watu kibao
JF-Expert Member
- Mar 25, 2025
- 466
- 1,645
Uwe mkoani halafu uige watu wa kwenye majiji ununue mazda cx5. Range Rover, Ford, Volks-Wagen na gari nyingezo nje ya Toyota, jiandae maumivu !!
Wenzako ukiwaona wapo mikoani na wana push hizo brand mara nyingi huwa zinaenda kufanyiwa matengenezo na service Dsm na kwa mbali kidogo Mwanza na Arusha. huwezi kuzikuta garage za mikoani labda matatizo ya kawaida sana, Iga sasa uone ! tena siku hizi kuna nafuu ni DSM, nakumbuka miaka ya 2000s gari hizo matengenezo ya uhakika hadi uvuke boda uende Nairobi.
Mafundi wengi wa mikoani ni Ramli a.k.a gari pekee wanazozijua ni Toyota tena ziwe common models, nje ya hapo ni risky.