Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

Kama mtu ataamua kufanya analysis kuhusu nafasi ya clouds katika JamiiForums, lazima ata conclude kuwa inapendwa na kusikilizwa na members wengi walio na uwezo wa kukamata frequencies zao.
Maana chochote ambacho mtu ata come up nacho kuhusu clouds fm, utasikia "wapuuzi wale hata mimi nimewasikikia" wengine "mimi mwenyewe walipoanza tu ujinga wao nikaamua kubadili, station, sijui watu wanaipendea nini ile radio ya kijinga"....hapa nina wa exclude wale wanaosikiliza kimoyo moyo kupitia public transpots.
The bottom line is "Lips don't always say whats so...".
 
Clous FM? ha! hao ni wazushi tu, kazi yao kusiliza umbea na kuurusha hewani
and I dont think if they are professional na kama wanvyeti basi wamenunua hao.

Clous FM woooooooh,
jirekebisheni.
 
Jina lenyewe "Clauds", tangu lini ukaona mawingu yametulia??? Hata sasa inua macho yako tazama juu, uone mawingu hayatulii, na sifa yake wakati mwingi utaona yakizuia mwanga! Kwa hiyo eleweni kwamba Clauds nayo inapepea kupotea kadri CCM inavyopepea kuondoka.

Ni kituo cha magamba! Wala haishangazi wao kuongea hayo waliyoongea!
 
Si wote tunaisikiliza wengine tunasikia upuuzi wao kutoka kwa watu kwa hiyo msione tunamimina hivi kama mvua kuwatukana mkadhani uwa tunawasikiliza LA HASHA mtu mzima akijinyea sokoni kariakoo ata sisi wa KISARAWE habari zitatufikia.

hahahaha we mkaree
 
hapa nadhani mnawachafua clauds bure,tafadhali mfanye tena utafiti wa kina kujua mnachokisema kama ni sawa

Utafiti upi tena zaidi ya vinywa vyao ? Kwamba walipokuwa wanaropoka walikunywa viroba ? Au utafiti gani ?
 
Clouds ni wapuuzi kweli hata xxl kuna mdada wao mjinga anaitwa nani si akatangaza kuwa Lema ameshindwa! Wakaanza kurekebishana. Aibu yao!
 
Bravoo Ndg. Lema!

Ndugu zangu msiumize vichwa na mda kwa kuwajadili wawakilisha maandishi yalioandikwa kwa kuwa hawana taakuma na kazi waliopewa kuifanya lazima utegemee hayo yaliyotokea na yatakayondelea kutokea mpka siku wikiwa na taaluma hiyo ndo watajua miiko ya kazi yao.
Kwa ufupi siyo tu wanashabikia mambo ya siasa lahasha!we tafuta namba ya simu ya muwakilisha mada wa kipindi chochote mtwangie muahidi lajhaa(pesa) uone atakavyokurusha,so inawezekana wajinga wa kisiasa leo ndo walitoa dau kubwa ili hawa wachumia tumbo wajidhalilishe redion na mmeona matokeo yake.

Mungu ibariki Tz,AR,Lema na vingozi wote watetea haki!
:becky:
 
yaani wewe unapoteza muda wako kujadili kuhusu clouds fm kweli una muda wa kupoteza. mimi siwezi kabisa.
 
Mimi naisikiliza sana clouds fm lakini ninapokuwa nahitaji vichekesho na habari za masihara masihara, wala siwachukulii maanani sana na habari zao labda miziki.

Kuanza kuwafikiria akina Hando, PJ, Babra au Kibonde na kuwapa credit ya uelevu wa masuala ni kuwapandisha bure, hawana weledi wala uwezo huo. Wao ni mbulula tu unawasikiliza na kuyaacha hapo hapo.
 
Leo asubuhi kwenye kipindi cha Power breakfast watangazaji wa Clouds FM wameongea mengi ya kumbeza Lema na kesi yake. Sijui sasa hivi wanajisikiaje baada ya hukumu kusoma.

Ombi langu kwa vyombo vya habari:
Msioneshe waziwazi kwamba mnaegemea upande fulani wa chama cha kisiasa kwani vyombo vyenu hivyo ni vya kibiashara. Jamii ikigundua kuwa mna mlengo flani itawasusa.

Mwana JF aliyesikiliza kipindi hicho anaweza akaongeza yale yalokuwa yakiongelewa..

Ndugu hakuna tofauti ya CLOUD FM na TBCCM wote lao moja ,fuatilia uone ndio kituo pekee cha redio kimebebana na tbccm kwenye frequency za setelite. Wote ni mawakala wa ccm
 
Vyombo vya habari kama hivyo na waandishi wake sivitiofautishi na vyombo vya habari vilivyohusika kusaidia mauaji ya kimbari huko Rwanda. Watanganzaji kama hoa TISS iwatupie jicho kali kama haiwezi, nguvu ya ichukue hatamu.
 
iki chombo cha habari ipo siku watahusishwa na ICC kwa uchochezi...hope iyo siku haiji lakini
 
Vyombo vya habari kama hivyo na waandishi wake sivitiofautishi na vyombo vya habari vilivyohusika kusaidia mauaji ya kimbari huko Rwanda. Watanganzaji kama hoa TISS iwatupie jicho kali kama haiwezi, nguvu ya umma ichukue hatamu.
 
Mbona wakiisifia CHADEMA hamsemi?

Sidhani hata kama wakiisifia CHADEMA inahalalisha kuwa wakifanyacho ni sawa.SI SAWA. Kuna maadili ya mwanahabari. Tatizo baadhi ya waandishi, watangazaji huwa wanaongea kana kwamba "maoni yao ni maoni ya watanzania"..wanaenda mbali zaidi kuonyesha/kusisitiza aliyekinyume na kile wanachokiamini (wao) hayuko sahihi!

Kwa mtu yeyote makini akiona jambo hili hasa likijirudia rudia kwa baadhi ya wanahabari, hutaka kujua undani wa mwanahabari..mf. elimu, uzoefu wa kazi na hata credibility ya kazi yake.
 
iki chombo cha habari ipo siku watahusishwa na icc kwa uchochezi...hope iyo siku haiji lakini
Mungu hatuepushe na mabaya kwa sababu ya upuuzi wa wachache!
 
Back
Top Bottom