AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,114
we love you too bigy sisy wit ol our heart.
lol nimesema kwa wingi coz najua woote tunakupena dada.
I know Dearie..... I know....
we love you too bigy sisy wit ol our heart.
lol nimesema kwa wingi coz najua woote tunakupena dada.
Nafarijiaka sana ukifurahi coz najua wengi watafurahishwa na furaha yao,hahahaha.... Umenifurahisha.... You like em' eeh?
Orayt, chukua kibali hapo kwa Cantalisia kwanza, then come this way.nishacome this way babu, haya nionyeshe ss as u promised!!!!!!!
Jamaa linachungulia asiee.... Yaani ile tabia yake ya kupiga chabo naona bado haijamtoka.With Sweetie beside..... Worry not... si umeona habanduki hapo chini? lol
Nafarijiaka sana ukifurahi coz najua wengi watafurahishwa na furaha yao,
Wapi my Big shem Kaizer,
Mwambie LIKE zake ndio lunch yangu ya leo lol!
Jamaa linachungulia asiee.... Yaani ile tabia yake ya kupiga chabo naona bado haijamtoka.
As u say sisy,OMG!!! Umeanza tabia ya babu yako ya kuomba "LIKE"? Kama dadayako nakuambia ACHA Mara moja! hayo ayaweza babuyo mwenyewe! lol.... Ila ujumbe umefika kwa Sweetie.... "Like" is coming....lol... alafu mpaka nilisahau tunajadili Like hapa!:biggrin:
As u say sisy,
Unajua tunapokuna familia moja raha mpaka inapiliziza lol!
hivi kwan hizi like zinaulipiwagwa au?
Kuna watu aisee mpaka agonge like dah!
nimepitia rekodi nimeona sijawahi kulamba 'senksi' ya invisibo....inaonekana ni kitu adimu sana hii aisee! Ngoja niiongeze katika malengo yangu ya 2012!
Mi nikigongewa na RussianRoullete ndo huwa najisikia kama napaa.
RR popote ulipo njoo nigongee ka-Like hapa mtoto wa Kiume nisimamishe kikojoleo changu bana.
Mi nikigongewa na RussianRoullete ndo huwa najisikia kama napaa.
RR popote ulipo njoo nigongee ka-Like hapa mtoto wa Kiume nisimamishe kikojoleo changu bana.
Nilitaka nigonge "Like" nimeahirisha...
Bahati yako alter kaniambia nikugongee! lol...
Like to mkuu ODM au kuna connection nyingine? Vipi lakini shwari?
Naona machale yamekucheza, tehe tehe tehe.