Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,345 Jan 28, 2012 Thread starter #261 Viper said: hahaha mida flani nitaegesha kwa kina belo na mfarasiyo... manure utd leo lazima ashikwe pabaya .. Click to expand... usijali. Sema mimi niko busy na AFCON kwa sasa, si unajua tena, mambo ya uzalendo? Niko na chama langu Tunisia...
Viper said: hahaha mida flani nitaegesha kwa kina belo na mfarasiyo... manure utd leo lazima ashikwe pabaya .. Click to expand... usijali. Sema mimi niko busy na AFCON kwa sasa, si unajua tena, mambo ya uzalendo? Niko na chama langu Tunisia...
Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,345 Jan 28, 2012 Thread starter #262 Mwakalinga said: Kiongozi anatoa likes za kutosha ...Sio mchoyo wa fadhili .Hata mzee wa ban Paw anazitoa sana .Omba ukutwe na bwana Pepsi. Click to expand... wanadai thubutu kukutwa na BWANA PEPSI. Ila wewe mkuu ashakupa yake lakini?
Mwakalinga said: Kiongozi anatoa likes za kutosha ...Sio mchoyo wa fadhili .Hata mzee wa ban Paw anazitoa sana .Omba ukutwe na bwana Pepsi. Click to expand... wanadai thubutu kukutwa na BWANA PEPSI. Ila wewe mkuu ashakupa yake lakini?