Baada ya John Mrema kubadilisha mwelekeo na kuamua sasa anataka kugombea Kinondoni 2015.Exaud Mamuya alianza kujinadi muda mrefu kuwa atagombea ubunge kupitia CHADEMA hapa kwetu VUNJO mwaka 2015.
Sioni tofauti yake sana na ZZK aliesema atagombea Uraisi 2015 watu hawa wote wanaongozwa na matumbo yao njaa kali na tamaa za fedha na madaraka ndio zinazowaongoza leo hii aibu kubwa waliyoipa CHADEMA hapa JF sioni ni jinsi gani watakisafisha chama chao
Zitto anasifika kumloga Mudhihir Mudhihir, anasifika kuwatoa kafara wengine wengi tu. Anasifika kwa kuwa na idadi ya waganga 5 hotelini katika kipindi kimoja tu cha bunge. Haina ubishi kuwa Zitto ni mshirikina. Anatumia sifa hii kuwatisha hata wabaunge na mawaziri wa serikali.
Ana waganga kutoka kigoma na mwingine yuko Oman.
Naona huwa unaongozana nayeZitto anasifika kumloga Mudhihir Mudhihir, anasifika kuwatoa kafara wengine wengi tu. Anasifika kwa kuwa na idadi ya waganga 5 hotelini katika kipindi kimoja tu cha bunge. Haina ubishi kuwa Zitto ni mshirikina. Anatumia sifa hii kuwatisha hata wabaunge na mawaziri wa serikali.
Ana waganga kutoka kigoma na mwingine yuko Oman.
Zitto ameingia kwenye chama kampuni ndio maana hapendwiNaamini vijana wenzetu hawa hawastahili kuaminiwa wala kupewa nafasi yoyote
Hawajui kiasi gani tuliwaamini, ukitizama utetezi wa Mchange, Shoza na wenzao wote unagundua madai ya Mamuya na saa nane yana ukweli flan
hawa jamaa wanalenga kumsafisha Zitto na wala si kukiri na kutubu uhusika wao ktk usaliti
Chadema makao makuu kiamue sasa kuwaondoa hawa kunguni wachache
Tujiulize
Mbona si Lissu, Mdee, Mnyika, Lema na Mbilinyi
mbona kila uchwao ni Zitto tu? Hapa pana tatizo, Zitto ni tatizo..!
mnafururahishana kwa kudanganyana hapanakuunga mkono niliwahi kwenda arusha safina radio kutubu kwa ajili ya nchi wanaokaa arusha wanajua maombi yanaanza kupiga kazi
In fact kauli ya Zitto ya kusema ameaga kwao na atakayemuua kwao watakufa wote ni uthibitisho kabisa kuwa yeye ndiye tatizo
wanachadema msishangae kwa yanayotokea ndani ya chama kwa sasa, kati ya zitto kabwe na wenzake, hii nchi ina watu walioumia sana, walioteswa sana, na walioibiwa sana, watu wanalia na wanamlilia mungu awakomboe, sasa kama wananchi wamewategemea kiasi hicho na kwa kauli ya wao wana pesa sisi tuna mungu, ni wakati wa chama kusafika sasa, kama mnakumbuka au niwajuze tu, watanzania wanaomba sana mungu ili awaepushe na viongozi wasaliti, wauaji, wchawi/washirikina! Sasa mnategemeaje kuwa katk safari ya ukombozi mwende na watu wanaoapishana kwa waganga wa kienyeji? Mnaweza kudharau kauli yangu ila kwa mtu mwenye imani na anayeona na kujua maombi yanayofanyika tanzania kwa sasa, mtanikubali mseme wazi kuwa! Uovu ni uovu tu, haijalishi ni mwizi au mchawi..
Chadema achilieni hawa wasaliti, washirikina wanaojiapiza kwa waganga wa kienyeji, wanaosema wameaga kwao! Ili iweje kama umeaga kwenu?
Mkiendelea kuwang`ang`ania watu waaina hii mtaanguka 2015 hakika mtaanguka (cdm), kama mwovu ameshajulikana msitake kukaa naye hadi autubie uovu wake kwanza, uovu kama haujawa wazi huenda (mungu) anataka ujirekebishe, aniother chance of repentence!..ila uovu ukishajulikana ni vyema uutubie hadharani, vinginevyo utagharimu kundi lote..hata mimi siwezi kukubali kuwa zizi moja na mshirikina kama nimehsamjua..
Chadema msije mkamhusisha mungu kwa utani, yeye hufanya kweli pale mnapomwalika..sasa uovu unafichuka mnashindwa kutoa maamuzi, kama mnaamini ktk mungu watoseni hawa jamaa hakika mtashangaa kama hawatapotea ktk ramani ya kisiasa. Ila kama mlikuwa mnatania kuwa mna mungu basi wala msithubutu.
Kwa kuongezea,ukitaka kujuwa ni unafiki,eti wanasema alikuwa akimtafuta Zitto ili akifadhili chama na wakati huo huo wanadai eti Ben alikuwa "Manji",yani kwa jinsi ambavyo tayari alikuwa akiwafadhili wao.Hapo sasa...Manji anataka ufadhali!lol!Wapi bana!Lukolo said:Tatu, Mchange anasema, Ben alikuwa anamtafuta Zitto ili akifadhiri kikundi, wakati Mwampamba anasema Ben alikuwa anamtafuta Zitto ili ampe sumu. Hapa kuna mchanganyo tayari.
damu ya zitto inatafutwa anawapa tabu hadi mnatuma cheap kama ben saanane
This Rubbish nimereport kwa Invisible afunge hii thread.,,,
Join Date : 20th December 2012
Posts : 6
Rep Power : 302
Likes Received0
Likes Given3
Huyu binti anayeitwa Juliana wala huwa sielewi alipataje uongozi wa CHADEMA, maana uwezo wa kujenga hoja ni ziro kabisa. Wote tunamwona Heche kila leo anazunguka mikoani kwa shughuli ya kujenga chama, anaiacha familia yake na shughuli zake. yet watu wanaona laki saba ni hela asiyostahili. Ni mpuuzi tu atakayesikiliza hoja za Juliana na kuzikubali.Ahsante sana kwa uchambuzi wako ambao uko balanced! Good job. Mbinu hizi za kuwaua wenzake kisiasa ili aonekane yeye ndiye bora, Zito hakuzianza leo. Hoja karibia zote alizozitoa bungeni Zito zimekuwa zikilenga sio kwa ajili ya kuisaidia Tanzania, lakini zimelengwa kujiimarisha binafsi kisiasa. Lakini ataendelea kuumbuka kwa sababu ya unafiki wake. Na hawa anaowatumia watamuumbua baadae, na watamuumbua sana. Eti mtu kulipwa mshahara wa sh laki saba kwa kazi kumba ya kutoa mwanga kwa watanzania kupitia M4C bado inaonekana nayo ni hoja ya kuleta hapa, haya zilinganishe hizo laki saba na zaidi ya milioni saba mbunge wako anazopata.