USHUHUDA: JamiiForums imenipa mtoto wa kiume

USHUHUDA: JamiiForums imenipa mtoto wa kiume

Jf Dokta Kuna Thread Moja Nzuri Ilizungumzia Kalenda Ya Kichina Naamini Mdau Aliisoma Ile Ingawa Hii Kalenda Ya Hapa Imetofautiana Na Ile Ya Jf Dokta
 
Rehema na fadhila tuzirudishe kwa muumba wa mbingu na ardhi.[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Namna Ya Kuisoma Hiyo Kalenda
B-Boy
G-Girl

Sasa Unatakiwa Kujua Mke (Mpenzi Wako) Ana Umri Wa Miaka Mingapi?
Hapo Kwenye 18-45 Ni Umri
Ukiona Pamewekwa G Unatazama Mwezi Basi Unajua Anapatikana Mtoto Gani
Unafanya Zoezi
okay shukrani, nitaifanyia kazi mkuu
 
Ivi kwanini mtoto wa kiume akipatiakana wazazi wanakua na furaha??? Man up!!!

Hongera sana mdau kwa kutuongezea dume duniani!
 
Obama ana mali za kila aina ana watoto wawili wa kike.

Mwenzangu na mimi wa Mabibo Mpakani na kibanda chako cha vyumba vitatu unazaa watoto sita ili utafute wa kiume.

Ukiulizwa utajibu unataka kuendeleza ukoo. Sasa wewe na Obama wa kuendeleza ukoo ni nani? Aliyetuloga alishafariki.

Hongera hata hivyo kwa kupata haja ya moyo wako.

Clinton ana mmoja wa kike.

Lakini kupanga ni kuchagua mkuu kila mtu na maisha yake.
 
Hamna mtoto nae mpenda katika maisha.... Kama mtoto wa kike.... Natamani niwe nao wa 3 wanatosha...
 
Mimi nilikushauri ufanye asubuhi au siku ya 14 tangu mkeo aone red sea sasa nishukuru kipekee maana ulikuwa umezidi, ukioka kazini umechoka usiku unampalamia mkeo atimae mbegu dhaifu lazima atokee ke sema athante luckyline.

Uendelee kufanya asubuhi.
 
Namna Ya Kuisoma Hiyo Kalenda
B-Boy
G-Girl

Sasa Unatakiwa Kujua Mke (Mpenzi Wako) Ana Umri Wa Miaka Mingapi?
Hapo Kwenye 18-45 Ni Umri
Ukiona Pamewekwa G Unatazama Mwezi Basi Unajua Anapatikana Mtoto Gani
Unafanya Zoezi
Sorry mwezi ni wife au wa kwangu
 
Sorry mwezi ni wife au wa kwangu
Unatakiwa Kujua Umri Wa Mkeo Halafu Unatazama Kwenye Mwezi Huo Anapatikana Mtoto Gani ?

Mwanamke Mwenye Umri Wa Miaka 33 Utaangalia Mwezi Gani Nahitaji Mtoto Wa Kike
Utatazama Kuanzia January Hadi December Kwenye G-Girl
 
Back
Top Bottom