Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,384
- 11,285
Baada ya John Mrema kubadilisha mwelekeo na kuamua sasa anataka kugombea Kinondoni 2015.Exaud Mamuya alianza kujinadi muda mrefu kuwa atagombea ubunge kupitia CHADEMA hapa kwetu VUNJO mwaka 2015.
Sioni tofauti yake sana na ZZK aliesema atagombea Uraisi 2015 watu hawa wote wanaongozwa na matumbo yao njaa kali na tamaa za fedha na madaraka ndio zinazowaongoza leo hii aibu kubwa waliyoipa CHADEMA hapa JF sioni ni jinsi gani watakisafisha chama chao
JF itawajenga humu humu na JF itawabomoa humuhumu kwani tulishasema tatizo lililomo humu ni njaa na Ukabila hasa ukanda yaani km thread hii inajionesha kabisa wachangiaji ni kitu kimoja na ID fake kwani kuna mahali watajitaja hata majina au wanakotoka
eg @ Alex by SeriaMtoto WikiLiks Tumainiel
Na. Alex Nicholaus Thomas MUSHI,
Kwa nini msikae hukohuko kwenye Vikao mkamalizana, anayetaka Urais Katiba inaruhusu hata km hafai mwacheni hata akaropokee chooni au uvunguni SISI WANANCHI TUTAMKUTA KATIKA BALLOT bOX