GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,700
- 14,647
Yaani badala ya Kumshukuru Mungu amekupa mtoto wewe unasema JF IMEKUPA MTOTO ...AISEE. HAYA NDUGU ISHUKURU JF.
Habari wakuu. Niliwahi kuomba ushauri hapa kuwa nimehangaika sana kutafuta mtoto wa kiume bila mafanikio. Nashukuru sana kwamba nimefanikiwa baada ya kufuata ushauri wenu hasa ule wa kalenda ya kichina. Nafuraha sana kwani nilikuwa na watoto 6 wa kike na wingi huo ulitokana na jitihada za kutafuta mtoto wa kiume. Asanteni sana.