TP Mazembe disqualified from African Champions League | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TP Mazembe disqualified from African Champions League

Discussion in 'Sports' started by Invisible, May 14, 2011.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  May 14, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  14 May, 2011

  Reigning African champions TP Mazembe of DR Congo have been disqualified from the Champions League.

  The Confederation of African Football (Caf) took action after a complaint from Tanzanian side Simba about the eligibility of Janvier Besala Bokungu.


  Mazembe beat Simba 6-3 on aggregate in the second round of the tournament.


  Simba will play Morocco's Wydad Casablanca, who lost to Mazembe in the third round, for a place in the group stages of the tournament.


  The one-off game will be played at a neutral venue next week.


  Mazembe have won the Champions League for the last two years and reached the final of the Club World Cup last season, losing 3-0 to Italians Inter Milan in the final.


  Bokungu, a 22-year-old Kinshasa-born defender, was transferred from Mazembe to Tunisian club Esperance in 2007 and rejoined the Congolese club this year.


  Reports say he then broke a contract with the Tunis team that runs until June this year, but a Mazembe official insisted the Bokungu transfer was legal.

  "Janvier properly revoked his contract with Esperance and Mazembe have no problem with the player or his former club. He was acquired after a mutual agreement," Mazembe general manager Frederic Kitengie told reporters.

  CHANZO: BBC Sport - Mazembe disqualified from African Champions League
   
 2. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #2
  May 14, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Sasa Simba mbona wameshauza wachezaji. Itakuwaje? Yaani africa kamwe vituko havitaisha. Na uzoefu wao wote bado wanavurunda? Hivi lini Waafrika tutaaminika? Au ni ule uwezo wa kujua tunafanya nini na kwa wakati gani na athari zake ni zipi? Hii ni somo na inawezekana pia ikawa ni mwanzo wa mwisho wa Mazembe. Halafu mechi next week, what if kama wanataka kuappeal. Na wakishinda appeal itakuwaje? hongera kwa Simba.
   
 3. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #3
  May 14, 2011
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Being Dar Young African die hard fan and constant follower and admirer of Tanzanian football this is bad news for a golden boy Mbwana Samatta nad Patrick OChan they are now going to play local league in DR Congo duh, no CAF CL League for them...
   
 4. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #4
  May 14, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Anfaal,

  Simba hapa ndo naona washachemsha. Sijui kama wataruhusiwa kusajili kukabiliana na hali hii, anahitajika tajiri mmoja mzalendo kuipa Simba nguvu ifanye maajabu, fursa hii ni ya kipekee kwetu.

  Kinachonisikitisha zaidi, kocha Phiri kishapisha, mpya hata timu hajaifahamu vema (kwa ninavyoona), timu zetu zinaendeshwa kisiasa sana!
   
 5. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #5
  May 14, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  It is also opportunity for others to be grabbed with the elite clubs of Africa. The issue here is no players who joined Mazembe but the eligibility of the players who fraudulently played for Mazembe. They did it in Africans way.
   
 6. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #6
  May 14, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Yaani timu kwa ujumla haipo kwenye mazoezi. Wapo kijiweni na wengine sasa hivi ndio watakuwa wanaitwa maana hawakuwa na comittment yoyote. Kina Mgosi ndio wale, uhusiano wao na Simba ulikuwa unachechemea. Hata upate tajiri hapa organisation ya wiki moja haitoshi. Hapa wangecomplain pia kwa damages maana huenda wangejipanga wakafika hatua ya makundi. Labda kama ile list ya usajili wa CAF ya mwaka wa nyuma bado inatumika huenda wakapiga magoti TP Mazembe kukopa wachezaji kama hela bado hawajagawana.
   
 7. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #7
  May 14, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,397
  Trophy Points: 280
  Mhhh jamani mbona africa mipira inachezewa mezani sana?na mshindi hupatikana kwa rufaa tangu nimekua na utambuzi ulaya sijawahi sikia matokeo yakibatilishwa.sana ni faini au kushushwa daraja!matokeo yanabaki ilivyo!sasa tusubiri bichwa la LA SIFA ZA RAGE
   
 8. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #8
  May 14, 2011
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Following a complaint filed by Simba Sports of Tanzania following match 68 of the Orange Champions League, the Confederation of African football launched an investigation on the eligibility of TP Mazembe's player named Janvier Besala Bokungu.

