Revolutionary
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 456
- 86
Pole sana kama umetoka kapa bado una kale kaugonjwa nilikokataja, ulitarajia niongelee watu na issues zao nitaje taje na majina majina, I won't I do not have interest to perpetuate those personal issues or discussing them.
Stop personal attacks, let's attack issues of interest to maendeleo ya jamii yetu ya watanzania.
Interest yangu ya kwanza ni maendeleo na maslahi ya watanzania na nchi, anaesimama/kinachosimama upande huu nitasimama nacho na ndio kitaanza.
Sent from my BlackBerry XXXX using JamiiForums

Nimekupa "like" lakini nimetoka kapa! Hata sijaelewa unaongea kitu gani? Kwenye thread ya msingi hakuna anayesema Zitto ni kiongozi mbaya. Hizo sifa zote za Zitto ulizozitaja zipo kwenye thread ya msingi. Lakini kumeelezwa pia mapungufu yake, na ameshauriwa kwamba akitaka kuvuka mto asianze kuvunja daraja kabla hajapita. Wewe unalisemeaje hilo. Kwa kuwa Zitto ni kiongozi wako wa mfano, basi anayo ruhusa ya kuharibu chama? Kikishakufa, yeye atafikiaje hizo ndoto zake?
Sent from my BlackBerry XXXX using JamiiForums