Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

Redio Clouds inaongozwa kwa mtindo ambao haukubaliki kwa taaluma yoyote ile achilia mbali taaluma ya habari na utangazaji. Watangazaji wake kwa undani kabisa wanaonekana brainwash. Hebu sikiliza vipindi kama power breakfast, hekaheka mtaani na jahazi, utawajua watangazaji wale wakoje. Kwa hiyo haishangazi leo walipokuwa wanatoa kejeli kabala mahakama ya rufaa haijatoa hukumu ya kesi ya Lema.Haishangazi huenda walikuwa wanawaandaa wananchi kisaikolojia wakiamini kwamba mahakama ya rufaa kwa vyoyote vile ingetoa hukumu ya hovyo kama ile iliyotolewa na mahakama kuu kanda ya Arusha kwa manufaa ya chama tawala. Bahati nzuri imekuwa kinyume, shame to radio Clouds. Clouds na perpets wengine watambue kwamba si majaji wote ni makada wa chinichini wa CCM. Karibu sana Arusha comrade Lema, watanzania tuliopo Arusha tunakusubiri, natumaini mapokezi yako yatakuwa makubwa mno, nayo hayatakuwa na magari wala pikipiki za kukodi kama ilivotokea kwa mapokezi ya mmoja wa mawaziri wakuu aliyewahi kujiuzulu nchi hii. Kwako naamini watu watajitolea magari yao, pikipiki zao na watembea kwa miguu nao watakuwepo. Kwa pamoja kutakuwa na msururu wa halaiki toka KIA hadi Arusha mjini. Yote hii ni kuonesha ulimwengu kwamba udhalimu haukubaliki na una mwisho.
 
Nilisikia Gerald Hando alichosema ni kwamba kivipi kesi hiyo inaweza kuwa ni ya kihistoria? Kwamba je, huyo ndo mbunge wa kwanza kuvuliwa ubunge? Kwamba watu wanawezaje kufunga safari kutoka Arusha kuja Dar kusikiliza kesi tu? Hakuna neno hata moja lilotaja CCM wala Chadema.

Tatizo lenu mlio wengi hamjipi muda wa kuchambua na kutafakari kuhusu hoja husika.

Kwanza Clouds siyo chama cha siasa na wala haifungamani na upande wowote. Hiki hakiwezi kuwa chombo cha kusifia hata upuuzi eti kwasababu umefanywa na cha pendwa, never. Tuache kukurupuka.
read between the lines kilaza wewe......
 
Huyu Gerald nilikuwa nikimheshimu ila wiki tatu zilizopita nilikutana naye Thai Villlage kalewa taabani amekaa anadondosha mate hata hajitambui.Nakumbuka kumwona mwenzake mmoja sijui ndo anaitwa Dina akimsadia kufunika hiyo aibu but wapii jamaa kajianika anamwaga mate tuu na kushika makalio ya wanaokuja kumsaidia.Tangu siki hiyo nilim-write off coz he preach asichoki-practice.To hell..

Usinikumbushe ya Kibonde na madaktari.
 
Sioni sababu ya kupambana na clouds fm wale ni wehu ukijibizana nao wew ndo unakua mwehu..eti mtangazaji anaitwa ncha kali, bii twangala, bii twiize jamani ni wehu clouds. Muungwana akivuliwa nguo huchutama
 
Gerald Hando anaongea sana.Busara hakuna pale achilia mbali hekima.
 
Leo asubuhi kwenye kipindi cha Power breakfast watangazaji wa Clouds FM wameongea mengi ya kumbeza Lema na kesi yake. Sijui sasa hivi wanajisikiaje baada ya hukumu kusoma.

Ombi langu kwa vyombo vya habari:
Msioneshe waziwazi kwamba mnaegemea upande fulani wa chama cha kisiasa kwani vyombo vyenu hivyo ni vya kibiashara. Jamii ikigundua kuwa mna mlengo flani itawasusa.

Mwana JF aliyesikiliza kipindi hicho anaweza akaongeza yale yalokuwa yakiongelewa..

lile zengwe nililisikia tena walipokua wanaperud na kudadis baada ya kulishika gazeti la TANZANIA DAIMA AMBALO LILISEMA 'HUKUMU YA KIHISTORIA' wakaenda mbali kwa kusema wanapoteza wino
 
Ninyi bado mnawasigilizaga wapayukaji? watu wengine unajua wanakula kwa midomo yao, wanaongea ovyo ovyo, na mdomo huo huo wanalia chakula:majani7:
 
Vyombo vya habari kama hivyo na waandishi wake sivitiofautishi na vyombo vya habari vilivyohusika kusaidia mauaji ya kimbari huko Rwanda. Watanganzaji kama hoa TISS iwatupie jicho kali kama haiwezi, nguvu ya umma ichukue hatamu.
Are u out of ur mind!? ina maana mpaka leo hujui kwamba TISS ni tawi la CCM!?

By the way tunaye msemaji rasmi wa Clouds Media Group humu JF Nyani Ngabu natumaini ataleta ufafanuzi na muelewe sera za kampuni yao zinasemaje.

Ila kwa uchache mtangazaji wa Clouds ni ruksa kuongea kwanza halafu ndio afikiri.

Watangazaji wenye weledi kama Masoud Kipanya hawahitajiki pale Clouds.

Watu waliodhurika na ARV feki kama Kibonde wana uhakika wa ajila ya maisha mpaka watakapochoka wenyewe.
 
Last edited by a moderator:
hawa wahurumieni bure hawana taaluma yoyote. hawana kitega uchumi kingine halali zaidi ya kupiga domo. pili they are form four zero holders.
 
kila kampuni,chama,kikundi etc huwa kina malengo yake ya kuanzishwa na ukiajiriwa lazima ukubaliane na malengo hayo...kwa mfano Global Publishers - wao ni udaku tu kwenda mbele -ndiyo malengo yao ,Radio Imani,Tumaini,etc lengo lao kuikutangaza dini, Clouds nao ndio watakuwa wanatimiza malengo waliojiwekea hata mkisema vipi....kwa hiyo wewe kama mtumiaji(consumer) pima na chagua, huwezi kuwapeleka nje ya malengo yao!
 
Hivi bado kuna Watanzania MAKINI wanasikiliza WA-HUNI HUNI wa Cloud FM?! Poleni Watanzania kwa kupenda LIGHT TOUCH NEWS.

Cloud FM ni kijiwe cha kahawa na kashata!
 
Nawashangaa sana hawo waandishi hawajui maana ya kazi zao ila nimegundua kitu hawawwezi ingia kuanza kipindi bila kupata msuba bangi
 
Leo asubuhi kwenye kipindi cha Power breakfast watangazaji wa Clouds FM wameongea mengi ya kumbeza Lema na kesi yake. Sijui sasa hivi wanajisikiaje baada ya hukumu kusoma.

Ombi langu kwa vyombo vya habari:
Msioneshe waziwazi kwamba mnaegemea upande fulani wa chama cha kisiasa kwani vyombo vyenu hivyo ni vya kibiashara. Jamii ikigundua kuwa mna mlengo flani itawasusa.

Mwana JF aliyesikiliza kipindi hicho anaweza akaongeza yale yalokuwa yakiongelewa..

Wanajikomba wanataka UDC hao? Si unaona jopo la MADC waliopita??? Kuna waandishi na watangazaji fika wanafanya kazi zao kwa kujikomba!!! Hasa hawa wa radio/tv na magazeti uchwara!!
 
Back
Top Bottom