  The findings of the investigation were submitted to the Organising Committee for CAF Interclubs Competitions .

  Based on those findings, the Organising Committee decided to disqualify TP Mazembe on the basis of Chapter VIII (Fraud), article 24, article 26 (Qualification of players) and article 29 of Orange CAF Champions League regulations.

  The Organising Committee decided as well that the replacement will be made after a play-off match, to be played next week in a neutral venue, between Simba FC and Wydad of Casablanca
   
 9. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #9
  May 14, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,246
  Likes Received: 3,834
  Trophy Points: 280
  Haki,taratibu na sheria vimezingatiwa!
   
 10. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #10
  May 14, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Source yako ni ipi mkuu? BBC wanaonyesha kuwa TP Mazembe wametozwa faini ya USD 15, 000 - kwa kosa la kuvamia uwanja. Nothing at all on disqualification.
   
 11. CPU

  CPU JF Gold Member

  #11
  May 14, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Huyo tajiri ndo atafanya nini Simba ndani ya wiki 1?? Yaani hii habari imejaa vituko vitupu. Pamoja na kwamba ni ya kweli lakin imenichekesha balaa. Kumbe upuuzi upo hadi CAF???
   
 12. CPU

  CPU JF Gold Member

  #12
  May 14, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kwenye website ya CAF.
  Fungua CAF : Confederation of African Football
   
 13. Michese

  Michese JF-Expert Member

  #13
  May 14, 2011
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Baada ya Tp mazembe kumchezesha kimakosa mchezaji Bokungu,Simba imesonga mbele michuano ya africa na sasa itacheza na wydad casablanca ya morocco kwenye uwanja utakaotangazwa. Souce mtandao bbc swahili na caf leo
   
 14. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #14
  May 14, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  timu ya simba imeshinda rufaa yake zidi ya tp mazembe, baada ya kuchezesha mcheza ambae hakufata tarabu za usaji, hivyo simba itacheza na timu ya morroco wiki ijayo..source startv
   
 15. NG'OTIMBEBEDZU

  NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member

  #15
  May 14, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kama hii habari ni kweli, basi timu za Afrika ya kaskazini ni kiboko kwa fitina mbaya, maana naona kama hii rufaa walikata wao wakaipatia Simba waiwasilishe na wao kusikilizia kitakacho tokea.

  Na kama kweli habari ndo hiyo basi Simba itakuwa na bahati mbaya sana kwa vile katika hali halisi ya wachezaji wetu, sidhani hata kama walikuwa wanafanya hata mazoezi, kwa ujumla ni kama kisicho riziki hakiliki, tuone itakuwaje! Maana nimeanza hata kuumwa kichwa sasa.
   
 16. CPU

  CPU JF Gold Member

  #16
  May 14, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Muwe mnaangalia na thread zingine kabla ya kukimbilia kuanzisha thread. Hii habari ameshaileta Invisible na ameeleza kwa kina zaidi
   
 17. CPU

  CPU JF Gold Member

  #17
  May 14, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Muwe mnaangalia na thread zingine kabla ya kukimbilia kuanzisha thread. Hii habari ameshaileta Invisible na ameeleza kwa kina zaidi
   
 18. NG'OTIMBEBEDZU

  NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member

  #18
  May 14, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Hii ni kiboko Mkuu na ni bahati mbaya sana kwetu Simba maana timu ilikuwa likizo na kwa uzoefu wangu mdogo tu najua ni vigumu kujipanga kwa hii game labda kwa msaada wa TP Mazembe wenyewe!
   
 19. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #19
  May 14, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,246
  Likes Received: 3,834
  Trophy Points: 280
  Tayari kunapost uwe unasoma new post kwanza kabla ya kupost
   
 20. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #20
  May 14, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  mkuu nimekuwa hapa jf tangu asubuhi sikuiona thread inayozungumzia issue hii labda ni kutokana na kimchina changu pole kama umekwazika lakini lengo ni moja tu yaani kuhabarishana..
   
Loading...