Ushirikina kibaha

Kamongo

JF-Expert Member
Mar 20, 2009
1,947
2,054
Mimi nimfanya biasha nilikuwa nataka kufungua duka kibaha,ila nilipewa tahadhari kabila linaitwa wagweno,ndio wafanya biashara wengi,wanaogopeka sana kuwa wachawi, utafiti niliofanya kweli wanaogopwa je tutafika
 
ukifungua wanakufanya nini na je wangapi walishakumbwa na hayo majanga, na je wateja wao wanasemaje kuhusu hili je hawaogopi????????
 
Mimi nimfanya biasha nilikuwa nataka kufungua duka kibaha,ila nilipewa tahadhari kabila linaitwa wagweno,ndio wafanya biashara wengi,wanaogopeka sana kuwa wachawi, utafiti niliofanya kweli wanaogopwa je tutafika

cheki nao km vp wakupatie ndumba ili uwe nao levo moja!
 
Hahahaha,third world kazi kweli kweli. Leta huo mtaji tusherehekee krismasi,achana na wagweno hao na biashara zao njaa
 
Tatizo ni imani yako katika uchawi. Kwa imani hiyo achana na biashara hutaiweza.
 
Imani ndio tatizo, usiamini mambo hayo na utafanya biashara yako bila mzizi wala ndumba yoyote, jitihada zako katika biashara ndio mafanikio yako
 
Mimi siamini uchawi ila kila unaye muuliza anakuambia huwezi kufanya biashara maili moja kama sio mgweno,ukiuliza sababu unaambiwa wachawi sana,kwa hali hii maendeleo yatakuja kweli ndio maana kibaha iko nyuma
 
Kama huamini niliyoandika hapa naombeni mfanye utafiti hizi bado zipo,kuna hoteli inajengwa kwa sasa imesimama ujenzi watu wanasema wagweno wameloga isindelee,kuna mgweno mwenzao ana hoteli atakosa soko,
 
Ni kweli! kuanzia pale mailimmoja, mpaka mkoani. mwanalugali, tumbi ma pich ya ndege jamaa wamefunga! pale wala hapataendelea kamwe! ndio nyumbani!!
 
Dawa yao tuwapeleke wachina wafungue maduka,nasikia hawalogeki
 
Hilo kabila,wagweno linaamini sana uchawi kuna mmoja miaka 2 iliyopita alikutwa na fuvu la binadamu nyumbani kwake
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom