Usia wangu kwa Zitto na washirika wake

Usia wangu kwa Zitto na washirika wake

Zitto kuwatumia jamaa vilaza namna hii nadhani ni Ushauri wa mganga wake?? Jamaa anajulikana ni smart kichwani. Na naamini alihitaji watu dhaifu wa kumfanyia kazi zake chafu. Aliowapata kumfanyia kazi hii ndio hawa.
1. Zitto ana urafiki wa karibu na wakurugenzi wa Usalama wa Taifa.
2. Zitto ana uhusiano wa karibu na Kikwete
3. Zitto ana mahusiano ya karibu na viongozi wengi wa Kimataifa.
Lakini Zitto hawezi kupanga jaribio dogo tu la kumwondoa Dr Slaa madarakani - na mikakati yake ni ileile ya vijana wa shule ya sekondari.

4. Nashawishika kuamini kuwa ujasiri wa Zitto umejengwa juu ya nguvu zake za Sangoma (kama anavyotuhumiwa) na wanamikakati wake.
5. Kama Ben Saanane tu anamvuruga hivi, akipewa Marando je??
 
mi nashangaa sana, Mfano J shonza amelalamika sana kwamba anahujumiwa oh mara apewi kazi, SASA KWA NINI USIJIUZURU? nyie vijana wa kulalamika lalamika HAMNA SIFA ZA UONGOZI.
 
Hatma ya Chadema na upinzani ipo mikononi mwa Dr Slaa,nina uhakika na hili.
Tuombe atumie busara zilizookoa nchi na machafuko 2010!
Yeye ni binadamu mwenye nyama na damu ayabebe kwa uvumilivu maana wenye shida wako Liwale,namtumbo n.k
 
It is obvious that Zitto's political Journey has reached its peak. It is now declining...
 
Sasa nimeelewa kwamba ,kikundi cha masalia kilikuwepo , na kilikuwa na lengo la kukidhoofisha chama na kiliundwa na Mwampamba, Juliana na kundi lao la Masalia. Bali Saanane na Mamuya walikuwa wanatumika kama Intellijensia ya chama, hawa ndiyo walikuwa wanatoa taarifa kwa uwongozi wa juu wa chama kwamba nani ni msaliti , Wenyewe masalia hawakulielewa hili walifikiri Saanane na Mamuya ni wenzao kumbe walikuwa shushu, nina Uhakika Saanane na Mamuya walichukua form za kugombea uongozi bavicha ,walikuwa wanazuga ili kutambua wanaoenda kinyume na ni wakina nani , nafikiri walifanikiwa kuwajua na kuwaripoti kwenye uongozi wa juu wa chama, ndio uongozi wa juu wa chama ukawaengua baadhi ya wagombea kwa kashfa ya Rushwa kazi aliyo ifanya Saanane na Mamuya .

ukitaka kudhibitsha hilo utakugundua kwamba mkuu Saanane alikuwa anajipendekeza kwa masalia ili kujua mipango yao yote ,na akishajua anailipoti kwenye uongozi wa juu, ndio maaana uongozi wa juu ulikuwa unachukua Taadhari juu ya vijana masalia , kiasi kwamba vijana Masalia walikuwa wanaona wanatengwa , sababu walikuwa hawaijui.kumbe ni matendo yao . yliyokuwa ynaripotiwa na Mkuu Saanane na Mamuya. Saanane amefanyakazi ya Intellejensia vilivyo.

kama ni kweli Masalia walikuwa na lengo zuri kwa nini ,wameanza kufumuka baada ya Saa nane kuweka Mambo hadharani? walitakiwa watoe ripoti juu ya hili kwenye uongozi wa chama.kitambo tu kama walikuwa na nia njema. ukisoma maelezo ya Mwampamba na Juliana utagundua kwamba hawa watu walikuwa wana fadhiliwa na Zitto wakishilikiana na kafulila, wakati huohuo walikuwa wanajua kwamba Saanane ni mwenzao, kumbe alikuwa anawapeleleza.


