Huna mahaba na uzi au wasomi pia?Uzi wa wasomi huu,acha nirudi kwenye Mahaba yangu.
Huna mahaba na uzi au wasomi pia?Uzi wa wasomi huu,acha nirudi kwenye Mahaba yangu.
Umemlisha tangopori jamaa yako.Habari wadau;
Wikiendi iliopita nilikuwa katika mjadala na Rafiki yangu wa siku nyingi ambaye tulipotezana zaidi ya miaka 10 iliopita.Tulikuwa tukijadili safari ya kitaaluma na swala la Masomo.Katika Mjadala tuligusia swala elimu ya Ngazi ya Masters Degree na katika mjadala nilimucha na changamoto moja kwamba,Inapendeza na ni busara zaidi unapoamua kujiunga kwa ajili ya Masomo ya Masters katika Fani yoyote basi lengo lako lisiwe kuishia kwenye Masters bali uwe unalenga kutafuta PHD.
Kwa maana hio nilimwambia ni vizuri eneo utakalochagua kulifanyia utafiti liwe ni eneo ambalo unaweza kuzama zaidi na hata kutoa andika linalofaa kwa ajili ya PHD
Nilimsisitizia kwamba ukweli ni kwamba unaposoma Masters kwa ajili ya kutafuta PHD basi unakuwa na nafasi kubwa zaidi ya kupata PHD kuliko unaposoma masters kwa sababu unao uwezo wa kulipa ada au kwa sababu unafikiri utapata Mshahara Mkubwa.
Ingawa Mjadala haukufika mwisho ila nimesema niuliete hapa Jamvini kama ni busara kwa mtu kusoma Masters akiwa hana hata wazo wala mpango wa kusoma PHD.Si ni bora akasubiri mpaka ule wakati ambapo atakauwa na maono ya kupata PHD no aingie kilingeni?
Hapo kazana umalizie NVA levels na soon utaweza kutoa-comment zako! hata hivyo upo vizuri kwenye fani uliyoamua kuifata na unaweza changia tu!NVA 1. Hapo vipi boss
Ngobekezela NKOSI Ngobekezela
Biashara/ujasiriamali ni kipaji ndio maana matajiri ni wachacheKusoma mwisho degree huko mnakoenda nyie ni uoga wenu wa maisha maliza degree kama una kazi yako tayar anza kufanya biashara
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchukue na Bashite mwende naye
Huna mahaba na uzi au wasomi pia?
Mtu fudenge? mmmmh sijaelewa! msema kweli mpenzi wa MunguAkuu Mahaba yangu yako kwa mtu fudenge tuu....
Makopa kopa laki bilioni trilioni kwake 😅😅
Kasinde.
Hivyo nae awe Drogba , Samatta? Acha kumpotoshaHili iweje mkuu ? Tafuta pesa Tu , pogba , samatta & diamond hawana hata certificates hila wanaheshimika kuliko hao wazee WA makaratasi
Hata veta tuu hawaanzi na hiyo level, hapo katania mkuuNTA level 1? kweli wewe ni mzushi!
MBA ni nzuri mbali na 'status' inaweza kukupatia 'inputs' za kusimamia biashara zako kama hukuajiriwa.
Ruge (Rip) alikuwa mbobezi katika kazi yakeUmemlisha tangopori jamaa yako.
Mastars (shahada ya uzamili) inalenga kumuimarisha msomaji kwenye ubobezi wa kitu fulani kwa undani zaidi. Kwenye shahada za kwanza huwa tunasoma vitu vingi sana, huwezi kubobea katika vyote, hivyo shahada ya uzamili inakusaidia kubobea kwenye kitu kimoja ama viwili BASI. Phd (uzamivu) ni mwendelezo wa uzamili, lakini kwa undani zaidi. Kusoma masters sio lazima ulenge kusoma PhD.
Haa ha ha, we Mnyamwezi weweUzi wa wasomi huu,acha nirudi kwenye Mahaba yangu.