Ushawahi kugongewa 'like' na Invisible wewe?

Nimegundua siri ya urembo nikitaka kitu chochote toka kwa namwambia RR tehe tehe tehe.

Mzee wa Rula could you please be a dear na usome post yako upya? lol.... Mimi sijaelewa mkuu.....

Very simple RR kakuambia umgongee like ODM, na akafanikiwa kukushawishi kufanya hivyo nami nikasema nikitaka kitu chochote toka kwako namuambia tu RR akushawishi. AshaDii muoga wewe tehe tehe tehe.

ooooh! lol.... Yule Roulette ni Alter.... mambo mengi sana hua twaenda sambamba, hivo in most cases her word is my command na vice versa....lol
Hapa kukawa na kamushkeli ka kukubaliana kutokubaliana katika kuelewana.... which is also good!
 
Very simple RR kakuambia umgongee like ODM, na akafanikiwa kukushawishi kufanya hivyo nami nikasema nikitaka kitu chochote toka kwako namuambia tu RR akushawishi. AshaDii muoga wewe tehe tehe tehe.

ooooh! lol.... Yule Roulette ni Alter.... mambo mengi sana hua twaenda sambamba, hivo in most cases her word is my command na vice versa....lol

Tehe tehe tehe, nimekuelewa AshaDii, msalimie sana best yako RR.

Kudhihirisha kua salamu zimefika sasa naona ni zamu yangu kumwambia aje agonge Like hapo kwako....lol

Done kiongozi...
Gadem! Akaibuka mheshimiwa kuhitimisha mjadala..... which is Excellent!!

Mjadala closed, now....:focus:

Hapa lazima nilambe Like ya RussianR.
 
Kwanza nilikuwa najiuliza ulichelewa wapi kuona hili lakini nikajua ulikuwa kaunta ya juu. Kwa hiyo topic concluded.
 
Nakuuliza ushawahi?
Kudadadeki... kama hujawahi embu gonga
https://www.jamiiforums.com/sports/...m-african-champions-league-3.html#post1971013
halafu wivu ukushike.
Au kama bado hujaridhika unaweza kupitisha tena macho

Potelea mbali... ushawahi kupewa hata ya Paw?
Gonga
https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/150467-nimerudi-wadau.html#post2165523
donge likushike zaidi...
Inahuuuu..........?????!

mdau utakuwa mhaya wewe lazma,iwe bojuuuuuuuu
 
PAW bahada ya kukulima ban akakupoza na "LIKE" teh! teh! teh!
Ni sawa na babako bahada ya kukupa mkongo'to anakuja kukupoza na zawadi jioni "unajuwa mwanangu mi nakupenda sana"
 
hizo like nilipata kitambo sana mkuu.
Hata kabla sijapata maiden ban yangu...
 
Wee acha hizo bana....ushawahii kufanya Ligi (premium league) Na FF wewe? Kauchokozi napita tuu
 
Nakuuliza ushawahi?
Kudadadeki... kama hujawahi embu gonga
https://www.jamiiforums.com/sports/...m-african-champions-league-3.html#post1971013
halafu wivu ukushike.
Au kama bado hujaridhika unaweza kupitisha tena macho
https://www.jamiiforums.com/sports/...m-african-champions-league-3.html#post1971013
Potelea mbali... ushawahi kupewa hata ya Paw?
Gonga
https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/150467-nimerudi-wadau.html#post2165523
donge likushike zaidi...
Inahuuuu..........?????!

Man vipi mbona ulikimbia maskani yetu ile.... kitambo hujaonekana pande zile.. uwe unatembea jukwaa letu achana na huku kwa wasafi ... .a.k.a kwa masharobaro ,
 
afu we mjinga (hapa imetumika kama sifa) nahisi hautakufa.
Yaani sasa hivi nimetoka kukutaja kule kwenye uzi wa Gooners...
Embu tukutane kule.
 
hahaha mida flani nitaegesha kwa kina belo na mfarasiyo... manure utd leo lazima ashikwe pabaya ..
 
Kiongozi anatoa likes za kutosha ...Sio mchoyo wa fadhili .Hata mzee wa ban Paw anazitoa sana .Omba ukutwe na bwana Pepsi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom