehemu tulivu nikatafta sehemu yenye bar tulivu nikamwelekeza baada ya kama lisaa hivi akaja na gari yao, nikamuuliza vipi mumeo umeaga unaenda wapi akanambia kaenda moshi msibani kuna mfanyakazi kazini kwao kafarik hivyo atarudi jpili usiku au J3 asbh.

Tukaa pale akawa ananitania kua nipo emotion saana naliaje kuona shangazi anaumwa nikamwambia yule no mzazi wangu hivo anapopitia changamoto kuna uchungu napataga ukizingatia baba kafariki huyu ndo kama baba yangu kwa sasa.

Basi tukaongea mengi mengi ya maisha tukaagana kila mtu akashika njia yake Mimi nikapanda daladal kwenda kwangu yeye akaendesha akasepa zake.

Baada ya nusu saa kuancha akaanza kumitumia sms kunilaumu eti hajawahi kuona mwanaume wa ajabu kama Mimi mwanamke kawasha gari kama km 40 Ivi kunifata alafu sijamfanya wakati pale kuna baa na gesti why cjamfanya, nikashangaa kweli nikamuuliza kwani Mimi na yeye tulikua na makubaliano ya kunyanduana akanambia mwanaume unashindwa kujiongeza, nikamwambia unajuaje km nilikua na pesa ya kuingia lodge siku ile akasema si ningesema yeye akalipia nikashangaa saana mwanamke akawa amemind saana.

Nauliza nyie wanawake hivi mnajua mwanaume ukishajenga ukaribu nae ukimtaka tu wakati wowote unampat, Mimi na yeye hatukua na makubaliano ya kusex na sex nae vipi?
 
Nina shangazi yangu hapa mjini dar ambae anazaliwa tumbo moja na baba yangu mzazi, huwa naishi vizuri tu huyu naenda kwake mara kwa mara kumtembelea na hua mambo yangu yakiwa magumu au nikipata changamoto hua naenda kwake tunaongea saana na nikitoka hua napata relief maisha yanasonga

Siku moja nikiwa kwa shangazi alikuja mdada ivi wa age kama 40s ivi shangazi akanitambulisha kua yule ni jirani yao nami nikatambulishwa kwake na shangazi akamwambia huyu ndie yule mtoto wa mdogo wangu ninaekwambiaga, inaonesha kua kuna wakati shangazi akiwa anaongea nae kuhusu Mimi,

Siku moja shangazi alikua anaumwa akakimbizwa hospital usiku nikaambiwa hali ya shangazi ikabid alfajir niwahi hospital kumwona, kufika nikamkuta shangazi yupo hoi kitandani nikapatwa na wasi wasi nikajua anaondoka ghafla nikaona nampoteza mtu muhimu kwenye maisha yangu roho ya uchungu ikanijia nikajikuta machozi yananitok nikatok wodini nikajificha nje nikalia kweli Mimi ni mtu wa emotion so ni kitu cha kawaida kwangu

Wakati nipo kweny korido za hospital ndo huyu dada akaja akahisi kama nilikua nalia akanambia ucjal shangaz yako ata kua sawa wakati huo huyu dada amemwacha mume wake nje kwenye parking za hospital nao kifedha wapo vizur kiasi chake akanambia naomba namba yako tuwe tunawasiliana kipindi hiki tukiwa na mgonjwa nikampa

Tukawa tunawasiliana baada ya week moja shangaz akawa amepata nafuu na akaruhusiwa kutoka hospital kwa hyo nikawa kila baada ya siku mbili tatu naenda kumwona nikawa naona na uyu dada mara kwa mara

Basi baada ya shangazi kukaa sawa tukawa tunachat na huyu dada kiasi nikiweka status whatsap akawa anaview na kusema chochote ikawa ivo mara kwa mara

Siku moja usiku siku ya ijumaa akaniukiza vipi kaka kesho jmos una ratiba gani nikamwambia ntaenda kimara nikitok ntakua npo npo mpak jion ntaenda kuangalia mpira akachomekea huwezi kuacha kuangalia mpira ukaniangalia Mimi nikamjib sawa akacheka tukaagana nikalala

Kesho jmos akaniuliza ushaenda nikamjibu ndio nikamwambia wapi tunaweza kuonana akanambia tafut sehemu tulivu nikatafta sehemu yenye bar tulivu nikamwelekeza baada ya kama lisaa hivi akaja na gari yao, nikamuuliza vipi mumeo umeaga unaenda wapi akanambia kaenda moshi msibani kuna mfanyakazi kazini kwao kafarik hivyo atarudi jpili usiku au j3 asbh,

Tukaa pale akawa ananitania kua nipo emotion saana naliaje kuona shangazi anaumwa nikamwambia yule no mzazi wangu hivo anapopitia changamoto kuna uchungu napataga ukizingatia baba kafariki huyu ndo kama baba yangu kwa sasa,

Basi tukaongea mengi mengi ya maisha tukaagana kila mtu akashika njia yake Mimi nikapanda daladal kwenda kwangu yeye akaendesha akasepa zake

Baada ya nusu saa kuancha akaanza kumitumia sms kunilaumu eti hajawahi kuona mwanaume wa ajabu kama Mimi mwanamke kawasha gari kama km 40 Ivi kunifata alafu sijamfanya wakati pale kuna baa na gesti why cjamfanya, nikashangaa kwel nikamuuliza kwani Mimi na yeye tulikua na makubaliano ya kunyanduana akanambia mwanaume unashindwa kujiongeza, nikamwambia unajuaje km nilikua na pesa ya kuingia lodge siku ile akasema si ningesema yeye akalipia nikashangaa saana mwanamke akawa amemind saana.

