mtu watu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,123
- 1,617
Kwahyo majaribio itaanzia kwako?Dawa Iko njiani inakuja mkuu, miaka kumi mingi,itakuwa ishapatikana
Kwahyo majaribio itaanzia kwako?Dawa Iko njiani inakuja mkuu, miaka kumi mingi,itakuwa ishapatikana
Yataanzia kwakoKwahyo majaribio itaanzia kwako?
We!! Ugonjwa watengene wao tena dawa watujaribishie sisi kwani sisi ndyo testa.Yataanzia kwako
Kama Hakuna mwenye ukimwi, unayemjua kazaliwa nao akavuka 30 ni kwa upande wako labdaHakuna mwenye UKIMWI ninayemjua kazaliwa nao akatoboa miaka 30,wote hukatikia hapa hapa kwenye 20`s....
Ehe mbna umamkatisha tamaa ya kuishi tenaHakuna mwenye UKIMWI ninayemjua kazaliwa nao akatoboa miaka 30,wote hukatikia hapa hapa kwenye 20`s....
Simkatishi tamaa,naongea fact,after all wote tutakufa na hakuna anayejua atakufa kwa kifo gani,but nikisemacho kina ukweli sawa na yeye alivyojua kuwa ana UKIMWI kwa mara ya kwanza unahisi alitakiwa akate tamaa,napenda asurvive pia kwasababu ni binadamu kama mimi but nilichokiongea sio unafiki au chuki au kumkatisha tamaa,ndio ukweli upo hivyo shekhe wangu..Ehe mbna umamkatisha tamaa ya kuishi tena
wewe yupo unayemfahamu mkuu?Kama Hakuna mwenye ukimwi, unayemjua kazaliwa nao akavuka 30 ni kwa upande wako labda
Sio yupo, wapo tena wengi tuwewe yupo unayemfahamu mkuu?
Sawa kufa tutakufa inategemea umekufaje je ktk kuwa na ukimwi si kuna kuwa na matokeo fulani kuashiria huyu mtu atakufa lini au hakuna uhashirio wowote, je kama hana mpaka sasa haoneshi dalili zozote hapo za kuwa huyu ana tatzo fulani inakuwaje?Simkatishi tamaa,naongea fact,after all wote tutakufa na hakuna anayejua atakufa kwa kifo gani,but nikisemacho kina ukweli sawa na yeye alivyojua kuwa ana UKIMWI kwa mara ya kwanza unahisi alitakiwa akate tamaa,napenda asurvive pia kwasababu ni binadamu kama mimi but nilichokiongea sio unafiki au chuki au kumkatisha tamaa,ndio ukweli upo hivyo shekhe wangu..
kumbe utatoboa shekhe wangu,hongera sanaSio yupo, wapo tena wengi tu
tatizo ukishaanza huto tuvidonge,tuna complications nyingi sana,kama madawa ya kulevya,ukianza inabidi uwe commited for a life time,ukileta mbwembwe unapotea,ndio maana mimi huwa sioni sababu ya mtu kwenda kuvichokonoa kwa kupimahuku hajisikii kuumwa chochote,ukijijua tu,utatetereka within a very short time,na usipokuwa na moyo mgumu tutakufukia immediatellySawa kufa tutakufa inategemea umekufaje je ktk kuwa na ukimwi si kuna kuwa na matokeo fulani kuashiria huyu mtu atakufa lini au hakuna uhashirio wowote, je kama hana mpaka sasa haoneshi dalili zozote hapo za kuwa huyu ana tatzo fulani inakuwaje?
Bora tusipime kugundua chochote kama hatuhisi tuna ugonjwa si ndyo mkuu?tatizo ukishaanza huto tuvidonge,tuna complications nyingi sana,kama madawa ya kulevya,ukianza inabidi uwe commited for a life time,ukileta mbwembwe unapotea,ndio maana mimi huwa sioni sababu ya mtu kwenda kuvichokonoa kwa kupimahuku hajisikii kuumwa chochote,ukijijua tu,utatetereka within a very short time,na usipokuwa na moyo mgumu tutakufukia immediatelly
kabisa,usijaribu nakusihi..Bora tusipime kugundua chochote kama hatuhisi tuna ugonjwa si ndyo mkuu?
Kwa mantiki hii wewe utaishia kufa kama wale kuku wa mdondo wanachimbia mdomo chini wanakatikia hapo hapo....kabisa,usijaribu nakusihi..
Watakwambia unachotafuta utakipatakabisa,usijaribu nakusihi..
Mkuu hata Kikwete amewahi sema za kuambiwa changanya na zako... Hata hayo maandiko kwenye Biblia na Quran yanaeleza kua mitume pia walitafuta dawa walipopata maradhi au wakati wanaponya watuWatakwambia unachotafuta utakipata
Lakini tusipopima mapema je ugonjwa ukiwako na dalili zikachelewa kuonekana mapema, bdae ukazuka ghafla si ndyo balaa na huto tuvidonge si tunaweza tusisaidie hata kdgo?
[emoji23][emoji23] kama ukiamini hvyo ktk kurogwa ni uharakini.Mkuu hata Kikwete amewahi sema za kuambiwa changanya na zako... Hata hayo maandiko kwenye Biblia na Quran yanaeleza kua mitume pia walitafuta dawa walipopata maradhi au wakati wanaponya watu
Sasa ukifata mantiki ya huyo mkuu hapo juu utaanza kuhisi mara umelogwa mara umechezewa siku unakuja hamaki ugonjwa umekua chronic hautibiki watu tunakuja kula wali kizeeeeeembe kabisa
Mkuu ukimwi umeingia nadhan haizidi hata miaka 30 iliyopita yaaan was early 1980's sasa hao mitume wangejuaje kuhusu hizo dawa ilihali huo ugonjwa haukuwepo??? Mitume wa sasa ni matapeli ila hiyo ni mada nyingine[emoji23][emoji23] kama ukiamini hvyo ktk kurogwa ni uharakini.
Nimekupa, lakni hao mitume mbna hawakugundua dawa ya hii kitu au nao walichemka ktk utume wao?