USHUHUDA: JamiiForums imenipa mtoto wa kiume

USHUHUDA: JamiiForums imenipa mtoto wa kiume

Obama ana mali za kila aina ana watoto wawili wa kike.

Mwenzangu na mimi wa Mabibo Mpakani na kibanda chako cha vyumba vitatu unazaa watoto sita ili utafute wa kiume.

Ukiulizwa utajibu unataka kuendeleza ukoo. Sasa wewe na Obama wa kuendeleza ukoo ni nani? Aliyetuloga alishafariki.

Hongera hata hivyo kwa kupata haja ya moyo wako.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja ncheke kidogo!!
 
Habari wakuu.

Niliwahi kuomba ushauri hapa kuwa nimehangaika sana kutafuta mtoto wa kiume bila mafanikio.

Rejea Uzi Wangu >> Nimetafuta mtoto wa kiume bila mafanikio. Nifanyeje?

Nashukuru sana kwamba nimefanikiwa baada ya kufuata ushauri wenu hasa ule wa kalenda ya kichina.

Nafuraha sana kwani nilikuwa na watoto 6 wa kike na wingi huo ulitokana na jitihada za kutafuta mtoto wa kiume.

Asanteni sana.
6+1=7
Hongera!!
 
Asante sana kwa feedback na Hongera sana. Mwenyezi Mungu akuzidishie, kumbuka kumshukuru kwa yote
 
Ushauri umeomba Feb 26, 2017 ukapewa ushauri. Leo ndani ya miezi minne, tayari umeshampachika mimba mkeo na ameshajifungua. Ndiyo maana huwa siku zote nasema hapa, kama huna topiki ya maana, nyamaza kimya.
Screenshot_20170612-154346.png
Screenshot_20170612-154346.png
Screenshot_20170612-154346.png
Screenshot_20170612-154346.png
 
26feb17-jun2017
Kha hunahata haya yakuzaliwa..HUYO MTOTO AMEKUWA MAKANIIKIA??
Screenshot_20170612-154346.png
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]hii Kali
 
Obama ana mali za kila aina ana watoto wawili wa kike.

Mwenzangu na mimi wa Mabibo Mpakani na kibanda chako cha vyumba vitatu unazaa watoto sita ili utafute wa kiume.

Ukiulizwa utajibu unataka kuendeleza ukoo. Sasa wewe na Obama wa kuendeleza ukoo ni nani? Aliyetuloga alishafariki.

Hongera hata hivyo kwa kupata haja ya moyo wako.
Eti mabibo mpakani [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Habari wakuu.

Niliwahi kuomba ushauri hapa kuwa nimehangaika sana kutafuta mtoto wa kiume bila mafanikio.

Rejea Uzi Wangu >> Nimetafuta mtoto wa kiume bila mafanikio. Nifanyeje?

Nashukuru sana kwamba nimefanikiwa baada ya kufuata ushauri wenu hasa ule wa kalenda ya kichina > Chagua jinsia ya mtoto umtakaye

Nina furaha sana kwani nilikuwa na watoto 6 wa kike na wingi huo ulitokana na jitihada za kutafuta mtoto wa kiume.

Asanteni sana.

Daaaah, hongera mkuu, wengine tuna bahati, mimi sikuhangaika na kalenda wala nini, nahisi Mungu alinipendelea tuu au ilikuwa game of chance nina dume 2 na girl 1.
 
Mie nafundisha practically hasa kwa jinsia ya ke pekee.wala hutajuta,matokeo ni ndani ya siku 30 tu.Karibuni.[emoji23]
 
Mkuu mshukuru na kumsifu MUNGU kwa kukupa mtoto huyo na si vinginevyo. Na kwataarifa yako hata bila ya wewe kutumia hiyo kalenda ya kichina bado Plani ya MUNGU ilikuwa upate mtoto wa kiume baada ya watoto wa kike kufuatana..
Toa sadaka ya shukrani kumsifu MUNGU wako
 
Sasa ndo umlee kama yai aishie kuwa kwenye grp la kina kaoge au chid benz, kaz kwako, na hii tabia yakuona watoto wa kiume kama dhahabu sijui itaisha lini
 
Nilipata bahati asubuhi moja kabla ya kwenda kibaruani, nikapiga bao moja likatoa watoto wawili, wakike na wakiume. Yaani sasa nimefunga biashara hawa wawili wananitosha
 
Hongera sana, nakuchagulia jina, aitwe Makinikia
 
Obama ana mali za kila aina ana watoto wawili wa kike.

Mwenzangu na mimi wa Mabibo Mpakani na kibanda chako cha vyumba vitatu unazaa watoto sita ili utafute wa kiume.

Ukiulizwa utajibu unataka kuendeleza ukoo. Sasa wewe na Obama wa kuendeleza ukoo ni nani? Aliyetuloga alishafariki.

Hongera hata hivyo kwa kupata haja ya moyo wako.
We ni kenge kwakweli
 
Back
Top Bottom