Uncle bright
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 1,040
- 4,119
- Thread starter
- #61
Kwa hapa kwetu nyumba zenye mashine hizo hazifikii hata 1%,Mambo mengine yashapitwa na wakati....kwanini huyo shemeji yako asinunue washing machine na geyser.
Kama anafanya kazi kumfulisha mwanamke....kuchemshiwa maji kila asubuhi kutesana. Hawezi kujichemshia maji?
Ni vema kujua kuishi katika maisha general ya watanzania wengi, huku si marekani kwamba hata magereza kuna mashine za kufua.
Mwanamke kumfulia mwanamme wake ni moja katika majukumu yake ya usafi kama ilivyo kwa mwanaume kutekeleza majukumu yake ya kuilisha familia hata kama atatembea kwenda kazini kilometa mbili ili abane hela ya kulisha.