USHUHUDA: JamiiForums imenipa mtoto wa kiume

Unatakiwa Kujua Umri Wa Mkeo Halafu Unatazama Kwenye Mwezi Huo Anapatikana Mtoto Gani ?

Mwanamke Mwenye Umri Wa Miaka 33 Utaangalia Mwezi Gani Nahitaji Mtoto Wa Kike
Utatazama Kuanzia January Hadi December Kwenye G-Girl
Samahani huu ni ule mwezi mnaokutana na sio mwezi ambao amezaliwa wife sorry again
 
MAOMBI YANGU KWA MUNGU AWE WAKWAKO MKUU NAMAANISHA DNA N MUHIMUSANA HAWAROHOO WAKIJUA SHIDA N MTOTO WAKIUME AISEEE BORA UNATAFUTA KIMYAKIMYA...MUNGU AMPE NGUVU KITANDA AKIZAI HARAMU
 
Samahani huu ni ule mwezi mnaokutana na sio mwezi ambao amezaliwa wife sorry again
Kwenye Mwezi January Hadi December Utaona Kuna G,B Yaani Kuna Mwezi Ukifanya Tena Utapata Wa Kike Ama Wa Kiume

Sasa Angalia Umri Wa Mwezi Wako Nao Ni Mwezi Upi Sasa Kunakuwa Na Prediction
 
Obama ana mali za kila aina ana watoto wawili wa kike.

Mwenzangu na mimi wa Mabibo Mpakani na kibanda chako cha vyumba vitatu unazaa watoto sita ili utafute wa kiume.

Ukiulizwa utajibu unataka kuendeleza ukoo. Sasa wewe na Obama wa kuendeleza ukoo ni nani? Aliyetuloga alishafariki.

Hongera hata hivyo kwa kupata haja ya moyo wako.
sijawahi kunung'unika uzao wangu wa mabinti 3. Mungu awajalie afya njema na hekima. mtoto ni zawadi toka kwa Mola
 
Huna lolote wivu tu huo!!!
"Tajiri na mali zake, masikini na wanawe"
Hao akina obama ni waoga wa maisha ndiyo maana hawatimizi haja za mioyo yao.

Mi ningekuwa kama Trump ningefyatua watoto na wanawake wa mataifa yote, yaani mbilikimo, wachina na wahadizabe wote wangeniita baby father!
Mimi nawakubali Kennedy's family wale hawana kuremba kwenye kuzaa,Rais John kennedy kwenye familia yao walizaliwa 11,baadae Kwnnedy akazaa4 yule mdogo wake Robert Kennedy aliekuwa Mwanasheria Mkuu was Marekani alikuwa na watoto 10.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Habari wakuu.

Niliwahi kuomba ushauri hapa kuwa nimehangaika sana kutafuta mtoto wa kiume bila mafanikio.

Nashukuru sana kwamba nimefanikiwa baada ya kufuata ushauri wenu hasa ule wa kalenda ya kichina.

Nafuraha sana kwani nilikuwa na watoto 6 wa kike na wingi huo ulitokana na jitihada za kutafuta mtoto wa kiume.

Asanteni sana.
Mungu awabariki nyote ila mtoto ni mtoto usibague japo moyo wako ulikua unataman wa kiume. Wenzio wanakesha kila uchwao kutafta mtoto
 
Huu uzi wa kuomba ushauri ni wa February mwaka huu, hii ni June, sasa huyo mtoto kazaliwa na 4 months?
 
Habari wakuu.

Niliwahi kuomba ushauri hapa kuwa nimehangaika sana kutafuta mtoto wa kiume bila mafanikio.

Rejea Uzi Wangu >> Nimetafuta mtoto wa kiume bila mafanikio. Nifanyeje?

Nashukuru sana kwamba nimefanikiwa baada ya kufuata ushauri wenu hasa ule wa kalenda ya kichina.

Nafuraha sana kwani nilikuwa na watoto 6 wa kike na wingi huo ulitokana na jitihada za kutafuta mtoto wa kiume.

Asanteni sana.
Acha kutufanya sisi humu ni mambumbumbu wenzio yaani kutoka February 26 mwaka huu mpaka leo hii tayari miezi 9 imefika? Ukitaka kudanganya tumia na akili pia.
 
Umri wa mama hauna uhusiano na jinsia ya mtoto. Hiyo kalenda ya Kichina ni utter nonsense. Uwezekano wa kupata mtoto wa kiume au wa kike always ni 50-50. Ungerusha sarafu tu, it would have been just as accurate a predictor of the baby's sex.
 
Habari wakuu.

Niliwahi kuomba ushauri hapa kuwa nimehangaika sana kutafuta mtoto wa kiume bila mafanikio.

Rejea Uzi Wangu >> Nimetafuta mtoto wa kiume bila mafanikio. Nifanyeje?

Nashukuru sana kwamba nimefanikiwa baada ya kufuata ushauri wenu hasa ule wa kalenda ya kichina.

Nafuraha sana kwani nilikuwa na watoto 6 wa kike na wingi huo ulitokana na jitihada za kutafuta mtoto wa kiume.

Asanteni sana.

Ushauri umeomba Feb 26, 2017 ukapewa ushauri. Leo ndani ya miezi minne, tayari umeshampachika mimba mkeo na ameshajifungua. Ndiyo maana huwa siku zote nasema hapa, kama huna topiki ya maana, nyamaza kimya.
 
Obama ana mali za kila aina ana watoto wawili wa kike.

Mwenzangu na mimi wa Mabibo Mpakani na kibanda chako cha vyumba vitatu unazaa watoto sita ili utafute wa kiume.

Ukiulizwa utajibu unataka kuendeleza ukoo. Sasa wewe na Obama wa kuendeleza ukoo ni nani? Aliyetuloga alishafariki.

Hongera hata hivyo kwa kupata haja ya moyo wako.
hahahaha.. kweli wewe ni SUMU...
 
Nimecheka kwa herufi kubwa.
 
Back
Top Bottom