Vijana wengi wa Tanzania kama 95% huwaza ngono au kutunga simlizi au stori za ngono, sio andiko mradi uvumbuzi au biashara, hi ni kwasbabu elimu yetu duni na tuna ukosefu wa ajira, na fikira zetu hazipishani sana tunafanana kimawazo.
 
20230324_193043.jpg
 
Wewe pia umo ndani ya hyo 95% , ingekua nawe sio ungeenda kusoma jukwaa la mapishi na ujasiriamali huku umekuja kufanya nini
 
Nina shangazi yangu hapa mjini dar ambae anazaliwa tumbo moja na baba yangu mzazi, huwa naishi vizuri tu huyu naenda kwake mara kwa mara kumtembelea na hua mambo yangu yakiwa magumu au nikipata changamoto hua naenda kwake tunaongea saana na nikitoka hua napata relief maisha yanasonga

Siku moja nikiwa kwa shangazi alikuja mdada ivi wa age kama 40s ivi shangazi akanitambulisha kua yule ni jirani yao nami nikatambulishwa kwake na shangazi akamwambia huyu ndie yule mtoto wa mdogo wangu ninaekwambiaga, inaonesha kua kuna wakati shangazi akiwa anaongea nae kuhusu Mimi,

Siku moja shangazi alikua anaumwa akakimbizwa hospital usiku nikaambiwa hali ya shangazi ikabid alfajir niwahi hospital kumwona, kufika nikamkuta shangazi yupo hoi kitandani nikapatwa na wasi wasi nikajua anaondoka ghafla nikaona nampoteza mtu muhimu kwenye maisha yangu roho ya uchungu ikanijia nikajikuta machozi yananitok nikatok wodini nikajificha nje nikalia kweli Mimi ni mtu wa emotion so ni kitu cha kawaida kwangu

Wakati nipo kweny korido za hospital ndo huyu dada akaja akahisi kama nilikua nalia akanambia ucjal shangaz yako ata kua sawa wakati huo huyu dada amemwacha mume wake nje kwenye parking za hospital nao kifedha wapo vizur kiasi chake akanambia naomba namba yako tuwe tunawasiliana kipindi hiki tukiwa na mgonjwa nikampa

Tukawa tunawasiliana baada ya week moja shangaz akawa amepata nafuu na akaruhusiwa kutoka hospital kwa hyo nikawa kila baada ya siku mbili tatu naenda kumwona nikawa naona na uyu dada mara kwa mara

Basi baada ya shangazi kukaa sawa tukawa tunachat na huyu dada kiasi nikiweka status whatsap akawa anaview na kusema chochote ikawa ivo mara kwa mara

Siku moja usiku siku ya ijumaa akaniukiza vipi kaka kesho jmos una ratiba gani nikamwambia ntaenda kimara nikitok ntakua npo npo mpak jion ntaenda kuangalia mpira akachomekea huwezi kuacha kuangalia mpira ukaniangalia Mimi nikamjib sawa akacheka tukaagana nikalala

Kesho jmos akaniuliza ushaenda nikamjibu ndio nikamwambia wapi tunaweza kuonana akanambia tafut sehemu tulivu nikatafta sehemu yenye bar tulivu nikamwelekeza baada ya kama lisaa hivi akaja na gari yao, nikamuuliza vipi mumeo umeaga unaenda wapi akanambia kaenda moshi msibani kuna mfanyakazi kazini kwao kafarik hivyo atarudi jpili usiku au j3 asbh,

Tukaa pale akawa ananitania kua nipo emotion saana naliaje kuona shangazi anaumwa nikamwambia yule no mzazi wangu hivo anapopitia changamoto kuna uchungu napataga ukizingatia baba kafariki huyu ndo kama baba yangu kwa sasa,

Basi tukaongea mengi mengi ya maisha tukaagana kila mtu akashika njia yake Mimi nikapanda daladal kwenda kwangu yeye akaendesha akasepa zake

Baada ya nusu saa kuancha akaanza kumitumia sms kunilaumu eti hajawahi kuona mwanaume wa ajabu kama Mimi mwanamke kawasha gari kama km 40 Ivi kunifata alafu sijamfanya wakati pale kuna baa na gesti why cjamfanya, nikashangaa kwel nikamuuliza kwani Mimi na yeye tulikua na makubaliano ya kunyanduana akanambia mwanaume unashindwa kujiongeza, nikamwambia unajuaje km nilikua na pesa ya kuingia lodge siku ile akasema si ningesema yeye akalipia nikashangaa saana mwanamke akawa amemind saana.

Nauliza nyie wanawake hivi mnajua mwanaume ukishajenga ukaribu nae ukimtaka tu wakati wowote unampat, Mimi na yeye hatukua na makubaliano ya kusex na sex nae vipi?
Ila wewe jamaa!Mengine ishi nayo moyoni.Maswali gani sasa hayo?😂
 
Sikuizi malaya hawajiuzi tena kwenye madanguro sikuizi wapo
1. Serikalini
2.ma ofisini
3. Biashara
4. Michezoni
5.kanisani
Nyumbani................ Ni full taharuki
 
Kazidiwa mkuu huyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom