USHUHUDA: Nilizaliwa na Virusi vya UKIMWI

USHUHUDA: Nilizaliwa na Virusi vya UKIMWI

Kisukari mbona huwa amkizungumzii wakati ndio kinachoua watu wengi pamoja na BP au sababu ukimwi kwa asilimia kubwa unatokana na raha...? Nimeshuhudia watu wengi sana wakifa kwa ajili ya Kisukari.
Kansa pia
 
Kuna friend alizaliwa na virusi vya ukimwi tunezika 2015 akiwa na miaka 25. Na alikuwa akipata lishe nzuri, matibabu ya daraja la juu kwa sababu family yao pesa ipo. Alikosea wapi au muda wowote mtu anaondoka akiwa na hali hiyo? Samahani lakini kwa swali hili.
Kujikubali ndio tiba kuu kuliko zote.....
 
Nakutia moyo aisee HIV inaweza kuwa tatizo ka kawaida kuliko cancer...kisukari..pressure.Uskonde aisee magonjwa hayo yanatesa kuliko hiyo yako...keep it up dont be discouraged guy
 
Habari wakuu,

Natumaini mko poa na Christmas na hata kama uchumi hauko sawa yapaswa kushukuru MUNGU maana kikubwa ni uzima na afya tu.

Dhumuni la uzi huu ni kuwapa moyo wale wote wanaoishi na Virusi vya UKIMWI wajione kama watu wa kawaida na kuwa na virusi vya UKIMWI sio mwisho wa maisha.

Mimi ni kijana jinsia ya kiume, nilizaliwa na Virusi vya UKIMWI miaka 24 iliyopita na mpaka leo niko mzima wa afya na ukiniangalia kwa macho hutofikiria kama naishi na Virusi.

Waathirika wote msikate tamaa na wala msihuzunike, kila kitu kinatokea kwa sababu fulani.

Natanguliza shukrani kwenu na muwe na Christmas njema.

Mwenye maswali au maoni nitamjibu hapa hapa
Kwahio ulitumia nn hio . hali ikaondoka
 
Masturbation nishafanya ila niliacha huo mchezo muda sana,kuhusu kufanya mapenzi,sijawahi hata siku moja
sasa kijana wangu siku ukionja papuchi na ule utamu wake si unaweza piga ukungaa maana wengine wa moto kama jiko.
 
Back
Top Bottom