Kuna maelezo haya mafupi hebu anza nayo
Kuna namna nyingi ya kuweza ku empty mind. Jambo muhimu kabisa ni kujua ni vitu gani vinavyo saidia.
Aina ya kwanza.
Unaweza ukaanza kwa kufanya mazoezi ya mwili. Kudance, kukimbia, kurukaruka nk
Na baada ya hapo unaweza ukakaa au kujilaza kwenye kitanda na kuanza kujitamkia jambo zuri kwa kurudia rudia mf: I am intellient kwa sauti ya ndani huku umefumba macho. Hii itasaidia kuanza kuwa na postive thoughts.
Au unaweza kujilaza na kutoa pumzi. Yani unavuta kwa mda mrefu na kutoakwa mda mfupi. Vile vile unavaa nguo zisizo za kubana.
Aina ya pili.
Unaweza ukatafuta music wenye binaural beats wenye stereo head phone tofauti ya freequecy ya sikio moja na lingine iwe kuanzia 7 - 40htz. Tafuta online utapata unaweza kudownload.
Ukiwa sehemu yeyote, kazini, unaendesha gari, beach, ukonyumbani nk.
Inapendeza sana ukiwa upo sehemu tulivu na huku umefumba macho na umeweka mziki huo itasaidia sana kuweza kuchange mind. Hii inatokana na kwamba masikio ya mwanadamu hayana uwezo wa kusikia frequency 0-20htz na hizi frequency zinasaidia sana katika kuponya mind. Kwahiyo binaural beats frequcies mbili moja inapigwa kwenye sikio la kushoto na nyingine sikio la kulia. mfano 350htz na 360htz ubongo unashindwa kutafsiri aina ya frequency inayoingia kwahiyo inatengeneza frequency tofauti ambayo 360-350 ambayo ni 10htz ambayo haiwezi kusikiwa na masikio. Frequency hiyo ina ponya mind.
Aina ya Tatu
Kuwa na tabia ya kukaa kwenye sehemu ya utulivu na kuangalia nature. Unaweza ukakaa na kuangalia mawingu, mwezi, nyota, miti, ndege, bahari au ziwa, mkusanyiko wa watu nk.
Aina ya Nne
Concentration on some thing: unaweza ukacetrate na kitufulani. Mfano unaweza ukaangalia kitu flani na kuconcetrate au unaweza ukachagua sauti ya ndege flani na ukakocentrate. Rangi fulani ndani ya nyumba nk.
Kuna namna tofauti tofati hebu jaribu kuanza na hayo halafu utakuja unipe jibu baada ya mwezi mmoja.
Unaweza ukawa umekaa sehemu ukawa unasikia sauti za ndege wakiimba na ukaamua kuchagua sauti ya ndege fulani na ukaconcetrate katika sauti hiyo kwa mda. Au ukaamua kutazama picha yako ukutani na ukaconcentrate na hiyo.Annael hii aina ya nne unaweza ielezea zaidi!
Meditation ni hatari. ...inafungua mlango wa hell[/QUOTE
Zuzu katika ubora wako,hebu tueleze aina ipi ya meditation ulofanya ikakufungulia milango ya hell,sio tu unapotosha watu
Ha ha ha jibu though👆👆
Wanajamvi,
Hebu nisaidieni kufahamu faida za hii meditation katika maisha yetu ya kawaida. Nimejaribu kuifanya kwa miezi mitano sasa sijaona tofauti yeyote ya maisha yangu kabla ya meditation na sasa ninapoendelea nayo.
Nimewafuatilia sana Pasco, Rakim na mshana jr lakini naona patupu. Hebu waliofanikiwa nisaidieni(kama mtakuwepo), toka muijue hii meditation imeeasaidia nini na kwa njia zipi?.
Achana nayo kama huna abc za psychology! ukiiendekeza unaweza jiua! Unaweza kujiathiri bure kisaikolojia kabla ya kuwa karibu na jamii basi ukawa una antisocial behaviour, pia ukajaa kutwaa zigo la ukichaa, au uzezeta, au umasikini, au faraka na bipolar na mengineyo
Ushauri wangu, jifunze kumshukuru muumba na kumsifia kwa ukuu, ujuzi na utaalamu wake juu ya viumbe vyake na utukufu wake...
Muombe akujalie elimu yenye manufaa, na umuombe akusutiri na auepushie maradhi ya kiakili.. Muombe aifanye akili na moyo wako kustahmili kila jambo kwa kuwa na subira na uvumilivu na pia uwe na good social skills katika interactions etc.
Neema ya akili, ni moja kati ya neema kubwa mno, hii neema haipaswi kufanyiwa majaribu ambayo side effects zake hazicha chambuliwa effective...
Wito; Kwa wale ma psycho programer wa akili kuanzia wazazi, waalimu na jamii na wahadhiri..kuna haja ya ku builts hizi ego kwa manufaa ya jamii, kwa mafaa ya mjengwa, kwa manufaa ya mazingira na kwa kuzingatia stratergy maalumu..ambayo mjengwa na mjengaji watasaidiana pindi litokeapo tatizo.
Alamsiki
Ok Mr. President ntaifanyia kazi, ila hapa nahitaji aliyefanikiwa anieleze alivyofanikiwa.
View attachment 287715 isome kwa kutulia sana

The prezident hii meditation yako ni nzuri inaleta relief kwenye mwili ila mara unapoimaliza kiganja cha kulia huwa kina joto kuliko cha mkono wa kushoto na vilevile naona kama inaondoa appetite.
Mi nna changamoto moja, kuna wakati inafika mwili unakufa ganzi, kuna hali flani iv siielewi ila nakatishwa na hisia za kujaa mate mdomoni, nikitaka kuyameza ile hali inapotea, naanza upya tena.km kuna ushauri apo em nipe.
Lkn kiukwel hata kama nlikua na maumiv flan huwa siyaskii tena.
Ngoja niendelee hadi nipae na mm nikatembee yani.
Itara ushauri wako ni mzuri na wakitaalam, ila unakatisha tamaa, kila kitu kina changamoto zake ukiwa mwepesi wa kukata tamaa ni ngumu kufanikiwa