Ushawahi kugongewa 'like' na Invisible wewe?

Ushawahi kugongewa 'like' na Invisible wewe?

Eti? Hospitali gani itamuajiri? Ee Mungu, mkuze Matesha wangu haraka!

Tatizo ulikuja kwa gear ya reverse. Sheria za usalama barabarani haziruhusu uende reverse kwa safari ndefu.

Mkinichangia Tusker Malt, ntaacha. Ulisema bado siku nne siyo?

Tatizo ulikuja without bila ya with.

Na wewe, come this way........

:focus:
Hahahahah!
Uwiiii mbavu zangu mie,
Orait babu,leo nakuja without na with za kutosha hala hala usije leta zile hila zako lol!

Mie huwa nikipataga LIKE nakuwa nishasamehewa zambi zangu zote lol!
 
NO NO NO Big sisy,
Tuta miss mambo mengi sana aisee,
Tufanyen mpango atibie mapema nina mpango wa mchumba asa bila babu kupona nani atatoa idhin ya mie kuolewa jaman!!!



Nilikua nakupima wampenda kiasi gani....lol... Bahati yake aisee....
 
Nakuuliza ushawahi?
Kudadadeki... kama hujawahi embu gonga
https://www.jamiiforums.com/sports/...m-african-champions-league-3.html#post1971013
halafu wivu ukushike.
Au kama bado hujaridhika unaweza kupitisha tena macho
https://www.jamiiforums.com/sports/...m-african-champions-league-3.html#post1971013
Potelea mbali... ushawahi kupewa hata ya Paw?
Gonga
https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/150467-nimerudi-wadau.html#post2165523
donge likushike zaidi...
Inahuuuu..........?????!

aisee we kenge kweli!
 
Usimsumbue dokta Riwa, yuko busy na mgomo. Kama unahitaji matibabu, tafazali wasiliana na Dr. Golden Mpoleeee



hahahahaha..... Na Golden mpole atakutibu kweli I know....:eyebrows:
 
Wakuu heshima mbele, kumbe ninazo 'like' za kutosha jamani, Loh.
mimi nawashukuru wote walionipa 'like'
pamoja na kuwa lugha yangu ni yaki mkatomkato sana.

Nawapa heshima wakuu wote mlionipa 'like' and i like u all.
 
Ni kweli mie NINA MAPNZ MAZITO KWA BABU lol!
Niko tayari kujitoa JF kwa ajili yake.
Na hizo bolded capital letters ni msisitizo siyo?.... Anayeyakataa mapenzi ya ODM ana bahati mbaya kama Yuda Iskariote. Hili libabu linalopenda misifa lisilopenda ugomvi na mtu utaacheje kulipenda kama siyo unajitafutia laana? hebu come this way bana!
 
Salama dada'angu...nipe siri, nifanyaje nipate senksi ya invisibo?


Riwa kaka'angu, genueinly speaking wewe upo adimu mno na you have very limited Jukwaz.... Ukiobserve Invii hajichanganyi saana kwenye discussions thou anaobserve kwa karibu. Ila jukwaa ambalo ni maarufu kwa Invisible kutoa "likes" ni lile na "Complaints, Advice and Congrats" na apparently la Sports na JL Siasa in very speacial Threads.... Hivo hapo kazi kwako kaka.....lol...
 
Kweli bana.... ngoja nijirekebishe nisije nikakupoteza. Na kukupoteza wewe ni heri nipoteze haka ka kidole kasiko na kucha kanakoning'inia bila mpango wala malipo.
lol.............. kanapatikana wap ako babu, show me this way lol....
 
Mimi nimewahi kupata like kutoka kwa viongozi mashuhuri, wewe unajivunia hao mods!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom