Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

Clouds FM wameniboa sana leo asubuhi.Bahati yao kesho ni jumamosi na hawana kipindi chao cha power breakfast, yaani wasingeongea kabisa kuhusu kesi ya lema na kujifanya hawajui kinachoendelea.Nafikiri credibility yao itaanza kupotea kabisa.Aibu sana imuendee Grald Hando wa Clouds FM Power Breakfast.
 
Ni baada ya Sugu kuwa mbunge CDM. So bifu bado linaendelea ndio mjue wanaume wenzenu walivyo.
 
wazee wa kujipendekeza ili kupata mlo wa siku.vijana wa kitanzania kaaazi kwelilweli!!!!!
 
nimekuwa mshabiki kwa sehemu wa kusikiliza redio ya clouds FM asubuhi nikiwa kwenye foleni.Lakini leo nilijuta niliposikia maneno ya kejeli na dhihaka dhidi ya gazeti la Tanzania Daima lililoongea kuwa "hukumu ya Lema ni ya kihistoria".Hata kama asingeshinda mimi ningeona ni ya kihistoria kwa CDM tungekuwa tumenyang'anywa jimbo na Ikulu.Hii ilishatamkwa wazi na Lema na Ikulu haijapinga kwa lolote.Sasa Gerald akajifanya hakuna chochote kipya katika kesi hii na anashangaa gazeti na wananchi wa Arusha na wanachama wa CDM kushabikia kesi hii.SASA M4C TUMESHINDA.GERALD UNASEMAJE PAMOJA NA PJ WAKO?.Nyinyi ni vijana wenzetu,mbona tunakulana wenyewe?
 
mkuu achana nao wale. ni maubwabwa yale. toka lini kijana mwelewa akashabikia ccm? hata mwanangu wa darasa la tatu anajua kuwa watoto hawana madawati shuleni sababu ni ccm.
 
kwani hamuwajui CHADEMA wa mjini?huyo hando mbona kiropo sana 2 kama kinaniii.j3 aseme tena.
 
Bora ata aongee PJ tumemwona juzi Kagraduate, Hando anapoongelea ueledi ktk tasnia ya habari!! sina hakika na CV yake ila kwa alivyokiongea nina shaka sanasana ana ka-diploma
 
Tatizo la pro CDM wanahisi kila mtu,taasisi,asasi zisizo ya serkali,taasisi za dini,vyombo vya ulinzi na usalama,vyombo vya habari na makampuni zinasupport utapeliwa wao wa siasa.Hivi nyie kawadanganya nani? ikiwa wenyewe kwa wenyewe mnatofautiana mnategemea kuungwa mkono kwa kila jambo na wasio na imani na chama chenu kichovu?
 
Ni wachambuz wazur wa habar na mambo mengine ya Serikali, lakin leo wamechemka sana.
 
Watangazaji wa clouds si wahun nyie hamjui.Wanapenda mambo ya udaku na siasa wap na wap?
 
wachambuliwa sana tangu asubuhiiiiiiiii, wapite JF wapate ujumbe wao
 
Back
Top Bottom