kila mtu angependa role model wake awe raisi lakini sio kwa njia za kinafiki na uzandiki ,mimi Role model wangu ni Profesa Safari , ningependa awe raisi lakini sio kwa manufaa binafsi ni kwa manufaa ya chama , haina haja ya kuleta unafiki , na kutumia shortcuts kila mtu ajipange Chama kimpe baraka agombee lakini sio kwa kutumia unafiki, uzindaki ,uchawi . Siiungi Mkono kundi bali naunga mkono Maslai ya chama. Mwampamba na juliana shonza hamjakomaa bado,nyinyi na akina nape naona muko sawa . Mkuu Zitto nakuheshimu sana najua wewe ni jembe,lakini kuwa mvumilivu mvumilivu hula mbivu waangalie vijana wenzako Mnyika, Lissu ,Sillnde ,Msigwa, Vincent nyerere, Mdee, wanajenga chama , Achana na Kafurila hayapo kundini alishaondoka chadema zamaini, Achana na akina Shyrose Bhanji,achana na JK, achana na Wasira ungana viongozi wenzako wa JUU MBOWE na DR. Slaa mujenge Chama ,Unafiki hautakiwi. Watanzania tunakuamini kwamba ni kijana Tunaekutegemea baadaye kama kiongozi wa chini Lakini kwa sasa sifa zako zinapungua ,zinahamia kwa Mnyika ,Vincent Nyerere na Msigwa. Achana na Propaganda za ccm na NCCR ,kijenge chama mkuu. waambie wakina Mwampamba na Juliana waache Siasa za Maji taka Warudi kwenye mstarii wakijenge Chama.
Najua Dr. Kitila aliingia Kwenye Mkumbo bila yeye kujua, Nina uhakika kwa sasa ameshajua kwamba alikuwa anakitumikia chama au Mtu. na atajirekebisha


Mimi kila siku nabishana na Tuntemeke humu ndani JF kumbe nabishana na kundi la watu?
Kuna watu walikuwa wanamponda DR. Slaa nilifikiri ni magamba kumbe ni wanachadema wenzetu, hatari sana.


Tuache Siasa chafu Tukijenge Chama, "Maslahi ya Chama mbele"


jangakuu@yahoo.com
 
Huu uchambuzi ni ishara tosha kuwa chadema inavichwa.Tunapata matumaini kuwa hata haya magugu yaking'olewa ngano itazidi kusitawi.
 
It is obvious that Zitto's political Journey has reached its peak. It is now declining...

and he promised zat, after being retired in politrics game he played now, he is going to be lecturer. Let Lord av MERCY to zat generation gonna met him...!!
 
Nakubaliana na wewe.

Ukitulia na kuamua kusoma mabandiko ya hawa PM-7 wote, utagundua mambo yafuatayo:
1. Ni kweli kundi hili lipo/lilikuwepo, na wote wanakiri kukutana several times. Details nyingine sio muhimu sana, ila wanatuthibitishia pasipo shaka kuwa ZZK alikuwa anatambua uwepo wao. Kumjua au kutomjua Ben anakodai ZZK hakuna maana hapa, la muhimu ni alijua existance ya PM-7 na original and later missions zake, lakini hakuchukua hatua kukinusuru Chama anachodai anakipenda sana. Hawezi kusema kuwa hujuma kwa viongozi haikuwa nia ya PM-7 kwasababu huko facebook na hapa JF alikuwa anaona member wa kundi anaowafahamu japo kwa majina walivyokuwa wanatukana viongozi wenzie na kumpaisha yeye. Hiyo ilitosha kumwonya kuwa japo labda nia yake ni kuanzisha non-partisan movement ya vijana, lakini wenzie walikuwa wanakwenda kinyume na objectives za kuanzisha kundi, hivyo alitakiwa kuchukua hatua, japo hata ya kuwaonya juu ya mabandiko yao ya kwakashifu viongozi wenzie. Kama kweli ni wanyenyekezu kwako naamini wangekusikiza. Kwani kama una hoja juu ya kutokubaliana na kitu fulani ndani ya chama, the unakiwakilisha kwa kuwatukana viongozi? Mbona yeye ZZK huwa anatoa mawazo yake yanayofautina na ya chama so strategically kwenye maoni yake humu mitandaoni bila kutukana na if read between the lines unaupata ujumbe alioukusudia? Ndo maana mlete uzi kasema ZZK alichagua the persons! Vilaza kabisa!
2. Mfululizo wa majibizano yaliyofata baada ya lile la Mamuya na Ben yanaonekana yameandaliwa kimkakati kujibu mapigo, with an extra mission ya kujaribu kumwingiza Dr Slaa na kumchafua zaidi (especially bandiko la Bi Shonza) ili ku-counter lawama zinazotupwa kwao na ZZK. Hakuna mtiririko unaoeleweka, wote wameandikisha kama verified JF members jana! Again hii inaonyesha walikutana/waliwasiliana na kupanga nini kila mtu a-post, wote waki-maintain vitu flaniflani kwenye mabandiko yao
3.Katika majibu ya Ben kwa Bi Shonza, unagundua jinsi PM-7 ilivyokuwa inatumika vilevile kutengeneza plan B iwapo kama plan A inafeli. Wamo kina Kafulila, Bashe, na CHAUMA. PM-7 walijua kuwa plan A ikifeli watafukuzwa au kujitoa CHADEMA, huku wakitegemea kina Kafulila nao waondoke/waondoshwe NCCR, kina Bashe waondoke/waondolewe CCM na majeruhi wengine wote wa chaguzi za ndani za CCM, CHADEMA, migogoro, nk. NA HI NDO HATUA inayofata. No wonder wanaendelea kutukana hapa ili waje waondoke na pa kuanzia watakapokua wanatafuta wanachama wa kwenda nao CHAUMMA. Itakuwa ni matusi na kashfa kwenda mbele, na hapo, wanavyotegemea wao, CHADEMMA itapoteza muda na hatimae mvuto mbele ya jamii, hence mission will be accomplished.

