Ushawahi kugongewa 'like' na Invisible wewe?

Ushawahi kugongewa 'like' na Invisible wewe?

Hahahaha............ na anavyojua kudeka, mbona unakoma? Afu unafikiri yuko mbali basi?

There are currently 10 users browsing this thread.
(6 members and 4 guests)

Shem kwa kuaribu....lol... Muache bana yupo busy..... hata mimi karib nakikimbia it seems... Umemuona Golden Mpolee? eti anataka kua Doctor wa watoto...lol
 
Umeamkaje kajukuu, sikumbuki mara ya mwisho nlikukagua lini. Usije ukaniaibisha ukweni, hebu come this way.
Niko poa kbs babu,
Dah!tumekuwa wengi hata ratiba ya ukaguzi naona umeisahau babu,
Si juzi tu nilikuja without babu?umesahu au unataka turudie game?
 
lol huyu babu bana sijui uzee au wajukuu wamemzidia maana ful kuchanganya madesa mmh.
Aisee yani inabidi hapa familia nzima tuungane tujue tatizo,
Dah!hata sijui ni kipi kinamchanganya jaman ODM!
 
lol shikamoo big sisy, nimo namshangaa niece we2 kule anataka udoc lol!
hii familia yuna vipaji tofaut tofaut lol.

Umeona eeeh? lol... Na kwambia yule binti kiboko! Huwezi jua kesho atakuja na nini....lol.. marhaba mdogo wangu...

Kweli kbs aisee,
Tukichelewa atazidiwa babu yetu,
Unaona na kukmbukumbu zishaanza kupotea mpaka ratiba ya ukaguzi inampotea jaman lol!

hahaha..... au tumuache kidogo ili tumnyanyase walau kidogo?
 
nimepitia rekodi nimeona sijawahi kulamba 'senksi' ya invisibo....inaonekana ni kitu adimu sana hii aisee! Ngoja niiongeze katika malengo yangu ya 2012!
 
Shem kwa kuaribu....lol... Muache bana yupo busy..... hata mimi karib nakikimbia it seems... Umemuona Golden Mpolee? eti anataka kua Doctor wa watoto...lol
Eti? Hospitali gani itamuajiri? Ee Mungu, mkuze Matesha wangu haraka!

umeamkaje babu, afu mm nilicome that way afu hukunipa feedback lol..
Tatizo ulikuja kwa gear ya reverse. Sheria za usalama barabarani haziruhusu uende reverse kwa safari ndefu.

Umeona eeh? Itabidi tupitishe mchango am telling you..... Dah!
Mkinichangia Tusker Malt, ntaacha. Ulisema bado siku nne siyo?

Niko poa kbs babu,
Dah!tumekuwa wengi hata ratiba ya ukaguzi naona umeisahau babu,
Si juzi tu nilikuja without babu?umesahu au unataka turudie game?
Tatizo ulikuja without bila ya with.

lol huyu babu bana sijui uzee au wajukuu wamemzidia maana ful kuchanganya madesa mmh.
Na wewe, come this way........

Kweli kbs aisee,
Tukichelewa atazidiwa babu yetu,
Unaona na kukmbukumbu zishaanza kupotea mpaka ratiba ya ukaguzi inampotea jaman lol!
:focus:
 
Umeona eeeh? lol... Na kwambia yule binti kiboko! Huwezi jua kesho atakuja na nini....lol.. marhaba mdogo wangu...

hahaha..... au tumuache kidogo ili tumnyanyase walau kidogo?
NO NO NO Big sisy,
Tuta miss mambo mengi sana aisee,
Tufanyen mpango atibie mapema nina mpango wa mchumba asa bila babu kupona nani atatoa idhin ya mie kuolewa jaman!!!
 
nimepitia rekodi nimeona sijawahi kulamba 'senksi' ya invisibo....inaonekana ni kitu adimu sana hii aisee! Ngoja niiongeze katika malengo yangu ya 2012!

Habari ya siku Doctor Riwa.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom