Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,148
- 137,142
Mhhhhh????!!!!!!!Even here???!!
Even there too....
Mhhhhh????!!!!!!!Even here???!!
Noamba utaandaa hicho kikao alafu tuitwe woote, nitatuma habari kwa wanafamilia wengine....
Even there too....
hehe mkuu ushafikiria mbaaaaali....kwani kugongewa ni sifa?? eeh makubwa
Aisee....!AD ...Nimeghairi..Najitoa kwenye familia..sizitaki hizi aibu mie ninalinda heshima yangu kwani ninamatarajio ya kuwa angalau Waziri Mkuu hapo baadae ikishindikana u-FL...Ugezeni wenyewe huko mirembe..uwe unanipa taarifa lakn ya maendeleo...
:eyebrows:Khaaaaa!
Haki ya mungu nakuombea mungu tu akupe maisha marefu Babu,
Maana tangu nijiunge JF sijawahi kupoteza network nikisoma post yako km hii!!
Hope kitakua kimesimama na ukafurahi lol!
:hatari:Kweli wewe si mzima naanza kuamini hivo....duuuu!Punguza kudumisha mila aaiseee..
:focus:Nilimwambia ndugu yake jana kua ODM is sick mkichwa nikaonekana maneno yangu ya walakini.....:shock:
:nerd:Nadhani kikao cha familia kinahitajika haraka iwezekanavyo....sio bure..
😛oaNoamba utaandaa hicho kikao alafu tuitwe woote, nitatuma habari kwa wanafamilia wengine....
:nono::A S embarassed::shock::wave::tape2:AD ...Nimeghairi..Najitoa kwenye familia..sizitaki hizi aibu mie ninalinda heshima yangu kwani ninamatarajio ya kuwa angalau Waziri Mkuu hapo baadae ikishindikana u-FL...Ugezeni wenyewe huko mirembe..uwe unanipa taarifa lakn ya maendeleo...
:A S-coffee::lol:duh! Wajukuu wako wana kazi nzito.
Umefanya vema, na dhambi zako zote zimefutwa!Mzee wa misifa...nimeona na mimi nikugongee like bana!!
Mi nikigongewa na RussianRoullete ndo huwa najisikia kama napaa.
RR popote ulipo njoo nigongee ka-Like hapa mtoto wa Kiume nisimamishe kikojoleo changu bana.
Nilitaka nigonge "Like" nimeahirisha...
Umri ushwenda huu mzee mwenzangu, acha tuchekecheke na wajukuu hawa ili tufe kifo chema muda ukifika.Hahahhahahahhaha
Kwa kitu kama hiki kutoka kwa mzee mwenzangu.....like unataka ya nini tena??
Mie mapengo yangu yoooote nje nje kama vile naona jua!!
Babu DC!!
Umri ushwenda huu mzee mwenzangu, acha tuchekecheke na wajukuu hawa ili tufe kifo chema muda ukifika.
K,
I quit for good.
usishangae dada. Ni mambo ya avatar syndrome hayo. hata yako inabamba
Vipi roho yakuumaje tena?.......Good morning shem.... Usharekebisha mambo kwa ZD? (roho inauma ujue...)
Vipi roho yakuumaje tena?.......
Dont take JF too serious (Source: Kaizer)
JF is never Boring (Source: The Boss)
Pamoja Saana (Source: ADI)
Ukikombaini hizo tatu, una-come this way (source?) basi siku zinasonga mbele, maisha yanakuwa rahisi.
This way belongs to me.... I'll come that way....Afu shem, huyu hommie umenionea? Jana nlimtoa kombe la mfalme. Nna wasi anaipenda Real Madrid kuliko anavyokupenda wewe..... Yani alikuwa ako sick kabisa asee...Speachless shem... Dah! Haya basi njoo this way....lol
This way belongs to me.... I'll come that way....Afu shem, huyu hommie umenionea? Jana nlimtoa kombe la mfalme. Nna wasi anaipenda Real Madrid kuliko anavyokupenda wewe..... Yani alikuwa ako sick kabisa asee...
Hahahaha............ na anavyojua kudeka, mbona unakoma? Afu unafikiri yuko mbali basi?Hapo najua sina ujanja kabisa....lol... The good thing akifungwa na akiumwa I know how to handle him fine mpaka anasahau this world....