Ni mawazo yangu tu haya.
 
Ni rahisi kusema chama kina damu yangu, au umetumia nguvu kukijenga, lakini pia damu yako inayo zunguka kwa nguvu mwilini ikakiboa chama kilichotumia damu na nguvu yako.

Damu ya vijana wapenda mabadiliko ilimwagika na wengine hatunao leo! Bila shaka wangetabasamu huko waliko kama watu huwa wanatabasamu kama watasikia kuwa kile chama mlichopigania hadi kupoteza uhai kiko imara na vijana wenzenu sio wasaliti. Lakini kwa mwendo huu! Machozi yao bado yatatiririka mashavuni mwa wasaliti kwa nniaba yao.
 
Nakubaliana na wewe.

3.Katika majibu ya Ben kwa Bi Shonza, unagundua jinsi PM-7 ilivyokuwa inatumika vilevile kutengeneza plan B iwapo kama plan A inafeli. Wamo kina Kafulila, Bashe, na CHAUMA. PM-7 walijua kuwa plan A ikifeli watafukuzwa au kujitoa CHADEMA, huku wakitegemea kina Kafulila nao waondoke/waondoshwe NCCR, kina Bashe waondoke/waondolewe CCM na majeruhi wengine wote wa chaguzi za ndani za CCM, CHADEMA, migogoro, nk. NA HI NDO HATUA inayofata. No wonder wanaendelea kutukana hapa ili waje waondoke na pa kuanzia watakapokua wanatafuta wanachama wa kwenda nao CHAUMMA. Itakuwa ni matusi na kashfa kwenda mbele, na hapo, wanavyotegemea wao, CHADEMMA itapoteza muda na hatimae mvuto mbele ya jamii, hence mission will be accomplished.

Ni mawazo yangu tu haya.
Nashukuru sana mkuu kwa maelezo yako. Angalau umenisaidia niende kusoma lile bandika la Ben saanane akitoa majibu dhidi ya Juliana. Nafikiri Ben ameamua kukubali liwalo na liwe. Maana sasa ameamua kuanika kila kitu. Kama kuna jambo limenifurahisha ni namna alivyomuanika Festo Sanga ambaye ndiye TUNTEMEKE. Kutoka hapa, ni juu ya Slaa kuamua kumshitaki huyu dogo au kumwacha. maana huyu Tuntemeke alifanya kazi kubwa na ya ziada ya kumchafua Dr Slaa kila mahali alipopata nafasi ya kufanya hivyo, ikiwemo magazetini.
 
Last edited by a moderator:
zitto mshirikina sana aliondoa mkono wa kulia wa mudhihir mudhihir kisa alimkomalia atimuliwe bungeni...naona na mkono wa dr slaa aliukosa kos sababu slaa ana Mungu. kweli uyu muha kaaga kwao.
 
