Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

PB ilikuwa wakati ule wa Masoud "Kipanya" na Fina Mango tu, baada ya kuondoka hao, wakaja hawa wapuuzi wasiojitegemea kufikiri, shame on u Clouds.
 
Kwenye Jf nilisoma kuwa Bosi wao Rg ndo alikuwa pia anawasapoti wadiwani waasi wa CDM.

So Bosi wao RG ni mtu wa Mwembeeeee
 
Nashangaa sana PJ na degree yake anafanya kazi ya kusoma magazeti ambayo hata mtangazaji mwenye elimu ya kidato cha nne anaweza kuifanya. Kweli hili tatizo la ajira kwa vijana limeishika nchi pabaya sana[/QUOTE]

Sina uhakikaa na hiyo degree yake may be ya mezani,asingekubali azalilishe taaluma yake (kama anayo) kwa kusoma magazeti clouds!shame shame.
 
Clouds ni ya wana mtandao. Woote wale ni agents wa ufisadi. Wanalisha watu Views badala ya News.
 
Kibonde hata jina lake linasadifu ukibonde na ndo mana yuko kwenye redio ya vilaza. Hana lolote huyo sifa za uandishi hana mnafiki mkubwa yeye na wenzake. Clouds redio ya makanjanja
 
Sasa inaelekea dhahiri kuwa Clouds fm walipoegemea siyo sehemu salama,kwani baada ya Watangazaji uchwara Gerald Hando na PJ(Paul Sweya) kupitia kipindi chao cha alfajiri cha Power breakfast,kumnanga Mbunge wa Arusha mjini ndugu Godbless Lema, Sasa Euphraim kibonde kupitia kipindi cha jahazi,anampa pongezi kiaina ndugu Lema kwa ushindi alioupata katika rufaa yake hivi leo.Angalizo:watangazaji acheni kujifanya wanasiasa pasipo kufanya upembuzi yakinifu,jitahidini kuwa neutral partisans,ushabiki wa siasa utawaharibia kazi yenu.Over.......
 
Ukiona vipindi vinaendeshwa na MC badala ya watangazaji wenye taaluma zao ujue udaku na kujipendekeza kwa wakubwa lazima ku overshadow kila kitu. Wangekuwa akina Mabonde ni wananawake wangeshapewa viti maaalum ila basi ana bahati mbaya hakuna viti maalum vya wanaume

Mkuu umemaliza kazi!
 
Leo asubuhi kwenye kipindi cha Power breakfast watangazaji wa Clouds FM wameongea mengi ya kumbeza Lema na kesi yake. Sijui sasa hivi wanajisikiaje baada ya hukumu kusoma. Ombi langu kwa vyombo vya habari: Msioneshe waziwazi kwamba mnaegemea upande fulani wa chama cha kisiasa kwani vyombo vyenu hivyo ni vya kibiashara. Jamii ikigundua kuwa mna mlengo flani itawasusa. Mwana JF aliyesikiliza kipindi hicho anaweza akaongeza yale yalokuwa yakiongelewa..
Nimesikiliza huo upumbavu walokuwa wanauongea asubuhi
 
Watoto wa watu wale wananunuliwa mwanzo mwisho wako upande wa kuvuruga chadema pamoja...wanayoyaongea pale wanajua hayana mashiko ila inawabidi maana bila hivyo opt b yao ni ku....zaidi hapa mjini bora washikize marinda yaliyowabakia yasifumuke yote ....so me nafikiri tuwasamehe waendelee kutupigia miziki.....
 
By the way tunaye msemaji rasmi wa Clouds Media Group humu JF Nyani Ngabu natumaini ataleta ufafanuzi na muelewe sera za kampuni yao zinasemaje.

.
msemaji mwenyew choka mbaya.....sema klauzi wananikera isku hizi....redio nzima hakuna shori mkali.....
 
Kipindi cha jahazi nilikipenda sana lakini walipoanza kuonyesha unanga wao kwa chama tawala hasa wanapozungumzia siasa hamu ya kuwasilikiza iliisha kabisa. Nilitegemea mwanahabari mkongwe kama Kibonde kuwa neutral lakini alinishangaza katika mdahalo wa Kikwete wakati wa kugombea uraisi alianza kumsifia kuwa tayari yeye ni Raisi na hakuna mpinzani kabla hata ya uchaguzi. nilitegemea hayo yazungumzwe na kada wa chama asiye mwanahabari
 
Ukiambiwa mshahara wao hawa watangazaji utawaonea huruma....yaani mshahara wao ni wakijinga kijinga tu, watangazaji wenyewe wakijinga kijinga tu, mmiriki wao mwenyewe mjinga mjinga tu....hata audience wake wajinga wajinga tu.....na wote mtakao nipinga kwasababu ya kuongea ukweli ninyi pia ni wajinga wajinga tu!
 
Nashangaa sana PJ na degree yake anafanya kazi ya kusoma magazeti ambayo hata mtangazaji mwenye elimu ya kidato cha nne anaweza kuifanya. Kweli hili tatizo la ajira kwa vijana limeishika nchi pabaya sana

Sina uhakikaa na hiyo degree yake may be ya mezani,asingekubali azalilishe taaluma yake (kama anayo) kwa kusoma magazeti clouds!shame shame.[/QUOTE]
haa haaa..mkuu hizo ni kati ya ajira milioni moja alizoahidi rais wetu JK.
 
kipindi cha jahazi na kibonde wake,hawajasoma habari za kamanda lema,madai yao ni ya kawaida.wanazidi kijitia aibu
 
Back
Top Bottom