Ushawahi kugongewa 'like' na Invisible wewe?

Ushawahi kugongewa 'like' na Invisible wewe?

Mzee wa Rula could you please be a dear na usome post yako upya? lol.... Mimi sijaelewa mkuu.....
Very simple RR kakuambia umgongee like ODM, na akafanikiwa kukushawishi kufanya hivyo nami nikasema nikitaka kitu chochote toka kwako namuambia tu RR akushawishi. AshaDii muoga wewe tehe tehe tehe.

 
Very simple RR kakuambia umgongee like ODM, na akafanikiwa kukushawishi kufanya hivyo nami nikasema nikitaka kitu chochote toka kwako namuambia tu RR akushawishi. AshaDii muoga wewe tehe tehe tehe.



ooooh! lol.... Yule Roulette ni Alter.... mambo mengi sana hua twaenda sambamba, hivo in most cases her word is my command na vice versa....lol
 
who the hell is invisible...? I mean who the heaven is invisible?
 

Like to mkuu ODM au kuna connection nyingine? Vipi lakini shwari?

Naona machale yamekucheza, tehe tehe tehe.
Ukiondoa kumisi kutoa lock pale picnic, kila kitu shwari asee. Salimia Blaki womani, preta, liliy flower, sweetlady.......... midume ntaisalimu mwenyewe bana!
 
Bahati yako alter kaniambia nikugongee! lol...
Ole wako usingekagonga.......

Kwa hiyo umekubali kumgongea like ili a......., ODM sina wivu na like yako bana endelea kupata ma like ili maisha yasonge tehe tehe tehe tehe.

Niligoma KABISA.... Ila Roulette katoa msisitizo ni Like...lol

ODM akiacha kupewa Like atakufa....lol... Wala usiangaike kumuonea wivu.... mimi nitakua nakugongea....lol

Shauri yako ukimuuzi babu atakuchapa au kukusemea kwa baba asikuletee dhawadi wewe tehe tehe tehe.

Hapa mlikuwa mnaongea behind babu's back....... which is good!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom