Ushuhuda: Wauzaji wa Trekta Afrika Kusini

Matrekta yapo mengi tu hapa Africa kusini.
Unachohitaji Fanya ni kuamua uje mwenyewe ununue na uondoke nalo au uagize ambapo muuzaji atalipwa ukipokea mzigo wako. Bei za matrekta zinaendana na ubora wa trekta.
 
Matrekta yapo mengi tu hapa Africa kusini.
Unachohitaji Fanya ni kuamua uje mwenyewe ununue na uondoke nalo au uagize ambapo muuzaji atalipwa ukipokea mzigo wako. Bei za matrekta zinaendana na ubora wa trekta.
Yapo aina gani boss mimi nishida na vifaa vya valment
 
Naomba unisaidie mawasiliano yako mkuu, maana P.M yako haifunguki. Na nina shida na tractor kutoka South Africa.
 
Kuna mkaburu nimepewa namba yake yupo huko Cape Town ila bado simuamini.

Na mfano wa tractor aliyonitumia ni hiyo.
IMG-20220607-WA0018.jpg
 
Aiseee
Nashukuru kupata madini haya
Singida na Songea walishaachana na jembe la mkono kitambo, tofauti na mikoa ya kagera, kigoma, katavi, geita, ambako jembe limetawala japo ni wazalishaji wakubwa then faida utahopata hapo wewe nunua mbolea kipindi haihitajiki sana kwa bei nafuu then weka stock halafu kwenye high season utaiuza mara mbili yake hata uwe na tani elfu ngapi singida zitaisha, kwenye mavuno tafuta vimashine vya kuhamisika vya diesel au petrol vya kupukuchulia mahindi ukomae singida hapo hapo anzia sekenke, sheliu nenda kwa akina mwigulu makunda kule njoo vuruga maluga na Tumuli hadi iguguno huko utoboe misuna wanamaliza kuvuna umepata pesa ya kutosha kwenye kupukuchua mahindi kikubwa uwe na vijana walio faster unapanga tu leo kambi kijiji fulani kesho sehemu nyingine utajiona boya kuchelewa kwenda singida
 
Back
Top Bottom