Ushindi wa kishindo uliopata CCM kwenye uchaguzi mdogo ni ishara ya kukubalika Kwa Rais Samia. Upinzani ujipange kweli kushindana na CCM ya Samia

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
2,590
4,601
Kunapofuka Moshi moto unawaka na dalili ya mvua ni mawingu, wahenga walisema. Rais Samia anakubalika, anapendwa na anahitajika mno na watanzania na watanzania watafanya juu chini kumheshimisha. Nasema haya Sasa ili kukae tukijua kwenye akili zetu kwamba CCM ni jabali.

Tumeshuhudia ushindi wa kishindo uliopata CCM kwenye uchaguzi mdogo na hii ni wingu lenye dalili ya mvua ya ushindi uchanguzi ujao wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.

Huu ni ushauri Kwa wote wenye kuelewa na kusikia Kwa sababu wananchi wameamua kufanya kweli kwenye chaguzi zijazo, CCM itashinda Kwa kishindo, Rais Samia atavunja rekodi ya ushindi aliopata JPM 2020 ni vema upinzani ikapambana na Ubunge na udiwani na uchaguzi wa Serikali za mitaa ,Rais Samia aachwe awe mgombea pekee wa urais.
 
wana mambo matatu tu ya kuchagua:-🐒

1. wajipange kususa uchaguzi 🐒

2. wajipange kuzira aue kugomea matokeo ya uchaguzi 🐒

3. wajipange kupata fedheha na aibu mbaya sana, ya kushindwa vibaya mno na mwanamke shupavu, Rais comrade Dr SSH kiongozi wa waTanzania 🐒

hata hivyo,
vyote hivyo havitawasaidia chochote 🐒
 
Kunapofuka Moshi moto unawaka na dalili ya mvua ni mawingu, wahenga walisema. Rais Samia anakubalika, anapendwa na anahitajika mno na watanzania na watanzania watafanya juu chini kumheshimisha. Nasema haya Sasa ili kukae tukijua kwenye akili zetu kwamba CCM ni jabali.

Tumeshuhudia ushindi wa kishindo uliopata CCM kwenye uchaguzi mdogo na hii ni wingu lenye dalili ya mvua ya ushindi uchanguzi ujao wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.

Huu ni ushauri Kwa wote wenye kuelewa na kusikia Kwa sababu wananchi wameamua kufanya kweli kwenye chaguzi zijazo, CCM itashinda Kwa kishindo, Rais Samia atavunja rekodi ya ushindi aliopata JPM 2020 ni vema upinzani ikapambana na Ubunge na udiwani na uchaguzi wa Serikali za mitaa ,Rais Samia aachwe awe mgombea pekee wa urais.
Tanzania hakuna uchaguzi, bali Kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura. Ukitaka kujua watu wamelichoka hilo Chama la majizi, pitia uone jinsia uchaguzi huo ulivyokuwa na wapiga kura wachache. Kama hivi ndio kukubalika, basi wazungu huwa hawakosei kutuita manyani.
 
Uwe unaweka namba Yako yako for buku Saba purposes
 
Tanzania hakuna uchaguzi, bali Kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura. Ukitaka kujua watu wamelichoka hilo Chama la majizi, pitia uone jinsia uchaguzi huo ulivyokuwa na wapiga kura wachache. Kama hivi ndio kukubalika, basi wazungu huwa hawakosei kutuita manyani.
Yatasemwa yote yasiyo ya kweli hadharani lakini inawezekana sirini hata Mbowe uwa anakubali CCM ni jabali
 
Ni kweli, utaachaje kuwa jabali wakati mnategemea mbeleko ya vyombo vya Dola, wakati wenzenu wanatemea ilani tu?
 
Kunapofuka Moshi moto unawaka na dalili ya mvua ni mawingu, wahenga walisema. Rais Samia anakubalika, anapendwa na anahitajika mno na watanzania na watanzania watafanya juu chini kumheshimisha. Nasema haya Sasa ili kukae tukijua kwenye akili zetu kwamba CCM ni jabali.

Tumeshuhudia ushindi wa kishindo uliopata CCM kwenye uchaguzi mdogo na hii ni wingu lenye dalili ya mvua ya ushindi uchanguzi ujao wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.

Huu ni ushauri Kwa wote wenye kuelewa na kusikia Kwa sababu wananchi wameamua kufanya kweli kwenye chaguzi zijazo, CCM itashinda Kwa kishindo, Rais Samia atavunja rekodi ya ushindi aliopata JPM 2020 ni vema upinzani ikapambana na Ubunge na udiwani na uchaguzi wa Serikali za mitaa ,Rais Samia aachwe awe mgombea pekee wa urais.
Na yule januari makamba anaimba wimbo sawa na chadema eti 2020 ccm waliiba kura ili kumdhalilisha jpm mnasemaje? Sisi tunaojua ukweli tuliona watu walivyompenda jpm mwenyewe na chama chake kwa utendaji bora wakashinda kwa kishindo. Ushindi unaonyesha bado wananchi wana imani na ccm japo hawamuamini mama kutokana na kushindwa kudhibiti ufisadi.
 
Hii inaashiria idadi ya Wapiga kura chaguzi zijazo itapungua mno!
Watanzania wengi wameshakata tamaa!
 
Weka takwimu basi, upinzani walipata ngapi na ccm ilipata ngapi, waliojiandikisha wangapi na waliojitokeza ni wangapi.
 
Kunapofuka Moshi moto unawaka na dalili ya mvua ni mawingu, wahenga walisema. Rais Samia anakubalika, anapendwa na anahitajika mno na watanzania na watanzania watafanya juu chini kumheshimisha. Nasema haya Sasa ili kukae tukijua kwenye akili zetu kwamba CCM ni jabali.

Tumeshuhudia ushindi wa kishindo uliopata CCM kwenye uchaguzi mdogo na hii ni wingu lenye dalili ya mvua ya ushindi uchanguzi ujao wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.

Huu ni ushauri Kwa wote wenye kuelewa na kusikia Kwa sababu wananchi wameamua kufanya kweli kwenye chaguzi zijazo, CCM itashinda Kwa kishindo, Rais Samia atavunja rekodi ya ushindi aliopata JPM 2020 ni vema upinzani ikapambana na Ubunge na udiwani na uchaguzi wa Serikali za mitaa ,Rais Samia aachwe awe mgombea pekee wa urais.
UCHAWA tayari ni UGONJWA umeingia Nchini
Kwa kukamatwa na KURA FEKI hakika MAMA ANAKUBALIKA SANA
 
Msingeiba kura ungekuwa ushindi kweli lakini ule upumbavu uliofanyika kule Mtwara na Kigoma umeondoa ladha yote.
 
Back
Top Bottom