Ushuhuda wa dada yangu: Ukioa mdada wa chuoni ambae kwao anaweza kurudi kirahisi tegemea kusingiziwa unamfanyia ubaya akiona majukumu ya ndoa magumu

Sioi wala siwi na mahusiano na mwanamke asie jishughulisha na sio kujishughulisha tu bali na kazi yenyewe iwe na changamoto nyingi na ikiwezekana iwe kazi ngumu, lakini eti katoka kwao alafu akalipiwa hostel alafu nikamzoe huko nimlete nyumbani! Hilo ni bomu! Samaki wa mapambo haliwi
 
Wewe naye ni lijinga sana sasa mambo ya dada yako yanakuhusu nini ?

Tafuta demu uende uoe ili ujue ukweli wa mambo sio kuishi kwenye nadharia mshenzi .

Mkuu nisamehe tu ila ni vile sipendi watu wambea kama wewe .

Vipi lakini Yanga atashinda kweli ?
Utakuwa mchawi wewe
 
Huezi m-treat vibaya anybody ukitegemea atakupamba somewhere even if you were too good.l

Huyo bwana apart na hizo hela alipaswa amsaidie mkewe ahakikishe mkewe achoki sana

Kuna baadhi ya majukumu angegawa kwa housegirl mfano usafi wa nyumba in general huko room kwake ilibidi ndo awe anafanya mkewe

Kuhusu nguo zake hata housegirl anafua mbona ukitoa nguo sensitive ziingine apewe housegirl afue, mama akiwa home basi ndo walau afanye fanye kazi
Alichokosea ni kumfanyisha makazi mkewe ili hali sio a 'housewife'ltitude yako

Kwa Hiyo altitude yako sidhani kama ndoa yako itadumu.
 
Sioi wala siwi na mahusiano na mwanamke asie jishughulisha na sio kujishughulisha tu bali na kazi yenyewe iwe na changamoto nyingi na ikiwezekana iwe kazi ngumu, lakini eti katoka kwao alafu akalipiwa hostel alafu nikamzoe huko nimlete nyumbani! Hilo ni bomu! Samaki wa mapambo haliwi
Mpaka pale tutakapo jua the true definition of a woman ndo wanaume tutapata amani........a womon is the most complicated animal on earth......awe wa aina gani atakusumbua tu solution ziko 3 either unasalimu amri, au unaishi nae maisha ya kuviziana na kero, au kukataa ndoa
 
Wewe naye ni lijinga sana sasa mambo ya dada yako yanakuhusu nini ?

Tafuta demu uende uoe ili ujue ukweli wa mambo sio kuishi kwenye nadharia mshenzi .

Mkuu nisamehe tu ila ni vile sipendi watu wambea kama wewe .

Vipi lakini Yanga atashinda kweli ?

We MBWA ni ME, KE au SHOGA?
😳😳😳

#YNWA
 
Ancle Bright elewa hili... Mimi nimesogeza mdada 4m 4 leaver failure.. sio mrembo anachapa kaz izo ulizosema lakini ana mdomo sana ni mgomvi mno.. Najuta kuwa nae maana hua sipend kelele na ugomvi..natoa hii hoja kukuelewesha mahusiano ya hawa wadada wa siku hizi ni kubet tu chukua hata asie soma akija mjini siku 2 anakua msomi na ujeuri juu.. inapaswa kumuomba sana Mungu..
Huyu nina hakika tutaachana na sintathubutu tena kuish na hawa wadudu and i can say the thing i feared most has happened... najickia vibaya sana cz mimi najijua vzur

Poleeee...
Tukiwaambia MSIOE ila HAMKUELEWA.

#YNWA
 
Tukikataa ndoa tunaambiwa tunakwepa majukumu kumbe sisi wakataa ndoa tuna majukumu mengi kwenye machimbo tofauti tulipo weka mbegu na utelezi uko mwingi
 
Mpaka pale tutakapo jua the true definition of a woman ndo wanaume tutapata amani........a womon is the most complicated animal on earth......awe wa aina gani atakusumbua tu solution ziko 3 either unasalimu amri, au unaishi nae maisha ya kuviziana na kero, au kukataa ndoa
character ya hao nilio kuelekeza wana afadhali sana aisee! Kwanza wanajua nini kinaendelea kwenye level ya maisha kuliko hilo group lingine wanakua wanaenda enda tu kama wanaota na hata ukimuelezea maisha yeye anachojua ni kuzaliwa kusoma na kudanga au kuolewa na kuzaa alafu bhasi
0de9881e986d38dff619bf132f1ef429.jpg
93efa01c7f22833c0e221d624e7065dd.jpg
827772bb9ec297f47481e5bbec9c6880.jpg
 
Kwa hapa kwetu nyumba zenye mashine hizo hazifikii hata 1%,

Ni vema kujua kuishi katika maisha general ya watanzania wengi, huku si marekani kwamba hata magereza kuna mashine za kufua.

Mwanamke kumfulia mwanamme wake ni moja katika majukumu yake ya usafi kama ilivyo kwa mwanaume kutekeleza majukumu yake ya kuilisha familia hata kama atatembea kwenda kazini kilometa mbili ili abane hela ya kulisha.
Nyumba zenye washing machine hazifiki 1% bongo?
Japo sijafanya research ila kaa ukijua hiyo kitu ni kawaida sana siku hizi, kawaida saaana.
Yaani umeiweka kavile ni kitu ajabu sana m-bongo kua nacho.
 
Hivi huyo anaesema mwanaume amsaidie mkewe anajua majukumu ya mke na mume ktk nyumba. Kwa hiyo hata kufua mume afue mke akiwa amekaa anaangalia tamthilia kisa unamsaidia kazi yeye kachoka.

Mimi nakushukuru mleta mada kwa kutambua kuwa dada yako ni hovyo kabisa hafai kuwa mke bora kwa kujifanya kasoma. Analeta vidigrii vyake vya vyeti ktk ndoa. Tena km mmegundua yeye ndiyo ana makosa mtimueni hapo haraka aende kwa mumewe.

Mada za wanawake wasomi kuwa wasumbufu zilishaletwa hapa nyingi sijui kwa nini hawapitii humu. Wanajiona wasomi mwisho wa siku wanazeeka bila ndoa au ndoa zao kutodumu kwa sababu ya u-much know kisa vidigrii vyao vya kumeza madesa. Hovyo sana hawa. Mbona wanaume hawako hivyo hata km amesoma vipi bado ataoa darasa la saba na watazeeshana. Ubinafsi na jeuri ya haki sawa kwa jinsia ya KE vitawamaliza.
Vi - Degree vya chupi

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom