USHUHUDA: Nilizaliwa na Virusi vya UKIMWI

kuna aina mbili za HIV kuna one n two sasa inategemea umepata HIV ipi hata ukienda kupima utaona kwenye kipimo pale sasa ukiwa na 2 baba we chimba shimo lako kabla mwenyekiti hajafika
 
Habari wakuu,

Natumaini mko poa na Christmas na hata kama uchumi hauko sawa yapaswa kushukuru MUNGU maana kikubwa ni uzima na afya tu.

Dhumuni la uzi huu ni kuwapa moyo wale wote wanaoishi na Virusi vya UKIMWI wajione kama watu wa kawaida na kuwa na virusi vya UKIMWI sio mwisho wa maisha.

Mimi ni kijana jinsia ya kiume, nilizaliwa na Virusi vya UKIMWI miaka 24 iliyopita na mpaka leo niko mzima wa afya na ukiniangalia kwa macho hutofikiria kama naishi na Virusi.

Waathirika wote msikate tamaa na wala msihuzunike, kila kitu kinatokea kwa sababu fulani.

Natanguliza shukrani kwenu na muwe na Christmas njema.

Mwenye maswali au maoni nitamjibu hapa hapa
mkuu nitumie japo picha yako ila ficha hata usooo nataka nikuone afya yako ilivyo plz.
 
kuna aina mbili za HIV kuna one n two sasa inategemea umepata HIV ipi hata ukienda kupima utaona kwenye kipimo pale sasa ukiwa na 2 baba we chimba shimo lako kabla mwenyekiti hajafika
Duuh nimezaliwa nao mkuu miaka 23 iliyopita mpaka Sasa niko vizuri tu
 
Kuna mtoto mmoja namjua kwenye mtaa niliozaliwa na kukulia alizaliwa na HIV na sasa ana miaka zaidi ya 23 I guess

Ni kabinti fulani hivi karembooooo na ukikaona huwezi jua kua ni transformer inayotembea. Sote tunajua ana huo ugonjwa ila tatizo la huyo binti ni malaya ila anatembea na wale mabishoo wasiojua historia yake and am really sure ameshaua watu kadhaa kwa huo ugonjwa

Kuna kijani mmoja wa Dodoma alikuja kufanya kazi katika jiko moja pale mtaani, alikua bishoo bishoo so akajua kapata demu, siku tumekaa wana kibao huyo binti akapita jamaa akaanza kujisifia kuwa nilikesha nae usiku kucha mtoto mtamu balaa hahahahahahaha watu acha waweke mikono kichwani

Kufupisha story jamaa now yupo kwao Dodoma anahesabu siku za kuishi
 
Hilo neno transformer siyo la kiungwana Mkuu. Tujifunze kuwa na maneno yenye faraja. Kwa kuwa tuna wenza, ndugu, watoto na marafiki basi jua hauko kisiwa. In any how HIV kupitia kati ya hao utawaita transformer or volcanic lava???? Think again.
 
Cd4 kushuka inasababishwa na vitu vingi baadhi ni kupata milo duni,kufanya ngono zembe,kuwa na msongo wa mawazo(stress)na kutotumia dawa za Arv
Kwa upande wangu kuanzia mwaka jana nilianza kuishi mwenyewe hivyo nikawa nakosa mlo kamili uliojitosheleza ukijumlisha na kutotumia Arv ni lazima Cd zishuke mkuu ila nashukuru sasa zimepanda kwa kiasi kikubwa mno na ninazingatia mlo kamili hata iweje bora nikose vyote lakini sio kukosa milo mitatu yenye nguvu
Mimi naomba kujua milo kamili ipoje. Unitolee mfano wa milo yako.
 
Hilo neno transformer siyo la kiungwana Mkuu. Tujifunze kuwa na maneno yenye faraja. Kwa kuwa tuna wenza, ndugu, watoto na marafiki basi jua hauko kisiwa. In any how HIV kupitia kati ya hao utawaita transformer or volcanic lava???? Think again.
shukrani Kwa comment yako,barikiwa mno
 
Kuna mtoto mmoja namjua kwenye mtaa niliozaliwa na kukulia alizaliwa na HIV na sasa ana miaka zaidi ya 23 I guess

Ni kabinti fulani hivi karembooooo na ukikaona huwezi jua kua ni transformer inayotembea. Sote tunajua ana huo ugonjwa ila tatizo la huyo binti ni malaya ila anatembea na wale mabishoo wasiojua historia yake and am really sure ameshaua watu kadhaa kwa huo ugonjwa

Kuna kijani mmoja wa Dodoma alikuja kufanya kazi katika jiko moja pale mtaani, alikua bishoo bishoo so akajua kapata demu, siku tumekaa wana kibao huyo binti akapita jamaa akaanza kujisifia kuwa nilikesha nae usiku kucha mtoto mtamu balaa hahahahahahaha watu acha waweke mikono kichwani

Kufupisha story jamaa now yupo kwao Dodoma anahesabu siku za kuishi
Sio kila anayetembea na mwenye UKIMWI anaupata kuna factors nyingi behind.
 
Usijali mkuu, Hakuna wa kunikatisha Tamaa hata mmoja, siku za miaka yangu ni zaidi ya themanini, yote yanawezekana kwake anayeamini
Hakika HIV is no longer a death sentence, nowadays people with HIV can live near to normal life expectancy. Kikubwa ni masharti na kanuni utakuta wasio na HIV wanakuacha unasurvive.
 
Back
Top Bottom