Wanachadema msishangae kwa yanayotokea ndani ya Chama kwa sasa, kati ya Zitto Kabwe na Wenzake, Hii nchi ina watu walioumia sana, walioteswa sana, na walioibiwa sana, Watu wanalia na wanamlilia Mungu awakomboe, sasa kama wananchi wamewategemea kiasi hicho na Kwa kauli ya WAO WANA PESA SISI TUNA MUNGU, ni wakati wa Chama kusafika sasa, kama mnakumbuka au niwajuze tu, Watanzania wanaomba sana Mungu ili awaepushe na viongozi wasaliti, wauaji, WCHAWI/WASHIRIKINA! Sasa mnategemeaje kuwa katk safari ya ukombozi mwende na watu wanaoapishana kwa WAGANGA wa KIENYEJI? Mnaweza kudharau kauli yangu ila kwa mtu mwenye Imani na anayeona na kujua maombi yanayofanyika Tanzania kwa sasa, mtanikubali mseme wazi kuwa! Uovu ni uovu tu, haijalishi ni mwizi au Mchawi..
Chadema achilieni hawa wasaliti, washirikina wanaojiapiza kwa waganga wa kienyeji, wanaosema Wameaga kwao! ili iweje kama umeaga kwenu?

MKIENDELEA KUWANG`ANG`ANIA WATU WAAINA HII MTAANGUKA 2015 HAKIKA MTAANGUKA (CDM), KAMA MWOVU AMESHAJULIKANA MSITAKE KUKAA NAYE HADI AUTUBIE UOVU WAKE KWANZA, UOVU KAMA HAUJAWA WAZI HUENDA (MUNGU) ANATAKA UJIREKEBISHE, ANIOTHER CHANCE OF REPENTENCE!..ILA UOVU UKISHAJULIKANA NI VYEMA UUTUBIE HADHARANI, VINGINEVYO UTAGHARIMU KUNDI LOTE..HATA MIMI SIWEZI KUKUBALI KUWA ZIZI MOJA NA MSHIRIKINA KAMA NIMEHSAMJUA..

Chadema msije mkamhusisha Mungu kwa utani, yeye hufanya kweli pale mnapomwalika..sasa uovu unafichuka mnashindwa kutoa maamuzi, kama mnaamini ktk MUNGU watoseni hawa jamaa hakika mtashangaa kama hawatapotea ktk ramani ya kisiasa. Ila kama mlikuwa mnatania kuwa mna MUNGU basi wala msithubutu.
 
wanaojifanya chadema ni yao imefika wakati wakiche chama,Slaa na akina mbowe ni wakati wa kujitathimini
 
In fact kauli ya Zitto ya kusema ameaga kwao na atakayemuua kwao watakufa wote ni uthibitisho kabisa kuwa yeye ndiye tatizo
 
nakuunga mkono niliwahi kwenda arusha safina radio kutubu kwa ajili ya nchi wanaokaa arusha wanajua maombi yanaanza kupiga kazi
 
Baada ya John Mrema kubadilisha mwelekeo na kuamua sasa anataka kugombea Kinondoni 2015.Exaud Mamuya alianza kujinadi muda mrefu kuwa atagombea ubunge kupitia CHADEMA hapa kwetu VUNJO mwaka 2015.

Sioni tofauti yake sana na ZZK aliesema atagombea Uraisi 2015 watu hawa wote wanaongozwa na matumbo yao njaa kali na tamaa za fedha na madaraka ndio zinazowaongoza leo hii aibu kubwa waliyoipa CHADEMA hapa JF sioni ni jinsi gani watakisafisha chama chao
 
Zitto anasifika kumloga Mudhihir Mudhihir, anasifika kuwatoa kafara wengine wengi tu. Anasifika kwa kuwa na idadi ya waganga 5 hotelini katika kipindi kimoja tu cha bunge. Haina ubishi kuwa Zitto ni mshirikina. Anatumia sifa hii kuwatisha hata wabaunge na mawaziri wa serikali.
Ana waganga kutoka kigoma na mwingine yuko Oman.
 
Baada ya John Mrema kubadilisha mwelekeo na kuamua sasa anataka kugombea Kinondoni 2015.Exaud Mamuya alianza kujinadi muda mrefu kuwa atagombea ubunge kupitia CHADEMA hapa kwetu VUNJO mwaka 2015.

Sioni tofauti yake sana na ZZK aliesema atagombea Uraisi 2015 watu hawa wote wanaongozwa na matumbo yao njaa kali na tamaa za fedha na madaraka ndio zinazowaongoza leo hii aibu kubwa waliyoipa CHADEMA hapa JF sioni ni jinsi gani watakisafisha chama chao

This Rubbish nimereport kwa Invisible afunge hii thread.,,,

Join Date : 20th December 2012
Posts : 6
Rep Power : 302
Likes Received0
Likes Given3
 
Last edited by a moderator:
zitto hajaingia jf leo,Huyo jaa yako Exzaud hatapat hata kura 2,hana uwezo hata wa kugombea udiwani
 
Back
Top Bottom