Ushuhuda: Wauzaji wa Trekta Afrika Kusini

Mkuu nashukuru sana. Barikiwa sana, huu uzi nilianzisha baada ya kuona tractor zinauzwa bei nzuri sana SA. Nami nipo njiani kufanya maamuzi magumu. Bahati mbaya tu mi nimekuwa mpenzi sana wa Massey Furgudon, hasahasa MF 290.
 
Sijawahi kuitumia hiyo 290 lakini naambiwa ni bora zaidi. Naipigia hesabu pia.
 
Mkuu nashukuru sana. Barikiwa sana, huu uzi nilianzisha baada ya kuona tractor zinauzwa bei nzuri sana SA. Nami nipo njiani kufanya maamuzi magumu. Bahati mbaya tu mi nimekuwa mpenzi sana wa Massey Furgudon, hasahasa MF 290.
Mkuu nakushauri tafuta fundi anayezijua zaidi MF akuambie changamoto zake na kama utamudu kuzikabili. wakati natafiti kila fundi na opereta waliniambia MF inazingua sana hydrolic nikaacha nazo.
 
KUBOTA ZINAPATIKANA ? NI MODEL IPI ILIYONZURI ?
Screenshot_20211216-182443_Chrome.jpg

Chek na Agricom mkuu. Namba zao +255745350778
 
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom