Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,138
- 7,398
sobhuza,
katavi au mwita25.
I bet!
aiseee! Hilo jina la tatu lifute kabla ajaibuka kama zombi.
sobhuza,
katavi au mwita25.
I bet!
samahani kwa maneno makali dada. Ila kumbuka hayaji tu yenyewe, kwanini iwe yeye tu?
Najua kuwa nae ni mdau wa ile Alliance yenu ya MMU, nafahamu fika kuwa damu nzito kuliko maji,
YOU WILL NEVER BE AGAINST HER!
Kuhusu sijui small line ya nini na nini, huko mie sipo. Wapo niwapendao lakini si huyu kiumbe!
Kutaja jina inaweza kuwa kinyume cha sheria lakini hints ntatowa, huyo atakuwa ni yule anaependa avatar za vichanga.
Nadhani kikao cha familia kinahitajika haraka iwezekanavyo....sio bure..Nilimwambia ndugu yake jana kua ODM is sick mkichwa nikaonekana maneno yangu ya walakini.....:shock:
Mi nikigongewa na RussianRoullete ndo huwa najisikia kama napaa.
RR popote ulipo njoo nigongee ka-Like hapa mtoto wa Kiume nisimamishe kikojoleo changu bana.
Nadhani kikao cha familia kinahitajika haraka iwezekanavyo....sio bure..
Nadhani kikao cha familia kinahitajika haraka iwezekanavyo....sio bure..
I wish dada.
Ila huyu demu chenga ile mbaya, ana maudhi plus shobo za kijinga.
Kila nikiona post zake za kabila ile huwa nachafukwa roho... Halafu upande mwingine anajifanya decent sana.
Aaaaagh!
Niliposema hivo sikusema tu sababu she is MMU, Kigezo changu kikubwa ni kwamba she is JF, you are JF woote ni wanafamilia wa JF. Pamoja na kwamba kweli mimi na yeye ni wana MMU. Msingi wa sababu nilisema na kigezo nilichotumia ni kwamba naona wewe unatumia nguvu kubwa saana. na hio ina maana inakuumiza, it is not healthy kabisa. Kila mtu ana kasoro, na kama hampatani kwani kurusha maneno makali ndo the only solution? I believe not.... sidhani kama una solve lolote kwa njia hio.
Mi nikigongewa na RussianRoullete ndo huwa najisikia kama napaa.
RR popote ulipo njoo nigongee ka-Like hapa mtoto wa Kiume nisimamishe kikojoleo changu bana.
soma post yangu hapo juu.
unaona sasa?
Kumbe kuna familia, na mimi simo humo mu-familia.
Najua utasema sijui wote wana-JF blah blah.
Ila ukweli kuna gap...
nitajitahidi kuzuia hisia zangu. Lakini fo sho, ANANICHEFUA!
Ili iweje? Sina gunia la kuweka pumba.
Joy Joy
Mphamvu hamna kilichoharibika maana naamini woote mmechefuana...
Lizzy stop wasting your energy.... Please.
Who said I was wasting my energy?
Ha ha ha ha!Ok.No coment! at least for now...
Wherever you are I'm there too.