Bitabo
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 1,900
- 690
Tokea hii redio imekuwepo haijawahi kusifia CDM hata siku moja. Wale gamba origino
Wana kipindi chao huwa kinaitwa ala za roho. hiki kazi yake ni kumsifia Zitto Kabwe tu. Mnyika walimjaribu akawatolea mbavuni