Ushawahi kugongewa 'like' na Invisible wewe?

Ushawahi kugongewa 'like' na Invisible wewe?

Kuna bibie anaitwa Mwali, amewahi kunigongea like siku moja basi kilasiku najichanganya anipe tena lakini wapi
Sijielewi sijui nimemdondokea? i wish ile avatar anayotumia iwe picha yake kiukweli

meseji senti.
Atakuja kukupa mrejesho humu humu, au kama vipi muanzishie uzi wake?
 
Post # 342 (Like zake adimu kuliko hata za Invisible... yaani nimesahau hadi pakuzipata) lol LINK

umetisha!
You are the GreatThinker indeed. Ni mwendo wa reference tu, hutaki,
"...PIGA MBIZI!"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom