Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

hao Clouds ni njaa ndio inawapeleka hovyoooo,nao wana akili za zamaki kama mzee fulani alivyosema katika mikutano fulani, miaka ya nyuma mzee Malechela aliwasaidia sana mpaka hichio ki-radio kikapata leseni, maana kuna wakuda waliwakalia njiani ikawa kazi kupa hiyo leseni, lakini wakati wa kampeni za uraisi-2005, wakawa upande wa JK

mwenye cloudz si ni ccm damu na wafanyakazi wake nao wanafuata mkumbo kulinda kibarua
 
Unajua weakness ya Chombo cha habari kama Clouds ni kwamba wanaokota Ma-DJ wenye umaarufu wa kijinga jinga na Washereheshaji wa Kitchen parties na kuwageuza waandishi. Hivyo ni u kanjanja kwenda mbele. Wengi shule hakuna pale wala hakuna mwenye mafunzo ya Ki taaluma kutoka kwenye chuo vinavyoeleweka. Na matokeo yake ni rahisi kutambua matundu ya udhaifu wao pale inapotekea mijadala unakuta hata uwezo wao wa kuchambua mambo unakuwa very limited na wamekuwa wakipwaya kwa kiasi kikubwa.

Mi huwa hata siwasilizagi kwa kweli vihiyo hawa wa Cloud. Wamejaa misifa ya kimjini mjini na ushakumpe.

Wanahitaji kubadilisha mtazamo na ku reshape chombo hiki kama wanataka watu makini wawachukulie serious kwa kweli.

Kuna Mmmoja aliwai kwenda kumuhoji Barozi wa Marekan few yrs back, yan aliandka maswal yake kwny Karatas thn ayana ata flow koz akijibiwa anasoma lingne, wakati ajui kwmb jibu la swali ndo linaanzsha questionable issue nyngne.anyways kuna umuhimu wa kuwapa mtu kama Larry King au Tido Mhando awapige msasa ata siku moja, sina tatizo nao ila hawajui wanachofanya
 
I strongly support your thoughts. Hawatumii akili zao binafshi katika uchambuzi wao hata kidogo! Hawa watu wa PB kwani hawawezi tafuta kazi nyingine maanake wanadhalilisha hii taaluma.
Hao ni wachambuzi wa magazeti,sio wachambuzi wa habari

litakaloandikwa la kipropaganda wanatiririka nalo,hawajitegemei kiakili,kiuelewa
 
Clouds wote magamba tu full kujikweza , sorry mwaka huu hawajamwandalia Ndugu JK birthday???? mi nasikiliza tu SPORT EXTRA
 
There are currently 405 users browsing this thread. (218 members and 187 guests)

Lazima wapo hapa hao Guest wanawafuatilia naamini mtajirekebisha
 
Nimewasikia sana hasa yule Gerald Hando amekandia sana habari iliyoandikwa Tz daima, hukumu ya kihistoria kusomwa leo,nataka na kesho niwasikie watasemaje.aibu yao magamba hao
Ukishaguandua bidhaa uliyotumia ni feki unaiacha mara moja. Ukiwasikiliza tena kesho hujawakomoa, bali umewaongezea soko. Namna bora kabisa ya kupambana na vitu kama hivi ni kuwasusia kabisa. Wakikosa wasikilizaji wajirekebisha au watafunga kituo.
 
Huyu Gerald nilikuwa nikimheshimu ila wiki tatu zilizopita nilikutana naye Thai Villlage kalewa taabani amekaa anadondosha mate hata hajitambui.Nakumbuka kumwona mwenzake mmoja sijui ndo anaitwa Dina akimsadia kufunika hiyo aibu but wapii jamaa kajianika anamwaga mate tuu na kushika makalio ya wanaokuja kumsaidia.Tangu siki hiyo nilim-write off coz he preach asichoki-practice.To hell..
 
Leo asubuhi kwenye kipindi cha Power breakfast watangazaji wa Clouds FM wameongea mengi ya kumbeza Lema na kesi yake. Sijui sasa hivi wanajisikiaje baada ya hukumu kusoma.

Ombi langu kwa vyombo vya habari:
Msioneshe waziwazi kwamba mnaegemea upande fulani wa chama cha kisiasa kwani vyombo vyenu hivyo ni vya kibiashara. Jamii ikigundua kuwa mna mlengo flani itawasusa.

Mwana JF aliyesikiliza kipindi hicho anaweza akaongeza yale yalokuwa yakiongelewa..

hao watangazaji wa clouds FM shule yenyewe ni ya kuungaunga ....hawajui lolote so it is wastage of time kuwasikiliza mautumbo yao
 
Tujaribu kidogo kufikiria nje ya box,kuna siku clouds wanakandia ccm,na kuna sk chadema pia.Kwa leo sijaona kosa lao.Hando alikua tu anajaribu kupinga upotoshaji au ukuzaji habari usio na msingi.Saa nyengine magazeti yanakuza mambo bila msingi.That ws the point...mbona walimkomaliaga waziri maige wa ccm hadi akaondoka.
Ukiona Clouds fm wamekandia kitu juu maslahi yao hayakupewa nafasi,kuna kale kampuni kao ka kupiga fedha nyingi katika deal za matangazo na uhamisishaji,inawezekana waliuza wazo kwa Maige la kupiga pesa akawatolea nje na visa vikaanzia happo wakaona nafasi imepatikana ya kummaliza,Clouds ni mkono wa pili wa mafisadi ndani ya CCM.
 
Hivi na nyie mnao poteza muda wenu kusikiliza hii redio ya wafu mna akili timamu kweli...
 
Back
Top Bottom