BABA SANIAH
JF-Expert Member
- Oct 20, 2013
- 4,496
- 5,693
Pascal,
Mkapa,mwinyi na kikwete hakuna walichofanya?
Ndugu ukabila umekuzidi.
Mkapa,mwinyi na kikwete hakuna walichofanya?
Ndugu ukabila umekuzidi.
Mkuu Jingalao, naunga mkono hoja, Watanzania wanachohitaji ni maendeleo na sio siasa, rais Magufuli kupitia ilani ya uchaguzi ya CCM, ameleta maendeleo ya kweli ya vitu na yanaonekana, hivyo huu ni mtaji tosha wa ushindi kwa CCM, ndio maana nimeshauri, hakuja haja ya kuogopa lolote wala chochote, wawaruhusu wote kuingia dimbani ili ushindi wa kishindo wa CCM upatikane kupitia ushindani wa haki kwa uchaguzi huru na wa haki ndani ya uwanja sawa wa siasa.Nchi inahitaji maendeleo ya watu ...tumejichelewesha sana kusaka kiki za demokrasia kwani ndio upuuz waliotaka tuufikirie.
Mkuu Teja, usilete mambo ya mateja humu ila ruksa kunidhania mimi ni CCM, kwa sababu nikiamua kujiunga na chama, Tanzania hatuna any options tuna chama kimoja tuu, CCM.Tushakujua kuwa wewe ni ccm maana kipindi majina yamekatwa hukuongea chochote sasa umesikia tamko la jafo unajifanya kushauri
Nami sitaki kubishana na weye Paskali kwa sababu nakujua kuwa weye ni GT. Ila umesahau kuwa rafu zilianzia tangu kuchukua fomu. Wapinzani walifika wakakuta milango imefungwa na wenye fomu hawakurudi hadi machweo. Hivi, utamwambia mkulima aende ofisi ya mtendaji akashinde pale siku 3 haoni mlango ukifunguliwa?? Ndio hivyo ukaambiwa, wengine wamepita bila hata kupingwa 54% ya wagombea.Sitaki kuingia ndani kwenye technicalities zilizopelekea wagombea wa upinzani kuenguliwa, bali natoa wito kwa rais Magufuli aingilie kati hali hii au yeye mwenyewe kama rais wa JMT, au kupitia kwa Waziri Jaffo wa Tamisemi, ayafute makosa yote ya wagombea wote wa vyama vyote walioenguliwa kwa sababu zozote, ziwe ni za kweli za halali au ni figisu, watoe amnesty kila aliyegombea apitishwe tuu hivyo hivyo despite all the odds ili Tanzania tuingie kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu Mwakani kwa Ushindani wa haki, uwazi na Usawa kwa vyama vyote kutendewa haki sawa, hivyo waliosusa wote warudi.
Mkuu Pascal wazo lako ni zuri naomba nitangulize shukrani Kwa kuwa mzalendo na nchi yetu , Sema kurudisha tiny uwanjani si sahihi Kwa sasa kila kitu kinatokea Kwa sababu, na hizi figisu zilitokea Kwa sababu maalumu na mapenzi ya mungu Kwa Taifa letu la Tanzania. Kwa hiyo nachokuomba Rudi tena Kwa mkuu WA nchi, Raisi wetu mpendwa umuombe Kwa niaba ya watanzania wote wapenda Haki na usawa,kuwa imefika wakati WA kupata #TUMEHURUYAUCHAGUZI ndipo timu zirudi uwanjani kwenye mechi narudia mwambie watanzania wanaomba uchaguzi huu WA 24 November 2019 ufutwe uanze mchakato mpya WA #Tumehuruyauchaguzi. Asante ni Mimi mpendwa Haki mwenzioHabari njema zimeanza, Waziri katangaza wagombea wote walioenguliwa kwa kujaza fomu vibaya warudishwe.
Huu sio mwanzo mbaya, sasa tunawasubiri Mbowe na Zitto kutangaza kuruhusu timu zao kuingia dimbani.
P
Sio tu apimwe afya ya akili bali kuwe na kiwango maalumu cha IQ inayofaa at that time for presidential post......
Niliwahi kuandika huko nyuma, naomba niandike tena hapa, wagombea Urais wa Nchi wawe seriously wanapimwa AFYA ya akili kabla ya kupitishwa na NEC. Nchi inaweza kuongozwa hihivi na KICHAA.
Uzalendo halisi na wa ni kuzungumza kwa kutumia lugha yetu adhimu ya Kiswahili.Pascal Mayalla , huyo nduguyo si umweleze kwa Kisukuma ndio atakuelewa, hii lugha adhimu kwake naona siyo rafiki sana, anaiona nayo Ni ngumu kama ile lugha nyingine inayomfanya asishiriki mikutano ya kimataifa.
Mkuu Sweet tablet hili ni swali la msingi sana na tunanalisubiria.Kama wana vigezo vyote majina yao yatabandikwa. Ni utaratibu na kanuni za uchaguzi. Wao hawafuati porojo za vyama kujitoa ingawaje wenye majina yatakayobandikwa wana hiari ya kufanya kampeni au la. Kimbembe kitakuwa endapo watashinda, Chadema itawatambua? Itawafukuza? Tunasubiria!
Huyu bwana ni mzuri wa kutengeneza tatizo na kulitatua ili apate umaarufu zaidi. Sitashangaa nikisika Dr Abasi akisema “Mheshimiwa rais Dk John Pombe Magufuli amewasamehe wote waliojaza fomu kimakosa”.
Kwa kutumia kanuni zipi, wakiwa kama Nani? Wagombea binafsi au? Kwa kuwa mdhamini ameshajitoa au ndo muendelezo wa uvunjwaji wa kanuni na Sheria za nchi? Hapo hamna uhalali wa uchaguzi labda watangazwe CCM wameshinda asililmia Mia tutawaelewa inshort waendelee na uchaguzi huku dunia ikiwa inashuhudia otherwise ni,. #tumehuruyauchaguziMkuu Sweet tablet hili ni swali la msingi sana na tunanalisubiria.
P
Mambo yalikuwa wazi mno kule tunakopeleka bakuli. Jafo ametumwa kufunika kombe mwanaharamu apiteAnaweza vilevile kumfukuza Jafo kwa kukiuka taratibu
Hii nchi ni ya watanzania siku waliowajiri wakiitaji ajira zao kutoka kwa vikundi vyenu ndiyo ule msemo usemao cha mtu mavi ndiyo watatambua maana yake halisiMambo yalikuwa wazi mno kule tunakopeleka bakuli. Jafo ametumwa kufunika kombe mwanaharamu apite
Paschal ni nyoka.Tushakujua kuwa wewe ni ccm maana kipindi majina yamekatwa hukuongea chochote sasa umesikia tamko la jafo unajifanya kushauri
Not Mbatia, Kilimanjaro yote inarudi CCM, atakae rudi labda ZZK.Magufuli lengo lake nchi ilirudi kwenye utawala wa chama kimoja, na kwa mwaka 2020 Hakuna mbunge wa upinzani atakae rudi bungeni labda Mbatia sababu ni mtu wa syteam, mi naona tuache iwe ivyo kama anavyotaka muheshimiwa rais na praise team kina Mzee Mwanakijiji.
Labda tukirudi mfumo wa chama kimoja na fikra zinazolingana nchi yetu itakuwa kama ulaya kimaendeleo