Mimi nimfanya biasha nilikuwa nataka kufungua duka kibaha,ila nilipewa tahadhari kabila linaitwa wagweno,ndio wafanya biashara wengi,wanaogopeka sana kuwa wachawi, utafiti niliofanya kweli wanaogopwa je tutafika
mhh mpaka leo kuna watu wana haya maimani,huoni aibu hata kuutaja tu nini kuonyesha unauaminikama na wewe ni mshirikina unapaswa kuogopa
Haiwezekani ku-hack? kwi kwi kwi..Ni kweli! kuanzia pale mailimmoja, mpaka mkoani. mwanalugali, tumbi ma pich ya ndege jamaa wamefunga! pale wala hapataendelea kamwe! ndio nyumbani!!
Haiwezekani ku-hack? kwi kwi kwi..